Why Mheshimiwa Mbunge Zitto is My Hero!!

Yaliyoandikwa Below, mwenye masikio na asikie, mwenye macho na asome
Wakati mwingine muwe mnaona aibu kueneza uongo. Kama babako na viongozi wenzake walizoea kuiba serikalini si kila raia anayefanya shuguli zake nchi hii anafanya huo ufisadi wenu unaoutafuta kwa udi na uvumba kuurithi kwa hizi cheap popularity unazotafuta ccm.
Mbowe ana uwezo wa kununua hayo majumba na alikuwa nayo tangu akiwa mtoto. Si babako aliyechanganyikiwa kwa mapesa ya serikali make hajazozea. Mbowe ni mfanyabiashara na ni kitu cha heri mbele ya Mwenyezi Mungu kuliko nyie mnaotubia fedha za watoto wetu wanaokosa elimu huku nyie mkiiba fedha za huduma za jamii kusomesha watoto wenu kwenye shule za binafsi mlizofanya miradi yenu kuwanyonya damu wanyonge.
Mbowe hajaiba fedha ya serikali na hata ruzuku inayolipwa CDM ni pesa ndogo tu kulinganisha na matumizi ya chama hicho hivyo huwezi kusema eti kaiba pesa za chama. Mimi ningepata wasiwasi kama asingetaja mali hizo lakini kazitaja tofauti na nyie wezi mnaotunza fedha na kununua majumba nje ya nchi na kwa kuwa mmeziiba hamzitaji. Hata huyo hero wako kama atakuwa kwenye payroll yenu pengine naye anazo huko nje lakini hawezi kuzitaja kwa kuwa hana kichwa cha kufanya biashara na shuguli zake halali kupata mali hizo. Mbowe ni jembe. Mtu anayetafuta fedha zake kwa jasho lake si kuibia wananchi fedha za hospitali, kung'oa meno ya tembo na EPA. Hata mimi natamani kuwekeza kwenye majumba nchi za nje ambako nyumba zinalipa. Si kuibia serikali ili niwekeze ila kwa jasho langu. Kama Mbowe kaweza hilo nampongeza and he is my real model.
Kwa hiyo kama Zito is your hero, he is kwa sababu kwa kiasi kikubwa mtakuwa mnamtumia kuzusha uongo ili kufanikisha malengo yenu kuibomoa CDM na kuwasha moto panapostahili kuzimwa ili chama kiendelee. Msichokijua ni kuwa CDM si viongozi wala si CDM. CDM ni mapinduzi ya kubadilisha utawala ulioshindwa. Hata ikiwa ni kweli mnamtumia huyo Zito basi mjue vuguvugu la mapinduzi haitafifishwa wala kupotoea njia hata mngeweka Zito 10 na CDM ikawa na Lema 10. Zito ni mbomoaji wa chama kwa tamaa zake mwenyewe na Lema ni mbomoaji wa chama kwa upumbavu wake anaodhani ni werevu. Wote hawa wahafai na nguvu ya umma itawang'oa tu muda ukifika.
Na kwa kiasi kikubwa Zito is not even your hero but just your stupid head ambaye unaweza ukampamba kwa ujinga akavimba kichwa ili kuaribu chama chake mbaki mnacheka na kuendelea na uovu ccm inaoutendea nchi hii. Wakati huo ndipo Zito atakapojua he is not a hero but your zero.
 
- This is my hero, Mheshimiwa Mbunge Zitto wa Chadema. Ninawakumbusha sana wana CCM wenzangu kwamba anayoyafanya Zitto kwa hili Taifa sisi CCM ndio tuliotakiwa kuyafanya ni muhimu sana tukamuunga mkono na hasa kwenye hivi vita mpya iliyozuka dhidi yake huko kwenye Chama chake. He is our interest, kinachofanyika sasa hivi ni mbinu za kutaka kumfukuza chama that is not our interest, out interest is served well akiwa huko ndani kwa sababu he stands for true democracy ma sio siri kwamba wenye hicho chama are not ready for that, sasa kumpa support Zitto in his war sio kuvunja sheria ya jamhuri wala ya siasa, bali ni ku-practice modern politics of your enemy is my super friend.

- I thank my God kwa kukutana naye leo one on one at the VIP Loiunge JKN Airport, it was great kuongea naye live on ishuz mbali mbali za taifa na hasa Mabilioni ya Uswiss, nataka kumhakikishia kwamba some of us tunathamini sana mchango wake kwa Taifa bila kujali itikadi za vyama vyetu, namuombea Mungu ampe nguvu na uzima mrefu sana amalizie kazi yake kwa taifa kama anavyotaka.

-MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MBARIKI MHESHIMIWA MBUNGE ZITTO, MY HERO!!

Le Mutuz The King Of All Bongo Network Media@Blogu ya Wananchi.

Mungu amlinde na kumpa maisha marefu! Uwepo wake katika siasa za nchi hii ni muhimu kwa watanzania wote! Zitto ni kiongozi makini, na mzalendo wa kweli, TUKO PAMOJA NAWE [ZITTO]. SOLDIER ON...
 
Zitto ni hero wa wenye akili na uelewa. Wewe bonge huna akili kabsa! Jaribu kucopy hata mabusara ya shujaa wa tz na afrika mh zzk.

Mpeni kichwa ila mkumbuke walikuwepo watu maarufu akina Masumbuko Lamwai,Amani kabour na wengine lakini leo wako wapi?Hata zito atapita tu na kama anaweza mwambie ajaribu hata kesho,ye yuko kibiashara zaidi anasaka noti mnaomtegemea kuwa ana marengo ya kisiasa atawaacha kwenye mataa.
 
The good thing about you is that you have a huge body, but how i wish you had a big brain!!!!!

Kaka umenena..... Pia nauliza tu, Zitto anapitia VIP lounge kwenye airport kwa kuwa ni Mbunge, mwenyekiti wa kamati ya Bunge na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa. Sasa huyu William Malecela aliyepiga picha hapo amepita VIP lounge kwa hadhi gani aliyonayo, au watoto wa former PM nao ni VIP?
 
- ha! ha1 ha! ha! wewe mburulazzz Le Mutuz ni:-

1. MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA.

2. MJUMBE WA BARAZA KUU LA WAZAZI/CCM TAIFA.

3. MJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA.

- Huwa mnakurupuka tu na majungu, ha1 ha! ha! ha!, halafu ni Le Big Shoow!!

Le Mutuz
 
quote_icon.png
By Thesi

Wakati mwingine muwe mnaona aibu kueneza uongo. Kama babako na viongozi wenzake walizoea kuiba serikalini si kila raia anayefanya shuguli zake nchi hii anafanya huo ufisadi wenu unaoutafuta kwa udi na uvumba kuurithi kwa hizi cheap popularity unazotafuta ccm.
Mbowe ana uwezo wa kununua hayo majumba na alikuwa nayo tangu akiwa mtoto. Si babako aliyechanganyikiwa kwa mapesa ya serikali make hajazozea. Mbowe ni mfanyabiashara na ni kitu cha heri mbele ya Mwenyezi Mungu kuliko nyie mnaotubia fedha za watoto wetu wanaokosa elimu huku nyie mkiiba fedha za huduma za jamii kusomesha watoto wenu kwenye shule za binafsi mlizofanya miradi yenu kuwanyonya damu wanyonge.
Mbowe hajaiba fedha ya serikali na hata ruzuku inayolipwa CDM ni pesa ndogo tu kulinganisha na matumizi ya chama hicho hivyo huwezi kusema eti kaiba pesa za chama. Mimi ningepata wasiwasi kama asingetaja mali hizo lakini kazitaja tofauti na nyie wezi mnaotunza fedha na kununua majumba nje ya nchi na kwa kuwa mmeziiba hamzitaji. Hata huyo hero wako kama atakuwa kwenye payroll yenu pengine naye anazo huko nje lakini hawezi kuzitaja kwa kuwa hana kichwa cha kufanya biashara na shuguli zake halali kupata mali hizo. Mbowe ni jembe. Mtu anayetafuta fedha zake kwa jasho lake si kuibia wananchi fedha za hospitali, kung'oa meno ya tembo na EPA. Hata mimi natamani kuwekeza kwenye majumba nchi za nje ambako nyumba zinalipa. Si kuibia serikali ili niwekeze ila kwa jasho langu. Kama Mbowe kaweza hilo nampongeza and he is my real model.
Kwa hiyo kama Zito is your hero, he is kwa sababu kwa kiasi kikubwa mtakuwa mnamtumia kuzusha uongo ili kufanikisha malengo yenu kuibomoa CDM na kuwasha moto panapostahili kuzimwa ili chama kiendelee. Msichokijua ni kuwa CDM si viongozi wala si CDM. CDM ni mapinduzi ya kubadilisha utawala ulioshindwa. Hata ikiwa ni kweli mnamtumia huyo Zito basi mjue vuguvugu la mapinduzi haitafifishwa wala kupotoea njia hata mngeweka Zito 10 na CDM ikawa na Lema 10. Zito ni mbomoaji wa chama kwa tamaa zake mwenyewe na Lema ni mbomoaji wa chama kwa upumbavu wake anaodhani ni werevu. Wote hawa wahafai na nguvu ya umma itawang'oa tu muda ukifika.
Na kwa kiasi kikubwa Zito is not even your hero but just your stupid head ambaye unaweza ukampamba kwa ujinga akavimba kichwa ili kuaribu chama chake mbaki mnacheka na kuendelea na uovu ccm inaoutendea nchi hii. Wakati huo ndipo Zito atakapojua he is not a hero but your zero.

- Masikini ya Mungu, mnalishwa tu maneno msiyoyajua mnakurupuka, Mbowe ana uwezo wa kuwa na majumba nje toka akiwa mtoto haya maneno yanasemwa na mtumzima mwenye akili timamu sasa wa mtaani atasema nini? poleni sana yeye mwenyewe umeshamsikia akijibu kuhusu kuwa na majumba nje au unataka uambiwe faili lake linasema nini wewe? ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
- This is my hero, Mheshimiwa Mbunge Zitto wa Chadema. Ninawakumbusha sana wana CCM wenzangu kwamba anayoyafanya Zitto kwa hili Taifa sisi CCM ndio tuliotakiwa kuyafanya ni muhimu sana tukamuunga mkono na hasa kwenye hivi vita mpya iliyozuka dhidi yake huko kwenye Chama chake. He is our interest, kinachofanyika sasa hivi ni mbinu za kutaka kumfukuza chama that is not our interest, out interest is served well akiwa huko ndani kwa sababu he stands for true democracy ma sio siri kwamba wenye hicho chama are not ready for that, sasa kumpa support Zitto in his war sio kuvunja sheria ya jamhuri wala ya siasa, bali ni ku-practice modern politics of your enemy is my super friend.

- I thank my God kwa kukutana naye leo one on one at the VIP Loiunge JKN Airport, it was great kuongea naye live on ishuz mbali mbali za taifa na hasa Mabilioni ya Uswiss, nataka kumhakikishia kwamba some of us tunathamini sana mchango wake kwa Taifa bila kujali itikadi za vyama vyetu, namuombea Mungu ampe nguvu na uzima mrefu sana amalizie kazi yake kwa taifa kama anavyotaka.

-MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MBARIKI MHESHIMIWA MBUNGE ZITTO, MY HERO!!

Le Mutuz The King Of All Bongo Network Media@Blogu ya Wananchi.

dah krappiest of the kraps... so the message hapa mkuu kinyesi kingi ni VIP lounge, au issues?? maana hujaweka issues whatsoever

koroma nikale kanazi kasiko na uwezo wa kutengeneza tui:becky:
 
- So umekuja mbio kujibu topic isiyo na ishu? Really? ha! ha1 ha! unajivua nguo mwenyewe kuwa ni mtupu kabisa kichwani!!

Le Mutuz
 
- ha! ha1 ha! ha! wewe mburulazzz Le Mutuz ni:-

1. MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA.

2. MJUMBE WA BARAZA KUU LA WAZAZI/CCM TAIFA.

3. MJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA.

- Huwa mnakurupuka tu na majungu, ha1 ha! ha! ha!, halafu ni Le Big Shoow!!

Le Mutuz

Duh, kuwa mjumbe tu wa vikao vya chama ni VIP? Bora ungekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ningekubali. Hayo ni matumizi mabaya ya VIP lounge.
 
- Kwani sheria inasemaje mkuu ni Kamati Kuu tu ndio VIP wa Airport? ha1 ha! ha! ha! ha! kweli elimu ni muhimu sana kwenye maisha!! ha! ha1

Le Mutuz
 
- Kama zio Zitto nisingejua kuwa MWenyekiti wako ana majumba kila kona ya Dunia, wakati Zitto anahangaika kurudisha mapesa ya wananchi huko nje MWenyekiti wako ndio kwanza ananunua majumba ya kifahari huko nje, ndio maana anakuwa msaliti kwa chama chako maana anagusa hata mlo wa chama chake,

- MUNGU AMPE AFYA NJEMA NA UVUMILIVU ILI ATIMIZE KAZI ALIYOIANZA, BAADA YA KUONGEA NAYE SANA LEO I SALUTE HIM MORE!!

Le Mutuz

Kwa hiyo Zitto amekwambia Mbowe amenunua majumba huko nje kwa kutumia ruzuku za chama au kanunua kutokana na biashara zake? Hebu fafanua kidogo hapa.
 
Kulu daba(kubwa jinga) unaonaje ukaolewa na huyo hero wako maana kwa jinsi unavyomsifia akikuambia lolote huchomoi.
 
- ha! ha1 ha! ha! wewe mburulazzz Le Mutuz ni:-

1. MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA.

2. MJUMBE WA BARAZA KUU LA WAZAZI/CCM TAIFA.

3. MJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA.

- Huwa mnakurupuka tu na majungu, ha1 ha! ha! ha!, halafu ni Le Big Shoow!!

Le Mutuz

kaka kutumia VIP lounge ni utashi tu.....lakini kuna wengi tu nawafahamu...wana diplomatic au service passport na wako madaraka makubwa na hawapndi tu kupita ...VIP...
Pia nawafahamu ambao hawana status ya kupita VIP na wana lobby....hadi kutumia VIP.....
Tunatambua watoto wa wakuuu pia hupewa passport hizo.....lakini wengi tu hawatumii hizo VIP
 
- ha! ha1 ha! ha! wewe mburulazzz Le Mutuz ni:-

1. MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA.

2. MJUMBE WA BARAZA KUU LA WAZAZI/CCM TAIFA.

3. MJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA.

- Huwa mnakurupuka tu na majungu, ha1 ha! ha! ha!, halafu ni Le Big Shoow!!

Le Mutuz
Aibu tupu!
 
- Kwani sheria inasemaje mkuu ni Kamati Kuu tu ndio VIP wa Airport? ha1 ha! ha! ha! ha! kweli elimu ni muhimu sana kwenye maisha!! ha! ha1

Le Mutuz

Chama hakishiki hatamu...kamati ya Mkoa ya chama cha Siasa Haimpi mtu diplomatic passport .....uholela huu Ndio unafanya...baadhi ya watoto wa wa kubwa kutumia hizi diplomatic privileges kubeba mharage....

VIP lounge kawaida zina grade....kuna..

1.presidential lounge
2. Retired presidents, vp , pm
3. Very very important senior officers and millitary
4. Normal vip

hivi karibuni Kenya kulitokea drama Baada ya maofisa wa protocol kumtaka Raila aondoke....lounge na 2 kwenda namba 4 kwa kuwa ameshastaafu...Huku maofisa wa Raila wakisisitiza kuwa alistaafu,....Kama partner wa Kibaki Hivyo anastahili privilege zote Za Kibaki ikiwa ni Pamoja na kutumia lounge 2 pale Jomo Kenyatta
 
- This is my hero, Mheshimiwa Mbunge Zitto wa Chadema. Ninawakumbusha sana wana CCM wenzangu kwamba anayoyafanya Zitto kwa hili Taifa sisi CCM ndio tuliotakiwa kuyafanya ni muhimu sana tukamuunga mkono na hasa kwenye hivi vita mpya iliyozuka dhidi yake huko kwenye Chama chake. He is our interest, kinachofanyika sasa hivi ni mbinu za kutaka kumfukuza chama that is not our interest, out interest is served well akiwa huko ndani kwa sababu he stands for true democracy ma sio siri kwamba wenye hicho chama are not ready for that, sasa kumpa support Zitto in his war sio kuvunja sheria ya jamhuri wala ya siasa, bali ni ku-practice modern politics of your enemy is my super friend.

- I thank my God kwa kukutana naye leo one on one at the VIP Loiunge JKN Airport, it was great kuongea naye live on ishuz mbali mbali za taifa na hasa Mabilioni ya Uswiss, nataka kumhakikishia kwamba some of us tunathamini sana mchango wake kwa Taifa bila kujali itikadi za vyama vyetu, namuombea Mungu ampe nguvu na uzima mrefu sana amalizie kazi yake kwa taifa kama anavyotaka.

-MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MBARIKI MHESHIMIWA MBUNGE ZITTO, MY HERO!!

Le Mutuz The King Of All Bongo Network Media@Blogu ya Wananchi.

Flattery must be avoided at any cost! Mr. Malecela you have done nothing here, but flattering to Zitto, and that does not help anybody.
 
Back
Top Bottom