Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

All in all harmonize anawanyima usingizi crew Nzima ya wasafi, and he is just one guy , wanataka kumuona akishuka too bad Mungu sio juma Harmo Kila Siku nyota yake inazid kuwaka juu , huyu mmakonde kamzid domo ujanja
Naona unajitekenya halafu unacheka mwenye we.. Weka u team pembeni halafu tumia kichwa kufikiri then utaja jua kwamba Nani mjanja Kati ya mmakonde na mmanyema.Comments uchwara kama hizi+Bange ndio sababu ya mmakonde kuporomoka kila siku. Zuchu si wakumpita ki mauzo mmakonde
 
Labda mimi ndo sielewi hivi Harmonize anamzidi nini Diamond au anamfikia kwa lipi mpaka watu waseme anamyima usingizi? ukianzia shows,streams,viewers,downloads,mauzo hakuna ambapo harmo anafika. Hata diamond akae miezi 6 bila kutoa ngoma harmo hamkuti kwa viewers wala download za kila mwezi huko mtandaoni.
Ni uzwazwa kuamini Harmo anaweza kufika level za JINI PLATNUMZ
Toka mwaka umeanza leteni statistics za shows na viewers kati ya hawa wawili na mkumbuke chibu hajatoa ngoma mwaka huu na harmo ametoa tuone mmakonde anamgusa wapi chibu hahaha acheni uteam mnakaza vichwa hamuoni numbers.
 
Zuchu Ana stream nyingi lakini anachoingiza ni kidogo
Watanzania mna matatizo kweli, kwanini mnalazimishia kwamba wanaingiza kiasi kidogo, mko kwenye bank account zao. Hawajalazimishwa kuwepo hapo, ni mapenzi yao sasa nashangaa mmekuwa wasemaji wao. Mtu kasema anaingiza pesa nyingi wewe ni nani unamkatalia, alishawahi kukuomba msaada au kukukopa hela???
 
Diamond hapendi msanii yeyote aondoke WCB kwasababu wasanii hao no Kama mizukule ndo inamuingizia pesa na kumtajirisha, ndo Mana alikasirika Sana harmonize alivoondoka kwasababu mapato yanapungua
 
Unazan hao wakisimama wenyewe kama harmonize wanaweza kufika hizo streams and download?
Labda unasahau kwamba hata huyo Harmonize hivi sasa anasimama mwenyewe kwa sababu tu alikuwa hapo hapo unapowasema hao wengine! Kuna wasanii wakali maradufu kuliko Harmonize na bado hawapati hata robo ya views anaowapata Harmonize! Ukifahamu hilo utagundua kinachombeba na yeye ni kuwa ex-WCB, na kisha aka-force bifu na Nassib wa WCB!
 
Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG:
VIEWERS WA IBRAAH
1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12
2. Nani_Ibraah Views Milioni 2.4
3. Nitachelewa _Views Milioni 2.2
4. Nimekubali _ Views Milioni 1.7
5.Wandoto _ Views Milioni 1.6
6.Nimpende _ Views Milioni 1.2
7. Sawa _ Views Milioni 1

JUMLA NI SAWA NA VIEWERS MILLIONI 22.1
.
VIEWERS WA HARMONIZE 2019/2021
1. UNO _ VIEWERS M 12
2.JESHI _VIEWERS M 6.6
3. USHAMBA _VIEWERS M 6
4.MPAKA KESHO VIEWERS M 4.8
5.FALLING IN LOVE VIEWERS M 4.8
6. BEDROOM _VIEWERS M 4
7. WIFE _MILLION 3.7
8.MAMA _VIEWERS M 2.8
9.HAINISHTUI _VIEWERS M2.9
10. ANAJIKOSHA VIEWERS MILLION 2.4
JUMLA NI VIEWERS MILIONI 47.6 +22.1=MILLION 69.7
.
.
VIEWERS WA ZUCHU
:
1. SUKARI YA VIEWERS M 26
2. CHECHE _VIEWERS M 19
3.LITAWACHOMA _VIEWERS M.15
4. WANA _VIEWS M. 11
5.NISAMEHE _VIEWERS M. 10
6.MAUZAUZA _VIEWERS M 8
7.RAHA _VIEWS M 7.8
8.NO BODY_ VIEWERS M. 6.2
9.KWARU _VIEWERS M 5.7
.
.
JUMLA NI 108.7
.
.
NAMALAZIA NA BOOMPLAY
HARMONIZE ANA STREAMS NA DOWNLOADS MILIONI 12.8 HUKU KIJANA IBRAAH AKIWA NA MILIONI 2 JUMLA NI MILIONI 14.8
MSANII ZUCHU ANA JUMLA YA STREAMS NA DOWNLOADING MILIONI 23.2

VIPI KUNA SABABU YA VITA YA HARMONIZE NA RAYVANNY?
Mngekuwa na akili kubwa kidogo kama mdomo wa boss wenu ingewasaidia sana.

Huyo Zuchu gharama zilizotumika kumpa hiyo mileage ni kubwa mnoo, na kwa vyovyote hajaingiza faida.

Hata YouTube channel yake imekuwa boosted mnooo. Kwahiyo hapo kuna mchanganyiko wa organic na paid views. Ukijumlisha ile branding affair aliyofanyiwa Mlimani City ni zaidi ya 10M.

Lakini hao Kondegang, ukicheck kazi zao zinaenda organically.

Probably huyo kibiashara Ibraah ameanza kuingiza faida lakini Zuchu bado.
 
Kumbe mzee baba wewe ni mshabiki wa kondeboy
 
Kumbe mzee baba wewe ni mshabiki wa kondeboy
Mimi nasema ukweli. Sijawahi kuwa msukule wa mtu yeyote.

Kwasababu kelele za kipuuzi zimekuwa nyingi.

Sasa mtu analinganisha watu wanaokuza YouTube channel zao organically na wanaotumia pesa. Kama siyo uzwazwa ni nini ??

Mngekuwa na akili kubwa kidogo kama mdomo wa boss wenu ingewasaidia sana.

Huyo Zuchu gharama zilizotumika kumpa hiyo mileage ni kubwa mnoo, na kwa vyovyote hajaingiza faida.

Hata YouTube channel yake imekuwa boosted mnooo. Kwahiyo hapo kuna mchanganyiko wa organic na paid views. Ukijumlisha ile branding affair aliyofanyiwa Mlimani City ni zaidi ya 10M.

Lakini hao Kondegang, ukicheck kazi zao zinaenda organically.

Probably huyo kibiashara Ibraah ameanza kuingiza faida lakini Zuchu bado.
Wewe hujui hata bei ya ukumbi mlimani city alafu unataka tujadili kuhusu biashara ya muziki, kweli?
 
Hotel waliyofikia ndio balaa zito

Nyie si mnaona Instagram tu , wenzenu hizo hotel kubwa wanaenda kikazi tu wanaitwa na wanaume kwa ajili ya kufanya ngono then wanaondoka wanaenda kulala Deira huko, mitandaon mnarushwa roho na mapicha picha mnaona wameyapatia maisha kumbe wapi

Huddah yupo Dubai Mwaka sasa unataka kuniambia siku zotr hizo analala hotelin ? Na kutwa kupiga picha kwenye hotel ila anapokaa huwez kukuta anapiga picha , nyie huko instagram mnadanganywa na mnajaa
 
Mimi nasema ukweli. Sijawahi kuwa msukule wa mtu yeyote.

Kwasababu kelele za kipuuzi zimekuwa nyingi.

Sasa mtu analinganisha watu wanaokuza YouTube channel zao organically na wanaotumia pesa. Kama siyo uzwazwa ni nini ??

Miaka yote wanaboost wao alafu google wawatizame tu kwani google biashara yao kubwa kwenye bidhaa yao ya YouTube ni matangazo.

Kuna maroboti wana monitor acc kila dk so kuhack unaweza lkn wana uwezo wa kugundua na kuifunga acc yako ndani ya siku.Kila mwaka watu wa Information system auditing wanaikagua kila siku kwa ajili ya waridhisha wateja wao wanao wapa matangazo.

Yaani hizi tuhuma zina miaka zaidi ya mitano,Google wasi wajue ?na siku hizi kuna hizi Artificial intelligence huwezi kununua/boost views.
 
Naona unajitekenya halafu unacheka mwenye we.. Weka u team pembeni halafu tumia kichwa kufikiri then utaja jua kwamba Nani mjanja Kati ya mmakonde na mmanyema.Comments uchwara kama hizi+Bange ndio sababu ya mmakonde kuporomoka kila siku. Zuchu si wakumpita ki mauzo mmakonde

Mmakonde he is on his own league Ndio maana wasafi wote wanachanganyikiwa
 
We all know Diamond Platnum ni Baba lao kwenye muziki, ila kinachomuumiza akili Diamond ni vile Harmonize anavyozid kukua siku hadi siku of which hataki itokee, Diamond is on top ila harmonize anampa hofu sana ki ukweli coz anaona moto anaokuja nao si mchezo, Ndio maana wasafi Nzima wanahaha wanaogopa kiti chao cha ufalme kuchukuliwa na harmonize

But soon or later harmonize anaenda kuwa mtu mkubwa sana , huu ni ukweli mchungu ambao wasafi hawataki kuamini

Harmonize ni tishio kubwa sana Ndio maana wanafanya juu chini kumzima, angekua sio threat wasingekua wanam attack kila kukicha

Why hawana time na mavoko? Kwa sababu walitaka kumshusha na wakafanikiwa hivyo hawana time nae washammaliza, Tatizo liko kwa harmonize, mmakonde anampa headache Boss wake wa zaman

Hakuna kitu kinauma kama mfanyakazi wako mwenyewe anakua mkubwa kukupita, well it’s very normal ni human nature hakuna anayependa kuwa mdogo kumzid mwenzie, ila harmonize anawapa stress sana wasafi
 
Miaka yote wanaboost wao alafu google wawatizame tu kwani google biashara yao kubwa kwenye bidhaa yao ya YouTube ni matangazo.

Kuna maroboti wana monitor acc kila dk so kuhack unaweza lkn wana uwezo wa kugundua na kuifunga acc yako ndani ya siku.Kila mwaka watu wa Information system auditing wanaikagua kila siku kwa ajili ya waridhisha wateja wao wanao wapa matangazo.

Yaani hizi tuhuma zina miaka zaidi ya mitano,Google wasi wajue ?na siku hizi kuna hizi Artificial intelligence huwezi kununua/boost views.
Wewe jamaa ni kiazi, kuboost channel ni legal na ndio biashara ya YouTube kupitia YouTube advertising.
 
Wewe jamaa ni kiazi, kuboost channel ni legal na ndio biashara ya YouTube kupitia YouTube advertising.
Huwezi kuboost kama hujui kwenye acc yako iwe Youtube,Insta,Fb,Twitter kila unachofanya,wana kimonitor,kupitia maroboti na AI.

KUBOOST huwezi,najua mbishi ila tafuta tutorial za AI au kama mpenzi wa documentary angalia documentary ya Social Dilemma unaweza ukapata darasa kijuujuu kuhusu AI.

Na si kuendekeza ukilaza wako na bado kuna watu huko wa information system auditing.
 
Back
Top Bottom