Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,143
- 2,785
- Thread starter
- #41
Sasa kama Zimbabwe na Uganda Wamelonchi na bado ni watu maskini hizo technology zingine ni Show Off tu kwa Nchi maskini.
Ni sawa na Mtu amuulize Mkulima wa Mahindi Mbalizi huko Mbeya why hana Laptop Apple Mac Air.
Na kuuliza kwanini hayuko Interested na Tech.
Mkuu satelite si kwa ajili ya kutoa umasikini
Ni kwa ajili ya matumizi ya kijasusi, Ulinzi,hali ya hewa na mengineyo
Ni teknologia hiyo hyo inawawezesha rwanda kufanya ujasusi ndani ya tanzania pasipo nyie kujua….
Jitahidi kuhusianisha mambo
#Ogopa technologia