Mtaalam, hebu elezea kidogo kuhusu hii kitu MSI. wengi hatuifahamu na mambo yake mbofumbofu!
Pleeease
Mtaalam, hebu elezea kidogo kuhusu hii kitu MSI. wengi hatuifahamu na mambo yake mbofumbofu!
Huyu huyu Mo Ibrahim???MSI(MOBILE SYSTEM INTERNATIONAL AKA MOHAMED SAID IBRAHIM).Ni kampuni ambayo ni mali ya mo ibrahimu aliyewalaghai serikali wakakubali kuuuza ttcl kwa nusu bei na baadaye akakataa kulipa na pesa yote aliyonunua ttcl akarudishiwa na akaanzisha Celtel badala ya Celnet ambayo ilikuwa tayari imesajiliwa na huku mitambo ya gsm ikiwa bandalini kilichofanyika ni kumuuzia mobitel(buzz) na TTCL kuwa na hisa Mobitel )(tigo) ambazo mpaka sasa haijulikani ziko wapi.Mo anahusika sana kuiangamiza TTCL na yeye ati anajifanya ndiye bingwa wa uadilifu ati anawapa zawadi viongozi wa afrika waliostafu wakiwa waadilifu.Sumaye,Walioba na salimu wanajua vizuri habari yote na aliyetolewa kafara na kuachishwa uongozi wa TTCL ni Adolar mapunda natumaini ana mtandao na ni mwanajamii anaweza kueleza mengi.Huu ni wakati wa ukweli na uwazi wafanyakazi wa TTCL amkeni muikomboe ttcl yenu.
labda tutofautishe mambo haya mawili: kutokuwa competent na kuhongwa na wamiliki wa kampuni za simu za binafsi
wireless modem ya ttcl inauzwa 75000.
bundle ya 1gb inauzwa 70000
wakubwa wa ttcl wanayajua haya. na wanajua bei za modems na bundles zilivyo cheap kwenye private firms, ila wanafanya makusudi ili kuuwa shirika
nchi hii ni ya rushwa jamani au mumesahau?
Nilishawahi kufanya kazi TTCL zaidi ya miaka kumi iliyopita chini ya utawala wa Mapunda. Kwa wakati huo tuliamini kuwa ufumbuzi wa matatizo yetu ulikuwa chini yetu wenyewe.
Naamini tatizo kubwa ni la uongozi, mzee Said na wenzie wameshindwa kuiongoza TTCL.
Huyu huyu Mo Ibrahim???
Can you explain a bit?Because it is a parastatal organization
Mkuu afadhali nimepata mtu mwenye inside information.., kulingana na aliyosema Shingo hapo juu, wewe unadhani ni hatua gani ingebidi ichukuliwe ili kunusuru hili janga? au inatakiwa wafanye nini sasa ili watoke kwenye hili janga?
Mkuu ukimsoma Kishongo, sio kwamba viongozi hawataki kufanya hivyo..., ni Kwamba Mkono kutoka nje unawazuia kufanya hivyo kwa manufaa yao wenyewe.... true huenda kuna kauzembe katika taasisi zote za serikali..., lakini from Kishongo's Post hii imenifanya nione hata kama ukiwa the best CEO in the world hii taasisi huiwezi sababu hapo wanataka " yes man " Kwahiyo hapa our enemy sio TTCL ni people above / outside TTCL na ndio hao hao watu ambao wanakula nchi yetu katika kila industry madini, kilimo etcBiashara ya mobile services ni matangazo, ubunifu wa kutoa product mpya kila mara pamoja na kumsikiliza mteja - vyote hivi havipatikani TTCL. Hivi karibuni Kampuni ninayofanyia kazi ilipatwa na matatizo ya FIBRE kati ya point A na B ambayo imekodi TTCL. Tuliripoti tatizo TTCL usiku huohuo na kufuatilia kila baada ya nusu saa lakini ilibidi tutume gari asubuhi yake ili waje kumaliza tatizo, hii haikubaliki na hivi sasa tumeshaanza kujenga fibre network yetu wenyewe to get rid of TTCL poor service.
Unaweza ukatembea DSM mzima si ajabu usilione hata bango moja la matangazo la TTCL.
Nadhani shirika lingepewa viongozi wenye VISION na wanaojali maslahi ya taifa kama Mzee Ole Kambainei lingepaa.
Sounds like CCM have to go!Mkuu ukimsoma Kishongo, sio kwamba viongozi hawataki kufanya hivyo..., ni Kwamba Mkono kutoka nje unawazuia kufanya hivyo kwa manufaa yao wenyewe.... true huenda kuna kauzembe katika taasisi zote za serikali..., lakini from Kishongo's Post hii imenifanya nione hata kama ukiwa the best CEO in the world hii taasisi huiwezi sababu hapo wanataka " yes man " Kwahiyo hapa our enemy sio TTCL ni people above / outside TTCL na ndio hao hao watu ambao wanakula nchi yetu katika kila industry madini, kilimo etc
Sounds like CCM have to go!
They have failed us, and they must leave for somebody else. I think we better have Chadema now and see what they can do. 50 years are enought to test them.....and they have failedVery true, Could not put it any better myself.
Executives are not competent enough to to make the strategic plans for new developments. They are just idiot - business as usual.
TCCL could have been very successfull PLC in the country.
Pole sana unazungumza mambo bila utafiti na hutajua ukweli! Nakupa pole zaidi. Tukiwa na watanzania wakurupukajikama wewe hatufiki mbali. Fanya utafiti kidogo na kama umefanya ukaja na conclusion hii basi umepata zero kwenye project yako!Unataka kubisha kwamba viongozi siyo competent? Kama ni competent basi wafanye changes kwenye organization.