Wicknell Chivayo alikua wapi enzi za Magufuli?

Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla? alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Kuna siku mjombako alisema hivi, "Kuna kikundi cha watu wachache wanataka kunipangia cha kufanya, Mimi nawaambia sipangiwi, Mimi ni Rais jiwe kweri kweri"

Sikumbuki ilikuwa kwenye inshu Gani alipotoa kauli hiyo, na sijui kama inahusiana na unachouliza.
 
Ewaaah. !
Mjomba alikuwa jiwe kweri kweri !
 
Huyu jamaa ni tapeli haswa na ameishaoamatwa kwa utakatishaji wa fedha
Ni mtu wa anasa sana na mpenda madem, na mpenda magari ya kifahari na kuingilana na wanyonge anaowapata
Kwa mjomba picha zisingeenda
 
Ma CCM mtandao wamewapa.
1. Mzanzibar
2. Mke wa pili.
3. Mswahili.
4. Asiye na uzalendo hata kidogi na tanganyika.
5. Tumepigwa na kitu kizito mno.

KUNA KILA LAANA YA UONGOZI KWENYE TAIFA LETU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…