Why Mheshimiwa Mbunge Zitto is My Hero!!

Why Mheshimiwa Mbunge Zitto is My Hero!!

Nachukua nafasi hii kukutia moyo kamanda Zitto Z. Kabwe kwa harakati na misimamo yako.Napenda ufahamu kuwa una watu wengi nyuma yako kuanzia ndani ya CDM na nje ya CDM,usife moyo kwa hii vita ya kisiasa dhidi yako;mti wenye matunda hauishi kupigwa mawe.

Kwa mzalendo yeyote atakubaliana na msimamo wako dhidi ya posho (sitting allowance).Ninyi wabunge mnalipwa mishahara minono kwa kazi ya kuwa bungeni iweje tena tuwalipe mara mbili?kwa mujibu wa Lema posho za mbunge kwa mwaka ni 12 milioni, je ukizidisha mara idadi ya wabunge pesa hizo zingeshindwa kusomesha watoto wa vyuo vikuu?

Kama Lema siyo mnafiki kwanini wakati hoja ya kupinga posho inajadiliwa bungeni kwanini Lema hakuungana na Shibuda kupinga hoja hiyo na kuomba posho ziongezwe?

Zitto endelea kufichua maovu kama unavyofanya kwenye mabilioni ya uswis.

Usirudi nyuma CDM ni ya wote na tushindane kwa hoja....wewe ni mwiba kwa baadhi ya watu ndiyo maana unatafutiwa ubaya,na hili si lingine ni kwasababu ya uchaguzi unaokaribia.

ANGALIZO:
Wanasiasa fanyeni kazi kwa maslahi ya nchi yetu na si kutuchukulia wananchi kama mitaji yenu ya kufanikisha malengo yenu ya kiuchumi na maslahi mengine binafsi.
 
Wewe mzushi na zitto wako. Hakuna mtanzania aliye nyuma ya huyu mnafiki, mbinafsi na muongo.
Mi ni ccm damu damu!
 
Zitto ni mtu wa watu hasa sisi wanyonge,ni vigumu sana mtu kutoka kanda ya kaskazini akakata pesa sembuse posho hasa mchaga
 
Usiwe nyuma ya Mwanamume mwenzio...... Watu wa Mombasa bhana......
 
Huku nyuma ya zitto mwamfanyaje? Ok zito ni mfano mzuri wa kuigwa katika orodha ya wanasiasa wetu hapa Tanzania na duniani kwa ujumla.
 
Usiwe nyuma ya Mwanamume mwenzio...... Watu wa Mombasa bhana......

Zito ni mkongo,anajiita Mjiji.kama umefanya kazi na hao utajua Ziro ni nani.Ulizeni chuoni alikwa anatenda vipi wenzie. Washabiki wa Zito hamjitambui mna akili za kushikizwa.
 
Ni tahira pekee ndo aweza kuwa nyuma ya huyo msaliti na mnafiki mkubwa!!!
 
Kwenye inshu ya posho tunamuunga mkono na kufuata msimamo wa chama wa No Posho....

Kwenye inshu ya Usaliti na Undumilakuwili tunamtilia mashaka makubwa. Ni kwamba haaminiki kabisa, tunamuona kama popo mwenye tabia za ndege na za mnyama at the same time.

Ikumbukwe msaliti ni sawa na mtu anayetoboa jahazi ambalo wote tunasafiria. Uongozi wa CDM unatakiwa kumaliza hii inshu OBJECTIVELY. Without FEAR or FAVOR
 
ccm hoyeee,karibuni kwenye chama hiki wale wote mlioushtukia mchezo mchafu wa cdm.
Nalog off
 
CCM inakumbatia na kutetea na kupalilia UFISADI, yes! Zitto anapambana na mafisadi, yes! Zitto ni hero wa mafisadi, yes! Kimojawapo lazima ni uongo hapa!
 
You get me wrong LOOSER!!!!
Zito ni mkongo,anajiita Mjiji.kama umefanya kazi na hao utajua Ziro ni nani.Ulizeni chuoni alikwa anatenda vipi wenzie. Washabiki wa Zito hamjitambui mna akili za kushikizwa.
 
Wote hapo hamjaoa, nadhani stori zilikuwa ni wanawake tu.
 
They do politics everywhere at anytime. Be ashamed bro, grow up. Zitto is a great hypocrite.
Hypocrites get offended by the truth.
 
Back
Top Bottom