Why woman want tall men

Why woman want tall men

Mwanaume mrefu raha yake akikuhug unajiskia km mtoto uwii i love hugs,
Na mkiwa mnatembea wote njiani hivii
Generally t feels safe kuwa naye

rafiki yangu Hasheem Thabit anakuja bongo,nitakuhookup na yeye kama uko interested
 
Urefu wa umbo..swala la mfuko utajionea mwenyewe
Kaboom naamini hata mfuko ni mrefu maana kunipeleka dubai sio mchezo ujue, bahati iliyoje hii, two in one at once, hebu nipe mkakati basi
 
Last edited by a moderator:
Duuuh i wish huu mfungo ungeanza last month, ila ngoja niwe mvumilivu, mambo mazuri hayataki haraka
hahah!! kwan we haufungi?..nwei nimekupa muda ili kama kuna umuhimu wa kuaga uage mapema kabisa
 
Sio tu mwanaume mrefu, awe mrefu kunizidi mimi lol. Manake kuna watoto wa kike ni warefu hataree so kupata men wakuwazidi ni shughuli. Ila zote hizi ni fantasy tu, utashangaa unakuja kuolewa na mwanaume mfupi
 
Na uzee huu namuaga nani sasa? Natoa taarifa tu, mie sifungi labda nikusaidie wewe sasa😉😉
 
Sio tu mwanaume mrefu, awe mrefu kunizidi mimi lol. Manake kuna watoto wa kike ni warefu hataree so kupata men wakuwazidi ni shughuli. Ila zote hizi ni fantasy tu, utashangaa unakuja kuolewa na mwanaume mfupi

Kwakweli, wanawake warefu hutongozwa sn na wanaume wafupi, na kuolewa nao pia, japo wengi hupenda warefu
 
Sio tu mwanaume mrefu, awe mrefu kunizidi mimi lol. Manake kuna watoto wa kike ni warefu hataree so kupata men wakuwazidi ni shughuli. Ila zote hizi ni fantasy tu, utashangaa unakuja kuolewa na mwanaume mfupi

Kumbe na Wewe hujaolewa eeh
 
Na uzee huu namuaga nabi sasa? Natoa taarifa tu, mie sifungi labda nikusaidie wewe sasa😉😉
hii ndo raha ya kuongoea na watu wazima..mnaongea lugha moja mnaelewana🙂)..basi ngoja tuanze kuhesabu siku
 
Sio tu mwanaume mrefu, awe mrefu kunizidi mimi lol. Manake kuna watoto wa kike ni warefu hataree so kupata men wakuwazidi ni shughuli. Ila zote hizi ni fantasy tu, utashangaa unakuja kuolewa na mwanaume mfupi

Hyo ndo point.. Ili kiukweli wanawake wengi ni wafupi.. Kukutana na mwanamke mrefu ni nadra sana.
 
Back
Top Bottom