Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

Mtu anakwambia tuangalie anapokaaa ndo tutajua ana hela hivi kweli
Wakulima wangap vijijini wana nyumba za kawaida ila account za kutisha
Pesa haionyeshwi kwa makazi
Chukulia mfano diamond alivopanga sahivi ina maaana kwamba kwa wote walio na nyumba wamemzidi hela kisa kapanga???

Kwangu mimi wcb imewasaidia watu kutambulika haraka zaidi na sidhani ni 35/65 kama watu wanavyosema humu...

Watu ambao wangechukua muda kushine pale wamechukua muda mfupi tu kitu ambacho ni kizuri na hata akiondoka pale wcb anaondoka na loyal fans wake.....kama ilivyo kwa harmonize alivoondoka
Kweli mkuu, hiyo 35/65 ni member mmoja humu anayejifanya kujua sana mambo ya pale usafini. Hatuwezi kuamini rumors, sasa mtu unajiuliza hivi inakuwaje shabiki uone mtu ananyonywa ikiwa muhusika hana tatizo na ameridhika. Na hatua anazopiga zinaonekana, leo hii mtu Kama mbosso rayvany wanasukuma ndiga za bei juu, wamejengea wazazi wao na mambo kadhaa wa kadhaa tusiyoyajua.
 
Tufanye uko sahihi, tuchukue mfano wa wazi wa Mbosso.
Let's say Mbosso ananyonywa, je asingekuwa WCB ambako ananyonywa akawa solo kama wenzie aliokuwa nao Yamoto Band ambao 'hawanyonywi' kwa kuwa hawako kwa mnyonyaji angekuwa na mafanikio ya kimuziki na kiuchumi kama walivyo wenzie,mtu anayewekeza pesa, muda, maarifa na mikakati anachochukua ni halali ukizingatia amamuongezea msanii maarifa na umaarufu vitu ambavyo hawezi kuvichukua na ni priceless.
Hata ukijiuliza wasanii wa konde nyani na king music ambao hawanyonywi wanakipi cha ziada kwa wasanii wa wcb wanaonyonywa? yaani wasionyonywa hawafikii hata robo ya pesa na umaarufu wa wanaonyonywa alafu mtu anakuja na ngonjera za kuwaponda wcb.
 
Rayvani alikuwa tip top connection.alikuwa Hana mbele Wala nyuma,
Harmonize ndo kabisaa
Lavalava ndo usiseme.
Walioouwa na afadhari NI queen darlin,mbosso na rich mavoko hawa walikuwa tayari NI wasanii.
kuwatoa rayvani, harmonize,zuchu,lavalava haikuwa kazi ndogo.
"UKIONA UNANYONYWA KUMBUKA ULIPOTOKA"
 
Back
Top Bottom