medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,442
- 1,527
Sisi wanaume warefu ,tuna mapenzi ya kweli takribani 99.9999999%...
Hivi kuna wafupi mahandsome?? Mbona mie sijawahi kuwaona?
Hahaha umeona eeh. Yaani sasa hivi tunajishaua ooh Sitaki mwanaume mfupi, Keshokutwa huyo unanikuta na mume wangu andunje najichekesha chekesha kwa aibu vigezo kushney.
All in all siku ukipata mtu anayeeleweka, basi hizi fantasy zinaisha tu fastaa na unakuwa very proud na andunje wako
Hivi kuna wafupi mahandsome?? Mbona mie sijawahi kuwaona?
Wengine tunapenda wafupi to be honest
mmmh , mwanaume akiwa tall, halafu mwembamba flan hivi size ya kati sio fito style & smart aaahhhaa is sweety and lovely acheni masihara ( ila for me asiwe white )
Ua 4mer prezo, Mukapa. Short bt sure!!!!
Uzoefu unaonesha kuwa kile usichopenda kuwa nacho au kukifanya maishani, mara nyingi ndicho utakuwa nacho au
utakifanya maishani. Wengine wanapata kile wakitakacho.
mmmh , mwanaume akiwa tall, halafu mwembamba flan hivi size ya kati sio fito style & smart aaahhhaa is sweety and lovely acheni masihara ( ila for me asiwe white )
Mwanaume mrefu akikukumbatia unasikia raha sana