Why Tanzania is not interested in Technology?

Shida ni malengo, Hii nchi wananchi wake hawana malengo. Mwaka jana sijui ilitoka budget ya 692B za anunani za makazi

Mpaka leo hii sijaskia au kuona watanzania wanaonufaika na huo mradi, trca walitoa API lkn hamna IT anae zitumia na ni bure

IT wa tanzania ndo hawa wanabisha kama watoto sijui framework gani ni bora kuliko nyingi, sijui language hii ina speed kuliko nyingine

Badala wakae watengeneze mifumo, software zenyewe zimewashinda kutengeneza, wapo huku wanatafuta wanafunzi wa kuwafundisha programming ambayo wenyewe wameshidwa kuitumia

Hata iyo satellite kutiirusha inatumiwa na Mamlaka ya hali ya hewa na mzee azam kurusha matangazo ya azamTV

Vijana wa hii nchi wamelala na kupoa
Vijana wa hii nchi sio tatizo
Tatizo ni mazingira waliyokulia, Bongo hata elimu yetu tu ni mbovu, inaishia kumkaririsha kijana mambo yasiyo na tija kwenye maisha yake na kumpotezea muda mwingi. Unategemea huyo kijana afanye kipi kikubwa ikiwa msingi aliowekewa kupitia elimu ni mbovu?

Takribani wiki mbili zilizopita Mbeya University of Science and Technology (M.U.S.T) walifanya maonesho ya kiteknolojia juu ya ubunifu wa vijana wa chuoni hapo kwenye mambo ya kiteknolojia. Ukienda M.U.S.T pale vijana ni wabunifu sana licha ya kupata elimu duni ya Tanzania lakini cha ajabu hata lecturer wao analalamikia suala la kukosa support kutoka kwa serikali. Inaonesha suala la maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia Tanzania yanategemea zaidi siasa kuliko ujuzi. Project kibao zilizofanywa na wanachuo wa M.U.S.T zinaishia kuoneshwa kwenye maonesho watu wanazifurahia then zinakufa kwa sababu serikali haina interest na hayo mambo. Ili kukuza teknolojia hela inahitajika na ndio maana wabunifu wanashindwa kuendeleza ubunifu wao kwa sababu wamekosa financial assistance kutoka kwa government.
M.U.S.T walipeleka ubunifu fulani (nimesahau kidogo) kwenye halmashauri ya mkoa ila walikesha wakisubiri mrejesho mpaka wakachoka wao, project ikafa juu kwa juu

Sasa hivi wanaendelea na utafiti wa kubadili mabaki ya mazao ya ngano na mpunga kuwa mbadala wa cement kwenye vitu kama kupiga plaster kwenye nyumba. Wamefanikiwa kwa asilimia kadhaa ila hata wakija kumaliza utafiti wao sidhani kama watafika popote ikiwa serikali yenyewe haina hata muda nao

Usiseme vijana wa Bongo wamepoa, sema taifa ndio limepoa.
Vijana wabunifu tunao ila taifa ndio linawakwamisha. Nenda Mbeya ukajionee mwenyewe
 
Deal kubwa zaidi na uwekezaji mkubwa zaidi kwa utawala wa nchi yetu ni SIASA. Haya mambo mengine wala hata hayawahusu watawala wetu.
Ukweli ni kwamba Sayansi asili ndiyo inayotawala dunia kwa sasa, na Maendeleo Endelevu ya Kweli, ya Uhakika na ya Haraka nchini Tz yatapatikana kwa kupitia Sayansi na Teknolojia.
 
Ni sahihi unachosema ila kwa Tanzania serikali inapaswa ku-support vijana wabunifu kwenye sekta ya Sayansi na Teknolojia

Nadhani function mojawapo ya government ni "to promote and enhance development of science and technology in the country"

Mimi bado lawama naitupia serikali
 
Shida ni malengo, Hii nchi wananchi wake hawana malengo. Mwaka jana sijui ilitoka budget ya 692B za anunani za makazi

Mpaka leo hii sijaskia au kuona watanzania wanaonufaika na huo mradi, trca walitoa API lkn hamna IT anae zitumia na ni bure

IT wa tanzania ndo hawa wanabisha kama watoto sijui framework gani ni bora kuliko nyingi, sijui language hii ina speed kuliko nyingine

Badala wakae watengeneze mifumo, software zenyewe zimewashinda kutengeneza, wapo huku wanatafuta wanafunzi wa kuwafundisha programming ambayo wenyewe wameshidwa kuitumia

Hata iyo satellite kutiirusha inatumiwa na Mamlaka ya hali ya hewa na mzee azam kurusha matangazo ya azamTV

Vijana wa hii nchi wamelala na kupoa

Siku zote mnalaumu vijana tu, we umeona kabisa serikali imejidhatiti kabisa kwenye suala la technology ila vijana wanazingua!?
Haya tuje kwenye mfano mdogo tu uliotoa kuhusu anuani za makazi, haya niambie hizo anuani za makazi zitamsaidia nini kijana anayetengeneza software!? Tulitegemea itatunufaisha na package delivery hasa za online e-commerce ambazo labda zingetengenezwa na vijana hao unaowalaumu lakini mpaka leo sisi tupo nyuma tunasuasua masuala ya payment na mifano ipo, huwezi kupokea hela kwa paypal na njia nyingine zinazofanana na hiyo, sasa utaunda e-commerce software ifanye kazi gani!?
Leo kupata API tu kwenye hizi taasisi zetu ziwe za serikali au binafsi ni kama vile unatafuta uzima wa milele, ulasimu mwingi na hizo charges ndo usiseme wakati ilitakiwa iwe free au ziwe open kama wenzetu
Tunapotaka kuwalaumu vijana kwanza tuangalie kama kweli wana mazingira wezeshi mazuri na si kukimbilia kuwalaumu tu
 
Kuna nchi zimepiga hatua kubwa kwenye techno-logia hiyo lakini haya majanga halisia bado yanashinda kwa knockout...mudslides huwa zinatokea ata huko ukimwengu wa kwanza na watu wanakufa. Sijajua kama satellite inaweza kikuambia kwamba mlima fulani utaporomoka bali itakuambia kuhusu hali ya hewa labda kutakuwa na mvua siku fulani kitu ambacho TMAA huwa wanatoa hizo taarifa. Nafahamu pia kuna sensor za matetemeko ya ardhi n.k lakini si unakumbuka Tsunami ilivyotokea na kusomba watu.
Kweli lakini vipi kuhusu hii internet tunayotumiankufikishiana taarifa na kufanya kazi nyingi kabisa hapa duniani ? Unadhani kwanini wenzetu wana internet ya kasi sana mkuu ?
 
Education, Science and Technology is just like Nothing in Tanzania, instead the Big Deal here is Politics. Politics, I mean a Dirt Politics is Everything here in this Country, seriously I feel ashamed to be Tanzanian. If you introduce that idea of Satellite or Science and Technology to the regime of this country, abruptly you'll be an enemy of the state because such kind of stufffs cannot benefits the personal individuals in the regime.
Umesema ukweli na msema ukweli tanzania ni snitch 😂😂😂, aisee hawa watu ni wagumu sana, mtu kama nape ni zero brain kila kona ila ndio waziri wa habari na technologia ukimshtikukiza saivi ukamwambia nape DSL ni nini sidhan kama ataleta jibu bila kwenda google..
 
Siku zote mnalaumu vijana tu, we umeona kabisa serikali imejidhatiti kabisa kwenye suala la technology ila vijana wanazingua!?
Haya tuje kwenye mfano mdogo tu uliotoa kuhusu anuani za makazi, haya niambie hizo anuani za makazi zitamsaidia nini kijana anayetengeneza software!? Tulitegemea itatunufaisha na package delivery hasa za online e-commerce ambazo labda zingetengenezwa na vijana hao unaowalaumu lakini mpaka leo sisi tupo nyuma tunasuasua masuala ya payment na mifano ipo, huwezi kupokea hela kwa paypal na njia nyingine zinazofanana na hiyo, sasa utaunda e-commerce software ifanye kazi gani!?
Leo kupata API tu kwenye hizi taasisi zetu ziwe za serikali au binafsi ni kama vile unatafuta uzima wa milele, ulasimu mwingi na hizo charges ndo usiseme wakati ilitakiwa iwe free au ziwe open kama wenzetu
Tunapotaka kuwalaumu vijana kwanza tuangalie kama kweli wana mazingira wezeshi mazuri na si kukimbilia kuwalaumu tu
Aisee noma sana mkuu ila hawawez kukuelewa sababu watu bado wapuuz, ishue ya starlink tu ni mzozo tu hapa bongo eti mpaka wawe na ofice tanzania kwa mujibu wa nape, ila mawebsite makubwa makubwa yako hosted na maweb server ya watu ambao hawajawah kufikiria kufungua ofice tanzania, na unakuta wakati linasema ivyo linapublish hiyo kitu kule X ambapo wakiwa na shida ya kila aina ya kweries zinasolviwa na watu wa X ilhali ofisi hazipo tanzania. Hili la paypal limenifanya nisihangaike na harakati za online ambazo zipo nyingi, serikali ya Tz inapenda wananchi waendelee kuwa local local wawe washba washamba majitu ya bush ili watawalike vizuri, juz nimeona wafanya biashara wanalalamika kuna mtu anakuja kuwauzia watu bongo vitu kwa bei za china yan wanamind kuwa wao wanakosa soko, Tz mtu akiwa extra creative kidogo anakuwa anacheza na regime na ni hatari…
 
Waliosema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu alikuwa sahihi 100%.
Kupokea pesa kutoka nje kwa nchi ya Tanzania imedumaza sana teknolojia yetu.
Mtu anakuwa na idea nyingi za kutengeneza software na kuzuia duniani kote ila kwenye masuala ya malipo, inabidi hairishe tu
Huwa nasikia uchungu sana kununua huduma nje kwa paypal ila mimi kupokea pesa haiwezekani.
 
Wewenhuekewi hata tofauti ya "launch" na "lunch" halafu unataka kuongelea "technology"?

Ujinga huo.

Kwaiyo ndio ulichochangia yy n mmoja nchi ni taasisi!!

Tanzania bado nchi ya hovyo imekalia ukale tu hutakuta inajishuhulisha kwene technologia mpya
 
Waliosema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu alikuwa sahihi 100%.
Kupokea pesa kutoka nje kwa nchi ya Tanzania imedumaza sana teknolojia yetu.
Mtu anakuwa na idea nyingi za kutengeneza software na kuzuia duniani kote ila kwenye masuala ya malipo, inabidi hairishe tu
Huwa nasikia uchungu sana kununua huduma nje kwa paypal ila mimi kupokea pesa haiwezekani.
Yan ni upuuz tu na upumbavu mkuu
 
Ila pia naomba niondoe fikra kuwa Satelite italeta internet ya kasi, internet ya kazi inategemea fibre optic cables na sio satelite tanzania tuna cable mbili zinaingia nchini na kuna nyingine inakuja 2025 nadhani so tuna uwezo kabisa wa kuwa na internet ya kasi na cheap tatizo ni usambazaji wa ndani ya nchi na jinsi serikali ilivyopanga bei za data hawataki ushindani mkali wa kushusha bei kwa kuwa in short-term wanaweza kukosa mapato ya kodi so kuna minimum price ambayo kila mtandao inabidi itupige ndo maana bei kama zinafanana.

Satelite inatumika maaeneo ya shamba au maeneo ambayo hailipi kuweka fiber kwa nchi za wenzetu ila sio solution ya internet ya kasi kwa nchi nzima, satelite ina delay kubwa na haiwezi kubeba watumiaji wengi, hata hii ya StarLink imeanza kupata malalamiko karibuni jinsi wateja wanavyoongezeka spidi inashuka.
 
Sasa kama Zimbabwe na Uganda Wamelonchi na bado ni watu maskini hizo technology zingine ni Show Off tu kwa Nchi maskini.

Ni sawa na Mtu amuulize Mkulima wa Mahindi Mbalizi huko Mbeya why hana Laptop Apple Mac Air.
Na kuuliza kwanini hayuko Interested na Tech.
HIZI huwa ni sababu za KIJINGA bro( wamagharibi wamezitumia kama silaha ya kudumaza 3rd world countries) achana nazo kabisa.
Return ya hizo teknolojia ni kubwa sana. Hizo nchi TAJIRI zimetajirika kwa sababu ya kuwekeza kwenye teknolojia, hazikuibika kama uyoga.
Ione China imeinuliwa na teknolojia sio kitu kingine.
Zamani tulifundishwa kuwa elimu ndio ufunguo wa maisha..
Mimi nasema TEKNOLOJIA NDIO UFUNGUO WA UTAJIRI. JESUS ALIPATA SEMA"USIMUACHE ELIMU AENDE ZAKE" .
Mimi nina sema "USIIACHE TEKNOLOJIA IENDE ZAKE.
Nimalizie kwa kumnukuu MUHAMAD SAW, ALISEMA " ITAFUTE ELIMU HATA CHINA".
Katika dunia ya leo hatuzungumzi tena elimu( it is obvious) bali teknolojia, hivyo basi ITAFUTE TEKNOLOJIA HATA KAMA NI CHINA.
WASALAM NA MWENYE KUELEWA AELEWE.
WE ARE NEW PROPHET IN TECHNOLOGICAL ERA.
 
Back
Top Bottom