Why wanawake hawapendi serious things? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why wanawake hawapendi serious things?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tolowski, Jun 1, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaongoza kwa kusoma magazeti ya udaku, wanaongoza kwa kupenda kuangalia ze komedi, futuhi, majuto nk. Wanamshangaa mtu anayenunua na kusoma raia mwema, rai, mwanahalisi, mwananchi nk.

  Hawapendi kuangalia taarifa za habari kwenye TV CNN, BBC, Skynews kwao ni kituo cha polisi. Wanapenda movie za kipuuzi za akina kanumba, wanapenda tamthiliya za kipuuzi za Amerika ya kusini na Ufilipino zilizojaa kwenye televisheni zetu za kichovu.

  Wanapenda nyimbo za kichovu za bongo fleva kama mpenzi jini, kidato kimoja. Huwakuti kwenye makongamano serious kama ya kujadili katiba, Azimio la Arusha na utawala bora lakini wanajaa kwenye makongamano ya kuwatambulisha akina p-square.

  Wanapenda sana kula chips mayai, non serious food, Hawampendi Slaa, wanampenda Kikwete may be because hayupo serious. Hawapendi masomo ya Sayansi but wanapenda sana na kufaulu topic ya reproduction ya form 3.

  Wanapendelewa bungeni and hawapendi kupambana majimboni.

  Ukija jf wengi utawakuta kwenye majukwaa ya udaku na mapenzi, jukwaa la sSasa na International ni wa kuwahesabu...etc

  Halafu eti wanataka usawa.

  NIMEKUWA NIKIJIULIZA SANA WHY WANAWAKE HAWAPENDI YALE MAMBO SERIOUS?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mtazamo wako upo sawa ila 100% jibu unalo.

  Siongezi neno staki kusutwa ila umesema ukweli mtupu (Note: There is no chromosomes attachment with this madai ni acquired tabia tu)
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,184
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kwa sababu wapo kwa ajili ya kunogesha, mwanaume unapokuwa serious yeye anakufanya u smile kidogo ujiachie kiasi usijepata gonjwa la moyo.
  they are flowers meen!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,313
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Ndio maana wakaitwa wanawake na wewe mwanaume
  Nini maana ya kichwa cha familia?fikilia kwa makini zaidi
  Kumbuka sio wote ...
   
 5. D

  Dina JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,757
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Nafikiri na wale wakaka wanaoonekana wamechomoza kwenye magari na magazeti yao ya udaku watakuwa na tabia za kike. Sample yako ikoje brother na ilichukuliwa maeneo/mazingira gani?

  Umenifanya nitabasamu nilipokumbuka picha iliyowahi kutoka front page Mwananchi bwana Freeman Mbowe akijipigia zake 'zege' huko Rukwa.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wanawake ndio tuliompigia kura JK kwa kigezo cha sura ya kuuza.......upuuzi gani huu.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  ahhhhhhhh
  ni hutaki tufanye hivyo
  au ndio nini tena jamani..
   
 8. c

  chimala Senior Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  eti na wewe haupo siriaz, umeandika nini hicho
   
 9. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Shindwa na ulegee Komedy kuna mwanamke? Shigongo ni mwanamke?Toka hapa muone vile
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,509
  Likes Received: 1,360
  Trophy Points: 280
  85%ni ukweli!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Aiseeeee
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,023
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 180
  Huu usawa utatekelezeka mpaka nyeti zetu zikifanana..kwa sasa acha mwanaume awe mwanaume na mwanamke awe mwanamke..

  Acha ushambenga!..eti non-serious food!..mbayuwayu wewe!!
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,711
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mwanamke ameumbwa awe hivyo, Binafsi mwanamke akiwa serious sana kila saa ananiletea habari za slaa na kikwete sjui gadaffi kaiteka bengazi aaaargh napiga na chini.
   
 14. Evmem

  Evmem Senior Member

  #14
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "And what are you here for?" enquired the mother-in-law.
  "AS FOR ME, I'M HERE JU
  [​IMG]
  ST TO ENTERTAIN YOUR SON!!!!!"

   
 15. Evmem

  Evmem Senior Member

  #15
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanamke ua baba, ukiwa down it refreshes you lol:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
   
 16. vena

  vena JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao ndio wana---wake so kinyume chake ndo wanaumeif mwanume ni serious basi kinyume chake mwanamke unserioussimple deduction!
   
 17. M

  MalaikaMweupe Member

  #17
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimetafakari sana nikaona wewe umedodoshwa toka mbinguni ndio maana ukaanzisha thread hii! Ungezaliwa na mwanamke ..................
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa sijui kama wewe ni Mwanamke!
   
 19. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 587
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Baasi baasi mkuu..yani nimeanza kusoma hii thread nimejikuta naflow verses zaidi tongue twister.duh!duh! duh! eebwaneeeee!
  unaotaaaa!au?
  ngoja nikwambie kitu siyo wanawake tu hawako sirious bali hata sisi wanaume hatuko sirious.we sema watz wengi hawapo sirious-hebuniambie ni watz wangapi unaowafahamu wenye ajira zaidi ya moja ukiachana malecturers,walimu na madaktari?
   
 20. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 5,663
  Likes Received: 2,107
  Trophy Points: 280
  Acha kutuletea za huko ulaya kwa wabeba boksi, Tanzania ajira ni za kwa mwezi na si kwa masaa hivyo kuwa na ajira mbili au zaidi kwa siku haiwezekani
   
Loading...