Why woman want tall men

Why woman want tall men

masai dada sio wote lol, kuna jamaa mmoja tulisomaga nae ni mrefu km mlingoti wa umeme, sasa akawa anamtongoza rafiki yetu mmoja hivi tukawa tunamtania kuwa atakutana na kitu kinafika kooni, duuuh akasema hakubali mpaka aishuhudie dushe lake, weeeeee alikutana na kinukta hata bamia ndefu akaja kutusimulia, basi tulikuwa kila tukimuona yule tall tunajichekea kimoyomoyo. So urefu sometyms walaaa sio hoja
Hizi ni siasa chafu, na za uzushi kutoka kwa wapinzani wetu. Umoja wa watu wasio wafupi, tunaandaa press conference ili kuweka wazi hatua tutakazochukua kuhakikisha masuala kama haya hayajirudii.
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni siasa chafu, na za uzushi kutoka kwa wapinzani wetu. Umoja wa watu wasio wafupi, tunaandaa press conference ili kuweka wazi hatua tutakazochukua kuhakikisha masuala kama haya hayajirudii.

Hahahaaaaa! Sio siasa chafu bwana, sasa kwann amsingizie bwana tall? Urefu sometym haimati bwana
 
.ngoja ni-Google, hii itakuwa habari mpya kwangu..

wala huna haja ya ku-google, Mie kuna mmoja namjua naweza kukupa contact zake umfanyie analysis. Jamaa kaenda hewani anamkaribia Hasheem Thabit lakini dah yaliyoko huko unaweza ukawaka shocked vibaya mno. Mie baada ya kuona vile ilibidi nibadilishe mwelekeo to "barua ya maombi iambatane na picha!"
 
Mwambie huyo, yaani huyo tall ni mrefu km hasheem na there is no way yule dada angemsingizia
 
Hakuna mrefu mwenye kibamia, hii ni siasa chafu ya watu wafupi, ingawa wapo wafupi na mi-mandingo..
segere sio siasa wewe hiyo ni kweli kabisaaaa, wanawake wanawapenda warefu sababu tu ya muonekano wa nje ila sio isue ya mandingo, kuna warefu ukiwaona ni huruma kabisa
 
Last edited by a moderator:
wala huna haja ya ku-google, Mie kuna mmoja namjua naweza kukupa contact zake umfanyie analysis. Jamaa kaenda hewani anamkaribia Hasheem Thabit lakini dah yaliyoko huko unaweza ukawaka shocked vibaya mno. Mie baada ya kuona vile ilibidi nibadilishe mwelekeo to "barua ya maombi iambatane na picha!"

.ningekuwa sekta ya afya sawa, lakini namna gani ntamfanyia uchunguzi kidume mwenzangu?, daaah!!!! kweli shetani akifunga mlango anakufungulia dirisha
 
sasa kufanya uchunguzi na ku-Google kuna tofauti gani?

.nachokimaanisha hiyo sampuli ya kufanyia uchunguzi italeta mushkeli kidogo, tofauti na nikipitia kazi za watu mjini Google, hata hivyo umeweza kunifanya niamini taarifa yako..
 
Mwanapropaganda

I know several very tall but equally stupid idio**s who feel everything abt them is perfect while i think they r nothing
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom