Why woman want tall men

Why woman want tall men

Kwakweli, wanawake warefu hutongozwa sn na wanaume wafupi, na kuolewa nao pia, japo wengi hupenda warefu

Hahaha umeona eeh. Yaani sasa hivi tunajishaua ooh Sitaki mwanaume mfupi, Keshokutwa huyo unanikuta na mume wangu andunje najichekesha chekesha kwa aibu vigezo kushney.

All in all siku ukipata mtu anayeeleweka, basi hizi fantasy zinaisha tu fastaa na unakuwa very proud na andunje wako
 
Hyo ndo point.. Ili kiukweli wanawake wengi ni wafupi.. Kukutana na mwanamke mrefu ni nadra sana.

Bana mbona me naona wanawake warefu tu wengi wengi. Sema hata wanawake wafupi nao wanawish kuwa na wanaume warefu
 
Hizi ni siasa chafu, na za uzushi kutoka kwa wapinzani wetu. Umoja wa watu wasio wafupi, tunaandaa press conference ili kuweka wazi hatua tutakazochukua kuhakikisha masuala kama haya hayajirudii.

Wewe ni Paulo Sergio yule Gold digger wa Bank of Brazil 2006? Ase mpaka kesho wale jamaa nawakubaligi sana
 
Hahaha huyo huyo Boss. The smiling gardener with a beanie.

Man, wale machalii ni vichwa sana.. kuna yule "The white boy" daah till date their identities are mysterious

Niki-Turn over kwenye topic.. am glad being Tall though i need gym..lol
 
Hahaha umeona eeh. Yaani sasa hivi tunajishaua ooh Sitaki mwanaume mfupi, Keshokutwa huyo unanikuta na mume wangu andunje najichekesha chekesha kwa aibu vigezo kushney.

All in all siku ukipata mtu anayeeleweka, basi hizi fantasy zinaisha tu fastaa na unakuwa very proud na andunje wako

Yeah hiyo ni fantacy ya kila mwanamke sema sasa uhalisia nao inabidi tukubaliane nao, unajikuta ndio ushakapenda kaandunje kako utafanya nn sasa.
 
Man, wale machalii ni vichwa sana.. kuna yule "The white boy" daah till date their identities are mysterious

Niki-Turn over kwenye topic.. am glad being Tall though i need gym..lol

Gym muhimu lazima ujenge kabody flani hivi amaizing na urefu sasa!!
 
Back
Top Bottom