Why wanawake hawapendi serious things?

Umenikumbusha billionare mmoja alikuwa amealika wageni/partners zake kwenye business meeting nyumbani kwake. wakati wanaongelea maswala yao serious, mkewe akaja na kumwonyesha mumewe kucha zake.... wale jamaa walishangaa sana, waakauliza kulikoni.

Unajua jamaa alijibu nini? siku nzima niko na serious minded persons, na nyumbani kukiwa hivyo si nitapata kichaaa!
 
Acha kutuletea za huko ulaya kwa wabeba boksi, Tanzania ajira ni za kwa mwezi na si kwa masaa hivyo kuwa na ajira mbili au zaidi kwa siku haiwezekani

Najua ajira nyingi hapa nchini ni za mwezi ilaaa! kwani saa 15:30 au 16:30hrs siunatoka kazini? kwanini usitafute kitu chakukuweka busy hadi saa 19:45 tena ukitoka unakuta jam barabarani imepungua unafika tu home faster.
The problem we tend to stick with our professions bila kujua we are worth than we think folks!
unajua unaweza ukawa na kibanda cha chips unapotaka job unamtoa mkeo akaandae msosi home wewe unaendelea na job hadi saa mbili jioni.
 
Umetoka Tanzania lini sheikh? Mimi huamka saa 11:30 alfajili huku Tegeta niwahi kazini saa 2: 30 asubuhi, kutoka saa 10:30 nafika nyumbani saa tatu usiku, foleni natumia muda mwingi. Kifupi hicho unachokisema haiwezekani kama unaishi Dar
 
Umenikumbusha billionare mmoja alikuwa amealika wageni/partners zake kwenye business meeting nyumbani kwake. wakati wanaongelea maswala yao serious, mkewe akaja na kumwonyesha mumewe kucha zake.... wale jamaa walishangaa sana, waakauliza kulikoni.

Unajua jamaa alijibu nini? siku nzima niko na serious minded persons, na nyumbani kukiwa hivyo si nitapata kichaaa!
Okada nimeipenda hii unaongea business na washikaji wife anakuja kukuonyesha kucha zake lol!!!!
 
Mwanamke ameumbwa awe hivyo, Binafsi mwanamke akiwa serious sana kila saa ananiletea habari za slaa na kikwete sjui gadaffi kaiteka bengazi aaaargh napiga na chini.

Umeona sasa, ndo maana wanawake hawapendi vitu serious akipigwa chin je
 
Najua ajira nyingi hapa nchini ni za mwezi ilaaa! kwani saa 15:30 au 16:30hrs siunatoka kazini? kwanini usitafute kitu chakukuweka busy hadi saa 19:45 tena ukitoka unakuta jam barabarani imepungua unafika tu home faster.
The problem we tend to stick with our professions bila kujua we are worth than we think folks!
unajua unaweza ukawa na kibanda cha chips unapotaka job unamtoa mkeo akaandae msosi home wewe unaendelea na job hadi saa mbili jioni.

Ni wachache sana wanaotoka ofisini au kazini mapema, sheria za kazi zinavunjwa sana na waajiri tofauti na huko majuu muda wa kazi huheshimiwa na pande zote. Hicho kibanda cha chipsi mpaka ukafike kilipo tayari saa tatu usiku, usafiri shida.
 
Acha kutuletea za huko ulaya kwa wabeba boksi, Tanzania ajira ni za kwa mwezi na si kwa masaa hivyo kuwa na ajira mbili au zaidi kwa siku haiwezekani
Mkuu hata ulaya kuna ajira za mwezi mtu akitoka anaenda kufanya cleaning au kuuza chips mcdonald au kuosha vibabu na vibibi ili wachange pesa hata za holiday, utakuta family imefungua account ya holiday kila mtu anahakikisha kafanya kazi za ziada na kuhifadhi pesa humo kwenye holiday wanasafiri pamoja
kwa hiyo hapa tunaweza fanya hivi kwa malengo kwamba unataka kuanzisha biashara au kwenda kusalimia kijijini kula maisha kwenye mbuga za wanyama ni malengo tu ndugu yangu
 
Mambo yakiwa systematic sana sometimes yanaboa sana sana, wakati mwingine ni muhimu kupitia mambo ambayo hujayazoea kabisa ili mambo yawe muswano
 
tukitaka wanawake wawe serious
mwisho tutaka wasivae khanga moja nyumbani....

wanawake ni starehe yetu wanaume....full stop..
 
Wanaongoza kwa kusoma magazeti ya udaku! Wanaongoza kwa kupenda kuangalia ze komedi,futuhi,majuto nk!wanamshangaa mtu anayenunua na kusoma raia mwema,rai,mwanahalisi,mwananchi nk!hawapendi kuangalia taarifa za habari kwenye tv!cnn,bbc,skynews kwao ni kituo cha polisi!wanapenda movie za kipuuzi za akina kanumba!wanapenda tamthiliya za kipuuzi za amerika ya kusini na ufilipino zilizojaa kwenye televisheni zetu za kichovu! Wanapenda nyimbo za kichovu za bongo fleva kama mpenzi jini,kidato kimoja! Huwakuti kwenye makongamano serious kama ya kujadili katiba,azimio la arusha na utawala bora lakini wanajaa kwenye makongamano ya kuwatambulisha akina p-square!! Wanapenda sana kula chips mayai,non serious food! Hawampendi slaa,wanampenda kikwete may be because hayupo serious! Hawapendi masomo ya sayansi but wanapenda sana na kufaulu topic ya reproduction ya form 3! Wanapendelewa bungeni and hawapeni kupambana majimboni! Ukija jf wengi utawakuta kwenye majukwaa ya udaku na mapenzi,jukwaa la siasa na international ni wa kuwahesabu!...etc Halafu eti wanataka usawa! NIMEKUWA NIKIJIULIZA SANA WHY WANAWAKE HAWAPENDI YALE MAMBO SERIOUS?

mhh wewe shika adabu yako tena ukome ukomaae ndo kusema wanawake awasikiliz BBC?wala aljezeera?

akuna mwanaume anayeshika kiu,san,uwaz,weekend nin sjui?

io ni tabia ya mtu bwana accrdng to status yake MARA NYNG mtu msomi awe mke au mume ni nadra sana kumkuta kasihika uwaz,au any udakuz......lakin wenzangu na mimi wale tulograduate std 7 ni kawaida sana kushika udaku na kuusoma tena kwa majigamboo peupeeeeeee awe mwanamke au mwanaume we nenda uswahikin then chek magazet gan kule yanauzika sana.....

MIMI NAPINGA....KUPENDA UDAKU,BBC ..KUWA SERIOUS AU POAPOA2 inategemeana na nini unacho kichwani na si issue ya gender....et mwanamke anapenda udaku pyeeeeeeeeeeeee mwanaume apend uwongooooo....

na uyo aliyeenda kumwonyesha kucha mmewe wakat yupo mitng ni anadeka2 na si km ajui serousness ya uo mkutano.

nawasilisha.
 
Back
Top Bottom