Why woman want tall men

Why woman want tall men

Sio tu mwanaume mrefu, awe mrefu kunizidi mimi lol. Manake kuna watoto wa kike ni warefu hataree so kupata men wakuwazidi ni shughuli. Ila zote hizi ni fantasy tu, utashangaa unakuja kuolewa na mwanaume mfupi

Awe mrefu kunizidi mimi..........point taken..
 
Wanawake wanazingua mara mwanaume mrefu mara mwenye kitu kirefu mara kinene hawasomeki wengine wanaleta dharau hata kabla hujampiga mashine
 
Wanawake wanazingua mara mwanaume mrefu mara mwenye kitu kirefu mara kinene hawasomeki wengine wanaleta dharau hata kabla hujampiga mashine

Kwann alete dharau? Kwani na wewe kidude kinukta??
 
Hapana ila maswali yao yananikera ukishampiga mashine anaenda kuwatangazia wenzie ndio maana wanasalitiwa kila siku
 
Bi Mkubwa masai dada hata mimi zamani mtazamo wangu ulikuwa kama wako lakini baada ya kutembea nimejikuta nikabadili fikra.

Niliwahi kufanyakazi General Tyre sasa pale kazi za uazalishaji zikimaliziika lazima wafanyakazi hasa Production waoge kwasababu wanakuwa wamechafuka vumbi jeusi la mpira.Mabafu ya kuogea yapo mengi kama 20 hivi lakini hayana mlango kuna jamaa mmoja mfupi sana (kuliko Kawawa) akiitwa Mpogoro ndoa yake si mchezo haina uhusiano na mwili wake kabisa kiwanda kizima Mpogoro alikuwa akijulikana kwa kuwa na maumbile makubwa mno.Wakati wa kuoga wafanyakazi wa kiume wageni moja wapo ya orientation ilikuwa kumchungulia Mpogoro baada ya zoezi la kumchungulia wote walikubali jamaa alikuwa shidaaa kubwa si mchezo.

hapo ndo ndoa ilipo
lov u baby popote ulipo
d......u gat it
 
Last edited by a moderator:
Hapana ila maswali yao yananikera ukishampiga mashine anaenda kuwatangazia wenzie ndio maana wanasalitiwa kila siku

Ukiona hivyo hajakupenda, angekupenda hata ingekuwa kinukta walaa hatangazi anagugumia kikike tu, kutangaza hizo huwa zipo sn kwa me zaidi.
 
Amen, tuwekane wote kwenye maombi. Si unajua maombi ya mapatano Yana nguvu zaidi... Bwana atatenda
Tena uniweke kwenye maombi ndugu yangu
Maombi gani hayo?
Naweza kuwa kasisi wa kuwafanyia maombi?
Actually, nimewafanyia watu maombezi..na matokeo yake ni ya ajabu..
Semeni sasa, niwaombee nini..teh!
 
Maombi gani hayo?
Naweza kuwa kasisi wa kuwafanyia maombi?
Actually, nimewafanyia watu maombezi..na matokeo yake ni ya ajabu..
Semeni sasa, niwaombee nini..teh!

Wacha weee!!
 
Maombi gani hayo?
Naweza kuwa kasisi wa kuwafanyia maombi?
Actually, nimewafanyia watu maombezi..na matokeo yake ni ya ajabu..
Semeni sasa, niwaombee nini..teh!

Hahahaha maybe tunaombea wanaume warefu uuuuuuh.
Kasisi em zama rohoni ujue ni nini kinachotusumbua mabinti sayuni.
 
Back
Top Bottom