Ni wakati wa Harmonize kutumia weakness za Diamond Platnumz hasa skendo za Wanawake kujiongezea fanbase

Nedago

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
908
1,348
Hi guys!

Let me declare,I'm Diamond Platnumz fun but also I support any bongo fleva artists who are pushing hard to make sure our music dominate airways internationally.

Kiufupi pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa diamond platnumz lakini hivi karibuni nimechoshwa na tabia yake ya kuwadhalilisha wanawake (womenizer),sipendi hii tabia kabisa na hii nadhani wengi wanajua huwa inampunguzia mtu heshima na kudharauriwa,na Mimi now hata kusikiliza song's zake naona kama nikisikia nyimbo zake kuna kitu kinanisuta na kukumbuka hii tabia yake chafu,kwaio naishia kuepuka kusikiliza song's,sijajua hali ya Baadae.

Sio kwamba yeye ni wa kwanza kuzalisha wanawake na kuwaacha lah,wapo wengi Mfano kina Hemed PhD,kina wizkid nk,wenzie wanawazalisha wanawake bila kuishi nao na kisirisiri hadi Baadae inapokuja kujulikana kuwa wamezalisha sehemu mtoto,lakini yeye mode anayoitumia ni sio nzuri hasa kuwaaminisha wanawake hao kuwa atawaoa na hufikia hatua ya kuishi nao kinyumba ( isipokuwa mobetto) but Baadae akishawachoka anawatema huo sio uanaume ni ushamba na ni pepo linamsumbua.

Watu wanaenda mbali zaidi kwa kudai mama na dada yake wanahusika kwa kumuingilia katika mahusiano yake because wanasema nikama Diamond still ni (mama's boy) amemuweka mama yake karibu sana hata katika masuala ya relationship zake.

Matokeo ya tabia yake yanaweza yasionekane Haraka lakini taratibu yanamshushia heshima yake na kumpunguzia fun base,hapa tz na katika nchi ambazo hao wanawake anaowachezea wanatokea.

Mfano nimeona hii issue yake na tanasha imewaudhi sana wakenya wengi ambako ndio anakoongoza kwa fanbase kubwa,wakenya ndio wanaoongoza kusikiliza nyimbo za diamond kwenye online platforms zote na si tz,pia hata shows,sasa wakenya Nimeona wamechukia na hii huenda ikampunguzia fanbase Kenya taratibu na mauzo yake online na Show's vikapungua taratibu na ndio kushuka kunavyoanza,hii ilitokea hata Uganda katika ishu yake na zari,waganda wakaanza kuboycott music wake taratibu na akapoteza fanbase kubwa kule.

Hii inaweza ikawa nafasi nzuri kwa mshindani wake wa karibu harmonize kutake over funbase inayodrop kutoka kwa Diamond na kujiongezea ukubwa wake hasa Kenya,uganda na Africa mashariki kiujumla,maana harmonize naona ndie msanii mwenye juhudi kubwa na kiu ya kufika mbali Kulinganisha na wengine,let aside girls Kama Nandy na Vanessa mdee,
So akitumia vizuri gap hilo atafika mbali na kushine sana pamoja na Kondegang yake,akishindwa kutumia hizo weekness hizo basi asahau kushindana na wcb wasafi na Diamond platnumz.

Niliona kwenye interview yake pale wasafi akidai Kwasasa hatajihusisha na mapenzi kwa muda wa miaka 5 ijayo na akiingia kwenye relationship basi ni ndoa,ni kiziwi tu anaeweza kuuelewa uongo ule because kwa Diamond ninayemjua hawezi kukaa hata miezi mi3 bila kujihusisha na wanawake,mimi mwenyewe siwezi kukaa miaka mi5 bila mwanamke ni uongo mkubwa hasa kwa mwanaume uliyekamilika.

Kwa Mimi naona ni vema tu,angemuoa yule binti wa Kenya,maana Kama demu aliamua hadi kubadirisha dini kwa sababu yake then unamwacha,aliacha hadi Utangazaji kwenye kituo cha redio kule Kenya akijua anakuja kuolewa tz na mond,na kuzaa juu.So Kama akiweza aoe mapema kusolve hii ishu na kuokoa fall down inayoweza kutokea taratibu bila yeye kujua.

Now wakenya wanamwita father Abraham.
Am Done guys have a good day.
 
Acha kucatch feelings we mwanamke...any publicity is good publicity...Kwanza kitendo Cha harmonize kuoa kashajipunguzia funbase...we mwenyewe ukute unamkubali mond kwa kuhisi unaweza pata nafasi
 
Poor strategy hiyo njia waliitumia maadaui wake wa zamani wakashindwa.

Cha msingi yy afanye kazi kwa bidii ,awe mbunifu,ajitume basi ,akisema atumie hiyo njia watampoteza.

Diamond hapa Tanzania hana mpinzani wa karibu wapinzani wake wote kawaacha mbali sana kwa East Africa labda Sauti Sol ndio wanachuana na Diamond in terms of shows,mauzo digital platforms.
 
Kama ulishawahi kufulia na kuwa katika maisha ya chini sana tena yale ya uswahilini huku ukiwa unatamani kuwa maisha ya kishua.

Kama ulishawahi kuambiwa maneno makali ya dharau, kebehi, fedheha na kudhalilisha na mwanamke ulitamani akupe faraja wakati ukiwa katika level ya chini kabisa ya maisha ya umasikini bila kutamaniwa au kupendwa na mwanamke yoyote..... Na wote uliowaona japo kutaka hata kuwasalimia wanakutazama kwa dharau na kukuona takataka.....

Kama ulishajitoa kununua zawadi ya bei ndogo kwaajiri ya kumpatia binti aliyekuvutia then akakwambia ulichompa hakina hadhi ya kuitwa zawadi..... Ile hali ukijua hauna uwezo wa kupata zaidi ya ulichompa......

Kama ulishawahi kupitia magumu katika maisha yako na mama yako pekee ndie akabakia kuwa mfadhiri, mfariji, na rafiki wako katika nyakati zote akicheka na kulia na wewe na kukupenda kwa namna ulivyo kapuku sababu wewe ni damu yake......

Ukiweza kutafakari haya machache, utaweza kuelewa kwann diamond hawezi kuishi na hawa viumbe wanaojiita wanawake.

Mapenzi ya kweli gani hayo yanakuja baada ya kuona mtu katoboa maisha halafu unakuja kujishikisha mimba ili umteke jamaa kiakili na kumfanya kuwa ni tiketi yako ya kumaliza umasikini........

Diamond anaweza kuonekana kama mnavyomwita, womeniser ila Jiulize, mtu anaekuja kwako, akijifanya anamapenzi ya kweli kisha anajitegesha uchi wake ili umpatie mimba apate mtoto ili amtumie mtoto kama ATM card kudraw pesa kwako utamwitaje huyu mtu ana mapenzi ya kweli kwako......

Na hata kama ni kweli anampenda diamond then unadhani ni rahisi kwa diamond kumuamini mwanamke yoyote atakae kuja kwake kwa gia ya mapenzi ya kweli......

Kama alivyosema MICHAEL JACKSON once...... Kuwa BEFORE YOU JUDGE ME, ASK YOURSELF...... HAVE YOU SEEN MY CHILDHOOD......... Yaani kabla haujanihukumu hebu Jiulize ulishawahi kuona maisha yangu ya utotoni ambayo yamenishape na kuwa hivi nilivyo leo...

Simtetei diamond ila nasema tu kuwa, kabla hatujamuona na hatia hebu tuanze kuona innocence yake imelalia wapi, kwasababu hata yeye pia ni victim wa life circumstances....

Hao wanawake wanaomfuata nao ni financial predators tofauti na namna wanavyojitanabaisha kuwa wao ni viumbe dhaifu na wanahitaji msaada pale wanapokwama.....

Kwa muda mrefu jamii inakaa ikiamini wanawake hawakosei na wanaonewa kwenye kila janga..... Mimi pia niliamini hivyo once ila kwasasa i have learned and understood the hard truth and the difference........ Wanawake wa sasa ni conniving artist who will say and anything to get away from the trouble they sourced and will do anything harming and killing if possible to get what they desire, thats pure evil.... Ushahidi tunao kila sehemu kwenye matukio ya kila siku.... And jamii inasaidia kucoverup this virus in the name of weakness.... Weakness my foot......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmmhmn baba, mbona umeandika kwa jazba hivyo.....
 
kwann kila msanii anaekujakuja juu tu ,mnataka kumshindaanishaga na diamond afu anafeli ,kwann,kwann usimwambie apige kazi awe kama diamond, wew unania ampite tu, pole sana ,
 
Acha kucatch feelings we mwanamke...any publicity is good publicity...Kwanza kitendo Cha harmonize kuoa kashajipunguzia funbase...we mwenyewe ukute unamkubali mond kwa kuhisi unaweza pata nafasi
We kopo Acha kunidhalilisha,nipate nafasi gani Mimi kwake? Mimi sio fun wa homosexual Kama wew xhenz type.
 
Ukweli mchungu huu kwa domokaya, Ila hawa Tecno wereva wa kununuliwa bundles hawatakubali kamwee. Hihihihihihihihihihih
 
mungu pekee ndo atamshusha domo nyie wengine mtaendelea kujaza server bt matarajio yenu hayatakua na maana
 
Back
Top Bottom