Why woman want tall men

Why woman want tall men

Mwanaume mrefu raha yake akikuhug unajiskia km mtoto uwii i love hugs,
Na mkiwa mnatembea wote njiani hivii
Generally t feels safe kuwa naye
 
Aiseee rahaaa sana kukumbatiwa na mwanaume mrefu, kishotii sasa hata mkihug huhisi km umekumbatiwa, wanaume warefu(wa haja) wana raha yao jamani
 
umenifurahisha wangi mweeee ni raha ilioje me huwa nasema humu warefu ni nomaaaaa
 
Aiseee rahaaa sana kukumbatiwa na mwanaume mrefu, kishotii sasa hata mkihug huhisi km umekumbatiwa, wanaume warefu(wa haja) wana raha yao jamani

Mwanaume mrefu raha yake akikuhug unajiskia km mtoto uwii i love hugs,
Na mkiwa mnatembea wote njiani hivii
Generally t feels safe kuwa naye
Duh...jamani! Sasa huu ni unyanyasaji..
 
Duh...jamani! Sasa huu ni unyanyasaji..

Hahahaaaaa! Eli79 sio unyanyasaji ndio uhalisia huo, mwanaume anapendeza akiwa mrefu, ndio neema za Allah hizo, we kwa neema unadhani ni kwetu tu!! Hata nyie, tulitoka kwenye vitambi now ni warefu
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingine weka tafsiri ya Kiswahili.
Ingekuwa ya Kiswahili ingekuwa na wachangiaji wengi.

Hahhaaaaaaa...

Mkuu ingekuwa ni kiswahili, watu wangeshatujazia server.

anyway, nimeinjoy
 
Hahahaaaaa! Eli79 sio unyanyasaji ndio uhalisia huo, mwanaume anapendeza akiwa mrefu, ndio neema za Allah hizo, we kwa neema unadhani ni kwetu tu!! Hata nyie, tulitoka kwenye vitambi now ni warefu

Teh...haya! Kumbe sina soko eeh! Hahaaa!
 
Last edited by a moderator:
Anza kwa kusahihisha kiingereza kibovu kwenye kichwa cha habari
 
Duuuh bora we umeelewa, mie nilivyoona watu wanaongelea wanaume warefu ndio nikajua mada inahusu wanaume warefu, ngoja nitafute mwl jamani hiki kiinglishi hiki!!
 
Aiseee rahaaa sana kukumbatiwa na mwanaume mrefu, kishotii sasa hata mkihug huhisi km umekumbatiwa, wanaume warefu(wa haja) wana raha yao jamani
safi sana..jiandae nikupeleke dubai ukafanye shopping ya dolari
 
Back
Top Bottom