Why Internet is so expensive with Cellular Companies? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why Internet is so expensive with Cellular Companies?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibrah, Jul 28, 2011.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wadau, nilinunua moderm ya Airtel ili nitakapokuwa kijijini niendelee kupata mawasiliano ya Internate kupitia Laptop yangu. Kwa kweli sijaona faida yoyote maana ukinunua airtime ya elfu kumi, baada ya siku mbili umekatika.

  Nimekuja kugundua kuwa gharama zao za internet ziko juu sana? Je, ni kwa nini? Mbona naona kama isngepasa kuwa hivyo maana kwao ni alternative business baada ya ile ya kulonga longa.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wanafanya hvyo kuencourage watu wanunue bundle. Ukinunua bundle utashangaa speed nayo inakuwa chini. Sijui lipi bora.
   
 3. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Tumia tgo kfurush cha 450 cku 2 no limit of surfing
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Yes its better ununue kifurushi cha tgo mana nafurhia sana huduma ya tgo
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hiyo elfu kumi unapata Mb ngapi?
  Nenda Tigo au nenda voda 30,000/mwezi unlimited, spidi ya inatosha kwa mawasiliano ila sio kwa heavy downloading au video.
   
Loading...