Hapa tunaweza kusema kuwa misaada ina-umiza africa. Lakini vilevile mtu anaweza ku-argue kuwa bila misaada nchi za kiafrika zingekuwa pabaya kuliko sasa.
Also track records show that the nations which have not borrowed money have had more growth e.g Indonasia, South Korea even China etc. I agree that this "aid' does as worse than good.
Ningependa kuchangia kwa kiasi kikubwa hii mada. Lakini mara nyingi, matembezi yangu ni kwenye ukumbi wa siasa.
Anyway, mimi ni mmoja wa critics wa misaada kwa Africa. Lakini pamoja na hayo, kila siku zinapokwenda naona kuwa matatizo yetu ni diverse.
Hapa tunaweza kusema kuwa misaada ina-umiza africa. Lakini vilevile mtu anaweza ku-argue kuwa bila misaada nchi za kiafrika zingekuwa pabaya kuliko sasa.
Ningependa kuchangia kwa kiasi kikubwa hii mada. Lakini mara nyingi, matembezi yangu ni kwenye ukumbi wa siasa.
Anyway, mimi ni mmoja wa critics wa misaada kwa Africa. Lakini pamoja na hayo, kila siku zinapokwenda naona kuwa matatizo yetu ni diverse.
Hapa tunaweza kusema kuwa misaada ina-umiza africa. Lakini vilevile mtu anaweza ku-argue kuwa bila misaada nchi za kiafrika zingekuwa pabaya kuliko sasa.
What is foreign aid?
Zakumi,
Labda inabidi tuseme kuwa ukitaka kupasua jipu basi ukubali kumuumiza mpasuliwaji. Sasa sisi tukiona jamaa anakunja au kujua kuwa atakunja uso na machozi kumtoka kwa maumivu basi tunaacha.
Inabidi siku ifike mtu aseme ngoja nifunge misaada. Aanze kukazia macho kilichopo Tanzania ili kitosheleze mahitaji. Mwaka wa kwanza watakufa watu laki 5, ila kila miaka inavyokwenda, nina uhakika idadi itaanzan kupungua na hadi itafika siku tuwe tumejitegemea wenyewe bila ya misaada. Wachina walisota sana baada ya kufunga mpaka ila walijifunza kujitegemea. SA walifanya hivyohivyo wakati wa embargo.
Ila kufanya huvyo inabidi kiongozi mwenye MSULI na asiye na aibu na nyuma akiwa na mapenzi kwa nchi yake.
Za10,
Tupo wote kwenye hili na tumeshalizungumza mno kwenye threads mbalimbali.
Endelea kumwaga sera on Aid effectiveness Mkuu maana mie nishajichokea. I will be an observer this time.
Are you serius ndugu yangu? Anyways ni misaada toka nje.
Tatizo lenyewe ukianza kulisoma hili suala linakuwa obssession yako. Na sisi wengine ni wabeba mabox tu.
Hila kuna nadharia zinazosema kuwa sio kila misaada inasaidia katika ukuaji wa uchumi wa kujitegemea.
Mfano mkubwa ni matatizo ya mfumuko wa bei nchi Israel kati ya 1973-1989.
Israel inapokea misaada ya maana kutoka Marekani. Tena misaada hii ni ya nguvu.
Lakini nchi hii ilikumbwa na matatizo ya kiuchumi baada ya vita na waarabu Yom Kipur (1973) na kufuatiwa na upandaji wa bei mafuta.
Kama misaada inasaidia basi Israel kwa kutumia misaada kutoka Marekani ingeweza kujikwamua haraka. Walishindwa kujikwamua kwa sababu wanasiasa walishazoezwa na misaada na walishindwa kuwa na sera za kujikwamua.
Mfano huu ni sawa na Tanzania na misaada ya chakula. Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Ruvuma na Iringa inaweza kutosheleza chakula nchi nzima. Lakini kwa sababu kuna watu watakaotusaidia tukiwa na matatizo ya chakula, hakuna sera za maana za uzalishaji na usambazaji wa chakula.
Zakumi,
Hili swali liko complicated kuliko linavyoletwa kwetu na hawa watu wa Magharibi.
Misaada inaweza kuharibu, misaada inaweza kujenga pia, inategemea na factors nyingi sana.
Watu wa West wanataka ku simplify mambo na kuyaweka katika some equations ambazo zitawaambia kama misaada inasaidia au haisaidii.It is not that simple, kuna namna ya kuifanya misaada iweze kusaidia, labda tumeshindwa kuipata hii namna, lakini tuki dismiss misaada altogether tunaweza kuwa si wa kweli, kwanza misaada yenyewe si "misaada" kiasi hicho, Afrika inabidi kupewa "reparation" yake katika mfumo kama wa "Marshall Plan".
Lakini nani ata champion hii cause? After all, we are the dark continent.
Tatizo la misaada katika structure ya sasa ni kwamba hakuna framework nzuri ya kutumia misaada vizuri kwa manufaa ya wananchi, wakubwa watakula au kuitumia vibaya misaada.
[/I][/B]
Unauhakika tatizo ni sera?
Mfano wako kuhusu Israel una walakini. Ili nchi iweze kukua kiuchumi, it involves myriads of factors. From population size and structure, to level of consumption and investment to political landscape. Kwa mfano, huwezi kutegemea nchi kukua kiuchumi wakati iko kwenye vita au imetoka kwenye vita, hata kama inapata misaada ya nje. Hivyo, huwezi kutumia mfano wako kuhusu uchumi wa Israel kuhitimisha kuwa misaada haifai. This is oversimplification! Israel economy is now self-sustaining and they no longer accept economic aid from the US. The natural question to ask is, could Israel attain her current level of economic growth if not for the foreign aid after Yom Kippur? My point is, whether aid is working or not is an empirical question. What do you think?
Development minister suspends Tanzanian aid
The Hague - Development Minister Bert Koenders has suspended financial aid to Tanzania. In a letter to the Lower House, he explains that Tanzania is an unreliable partner for foreign investors.
Koenders took the decision after a Dutch entrepreneur lost his investment.
The letter does not name the entrepreneur or explain the details of the case, but the minister says enough is enough.
It is not clear how much money Tanzania will miss out on as a result of the decision.