Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,488
- 176,550
teh teh...hata wewe ukiwa na shida ya "mchumba mrefu" nitakuombea umpate...
Hahahaaaaa!!! Nimecheka mpaka basi, aiii hebu ombea kwanza uwe unaniwekea miamala ya maana
teh teh...hata wewe ukiwa na shida ya "mchumba mrefu" nitakuombea umpate...
Maombi gani hayo?
Naweza kuwa kasisi wa kuwafanyia maombi?
Actually, nimewafanyia watu maombezi..na matokeo yake ni ya ajabu..
Semeni sasa, niwaombee nini..teh!
Hivi kuna wafupi mahandsome?? Mbona mie sijawahi kuwaona?
Hivi kuna wafupi mahandsome?? Mbona mie sijawahi kuwaona?
Huu ni unyanyapaa
Unyanyapaa upi sasa??
Huuoni??
urefuke kama mkojo utajijua..siku hiz wadada wanaangalia urefu wa wallet..heheee
wanawake kupenda wanaume warefu hii ni nature au mpango wa Mungu ili kizazi kikubwa na bora kiendelee
na hii ni instinct ambayo mtoto wa kike anazaliwa nayo wote tunakubaliana kuwa wanawake ni viumbe dhaifu kimaimbile hivyo wanahitaji security ya uhakika hivyo sababu kubwa ya wanawake kupenda wanaume wakubwa au warefu ni security hasa enzi hizo za kale na hili liko ndani ya ubongo wao
lakini kwa dunia ya leo security ni pochi na si umbo hivyo kama mwanaume ni mfupi lkn Ana pesa huyo ndo atapendwa
vile vile ikitokea wanaume wawili wote wana sifa zinnazofanana lakn mmoja mrefu na mwingine mfupi mrefu atachaguliwa kwa sababu nature inataka kizazi kikubwa kiendele kumbuka mtu mrefu obviously atakuwa mkubwa (law of life the fittest to survive)
hata katika uumbaji during fertilization sperm yenye nguvu na ambayo iko fit ndo inayoingia kwenye yai.
mashine inakuwa kubwa
in inglish the dick.....haha aka the cock
St. Kayumba tunanyanyaswa
Dear ndio nini St. Kayumba? Wafupi or? Umeniacha kidogo ... Seriously I don't know maana yake...Naomba uniambie .. Thanks..
St. Kayumba ni shule za msingi zinazomilikiwa na serikali za vijiji au halmashauri, mf Mabondeni Primary School, Mivurugano Primary School, Mpasuko Primary School, Mashetani Primary School, Kufanalako Primary School, nk, huko walimu na wanafunzi wote hawajui English language