Why Foreign Aid is hurting Tanzania and other African countries!

Hapa wewe ndio wa kupuuzwa kabisaaaaaa...

Hivi chuo ulichosoma walikuwa hawana mandatory courses za uchumi (hata kama political economy za wakati wa Nyerere).....

Hakuna nchi inayoendelea kwa misaada ya nje ya muda mrefu... Hii huwa inatakiwa kuwa ya muda mfupi 1 to 5yrs baadaye inakoma. Ila inaonekana sera ya CCM ni kuifanya Tz kutegemea misaada ya nje ya nje for the rest of the what we can see...... hujasikia msemo kuwa hakuna free lunch dunian (By Friedman) na "kwamba mdomo huponza......."

Thanks.
Really Tanzania does not need foreign aid. I wish fellows would have understood.
The genuine opposition party should really stand for Tanzania without foreign aid. Had CHADEMA stood by that position, I would have picked their membership card. Foreign is merely meant to serve for hand to mouth economics, which cannot underlie our direly needed social, political and economic development.
 
special treatment[/B].

"The Dutch was engaged in logging business, he was conducting his business from Mkumbara. He was a private businessman but there was a lot of interventions by his embassy," Mr Mkulo said.

He said the businessman had sought to meet Prime Minister Mizengo Pinda in his quest to be given special treatment in his business. But he was asked to contact Natural Resources and Tourism minister Shamsa Mwangunga instead.

When the businessman met the minister, he was directed to conduct his business in accordance with the laws and regulations, but he refused and forwarded the matter to his embassy.
"But it is diplomatically understood across the world that there is no country which is allowed to intervene in internal affairs of another country.

If, for instance UK sets its own regulation to remove hawkers in London, Tanzania cannot intervene simply because Tanzania hawkers are going to be affected... it is against the Geneva Convention,"explained Mr Mkulo without naming the businessman.

He said he had met the Dutch envoy and discussed the matter without knowledge that the businessman had gone to the Prime Minister on the same matter. Mr Mkulo referred this paper to Ms Mwangunga for further clarification but her phone was switched off.

The permanent secretary in the Ministry of Tourism and Natural Resources, Dr Ladislaus Komba, said he was unaware of the issue. But Tanzania is not the only country which has suffered Dutch aid freeze.

Hii simulizi ni ya upande mmoja na haijanyooka. Nachojua kufanya biashara TZ si lelemama. Huyu mfanyabishara inawezekana hakutaka ku'cooperate' na system kwenye mambo ya ulaji, akabaki anapigwa danadana ... ni ajabu kuitwa "hawker" badala ya "investor" kama tulivyozoea. Kuna jambo hapa
 
Many countries are dishing out AID to some of the poorest countries of the world.
What is the motivating reason for the rich countries to give AID? Is it PITY or is it self gratification that at least they have given back something to humanity that they are owed.
Most of that aid is mis-used and at the worst unneccessary.
Why is direct business not encouraged isntead of dishing out "free" money(to be paid back indirectly)
 
Mkuu Lole.......trust me hakuna cha bure aisee.........ni kwamba hiyo misaada inatutokea puani sisi wananchi wakati.....MIPUMBAVU imeficha vijisenti huko Caribbean na Uswisi.......and we (wananchi)..........are done.........kinachouma zaidi just check Biharamulo.......will tell you a lot abt our future............hiyo MIPUMBAVU tunayo mpaka kiama aisee.........
 

He said the businessman had sought to meet Prime Minister Mizengo Pinda in his quest to be given special treatment in his business. But he was asked to contact Natural Resources and Tourism minister Shamsa Mwangunga instead.

He said he had met the Dutch envoy and discussed the matter without knowledge that the businessman had gone to the Prime Minister on the same matter. Mr Mkulo referred this paper to Ms Mwangunga for further clarification but her phone was switched off.
TheCitizen Newspaper
Kwa hiyo alimuona Pinda au hakumuona Pinda, mbona hivi vigazeti vyetu mimi sivielewi?

Na wangembana Mkullo atoe details za hiyo special treatment waliyoikataa, badala yake kigazeti uchwara kinatuorodheshea statistics za misaada ya Holand kwa Cape Verde na Sri Lanka na Eritrea, who cares?
 
Kutegemea misaada ni ugonjwa wa kiakili umaskini ulivyo ugonjwa. Umaskini uko mawazoni mwa maskini kuliko hali halisi. Ndo maana unaweza ukakuta mazingira yale yale, resource zile zile, hata mtaji ule ule; mwingine analia umaskini wakati mwingine anachanja mbuga kwenye maendeleo.

Umaskini ni ugonjwa wa akili na bahati mbaya serikali toka juu hadi chini ina ugonjwa huo. Hivi kutumia zaidi ya tunavyokusanya ni lazima?? Hivi matumizi yote ya serikali ni ya lazima? Ukweli ni kuwa kama asilimia 60 tu ya matumizi yetu ndo ya lazima. Hiyo asilimia 40 ambayo ndo misaada ni matumizi ya hovyo na yasiyokuwa na ulazima wowote!! Maeneo ya kuangalia; serikali yetu ni 50% kubwa kuliko inavyotakiwa iwe. Malipo yasiyo halali (yasiyokatiwa kodi) kwa viongozi na watendaji wa serikali (hata kama ingebaki na ukubwa huo huo) ni kama asilimia 70 ya matumizi yote uongozi (yaani rais, mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, makamishna, n.k). Uzembe katika ukusanyaji wa kodi na misamaha isiyokuwa ya lazima tunapoteza kama asilimia 20 ya mapato yote ya serikali.

Misaada si lazima! Ni ugonjwa wa umaskini ulio kwenye bongo zetu ndo unaotusumbua!!
 
Last edited:
Aksante Mkuu kwa kutupatia sababu ya huyo mwekezaji kukosa kuwekeza. Kukiuka taratibu za nchi kwa kisingizio cha kuwa tunapeana misaada haiingii akilini. Mbona wageni kwenye nchi tajiri wanalazimishwa kufuata taratibu za nchi hizo?? Wakati mwingine ni vizuri kuwa na msimamo hata kama sisi hatujaendelea/masikini.
 
Kweli mkuu, tuanze kufikiri kufanya mambo yetu bila misaada ya hawa wajomba. Wanaweza kututia mfukoni hii tabia ya kuzunguka nje kila kukicha kuombaomba
Wameshatutia mfukoni, kwani bado nini.
 
Na wazungu wanaujua ugonjwa wetu. Ugonjwa wetu ni huu wa kusema bila misaada hatuwezi kuishi na hatuwezi kuendesha serikali. Ukweli wakati mipesa yetu viongozi wanagawiana na kuwaachia matapeli wa kimataifa kuzoa nyingine, pesa za misaada ndo zinatumika kwenye shughuli za maendeleo kwa sababu ndo zinakuwa audited na wanaotupa misaada. Hizi za serikali zinazokusanywa na zisizokusanywa ni kama pesa za mwendawazimu; wezi wote hujifunzia hapo kuiba.
 
abdull,wewe si thinker, wenzio wote juu wameelewa, wakasema kwa walichoelewa. wewe tu wataka habari nzima.
Hata hivyo, mi naona sawa, kwani labda uwajibikaji utarudi kwa wananchi, na matokeo kama ya jana kwa ccm, lazima wajue, mida ya kuwajibika kwa wazungu na misaada,na kusahau waajiri wao ambao ni wananchi umewadia.
 
wakati mwingine hawa donors ni wanafiki sana, they have hidden agenda and non mutual interests in most of the times, lakini pia ni somo zuri kwa Tanzania, maana wakisema watu wandani wanakuwa wanampigia mbuzi gita ila wakisema wa nje...ndio waungu wetu...naomba kale kainzi kafike kule TIC and mambo ya nje tupate kujua huyo investor kutoka dutch ni yupi?
 
Tusiwalaumu na kuwaita mabwana kwa hasira. Hasira zetu zielekezwe kwa hao tunaowaita Wanasiasa. Kila siku wnawaza kuongeza majimbo. Naona siku idadi ya watu ikiwa billioni moja, tutakuwa na Bunge la watu milioni mbili. Where on earth, ambako kila siku unawaza kuboresha maisha ya wanasiasa?

Misaada kwa wenye akili nzuri inasaidia sana. Inaonekana Israel. Tatizo ni hizo akili zilizojuu. Binafsi ningefurahi kama misaada yoote ingeondolewa ili kuwaonyesha jinsi Dunia inavyowaona.
 
Kuna haja ya Vasco Dagama wetu kuacha kuomba na kuna ulazima wa sisi kujifunza kujitegemea na kukusanya kodi na kuacha kutoa misahama ya kodi kwa migodi mikubwa na kuifanya serikali kuwa na fedha nyingi sana
 
Natamani kama wafadhili wote wangeamua kufanya hivyo. matatizo mara zote ni chanzo cha ugunduzi. Misaada inatufanya tushidwe kufikiria namna ya kutumia vizuri raslimari zetu,tunawaachia wageni wanajichukulia tu na kuondoka. tembea hata nchi tajiri sana hutaona serikari zao zinatumia magari ya kifahari kama TZ, Ukiwauliza wanakwambia barabara mbovu ndiyo maana wananunua magari ya aina hiyo. hivi kipi wanatakiwa kukifanya kutengeneza barabara ziwe nzuri ili wasigharamia kununua magari hayo au wanunue magari hayo ghari ambayo yatawafanya washindwe tengeneza barabara? tatizo ni vipaumbele(priority). Serikali zetu zina matumizi makubwa yasiyo na msingi na mabaya zaidi haziwajiki kwa wananchi wao bali wafadhili(They are accountable to donors and not their citizens), Hayo yote tunatakiwa tujiraumu wenyewe. Kwani tumewaweka madarakani, hawatulidhishi sasa na mwakani tutawaweka tena waendelee kufanya wafanyayo.Tuache kulalamika ama sivyo tufanye mabadiliko!!!
 
Misaada haitatusaidia. Tutamaliza matatizo yetu siku ile tutakapoweza kukusanya mapato yetu, kuyatumia kutatua vipaumbele vyetu na kuya-audit, na kuwafunga wanaoyatumia vibaya. Misaada hata tukipewa mabilioni ya dola, haitatutoa hapa. Misaada inaendelea kutufanya tuwe maskini zaidi kwani inatufanya tuendelee kuona kuwa sisi ni wa kuhitaji kusaidiwa tuu. Misaada inazidisha ugonjwa badala ya kuutibu.
 
Topic: The massive increase in foreign aid especially from Western donor countries in the past 15 years has contributed to the increase of public corruption in Tanzania. If one were to draw graphs showing the increase in foreign aid and that of increase in corruption, the graphs will show similar trend.

For this reason some of our campaigners against public corruption have found themselves fighting the unregulated and unchecked foreign aid as well. Among such notable campaigners are Brian Cooksey (wa "Power and the Vainglory") and Prof. Samwel Wangwe who have scientifically linked foreign aid to the level of political corruption in Tanzania and other third word countries.

If this is true (even remotely),

- should the individuals, organizations, politicals parties, politicians etc that fight corruption fight foreign aid as well?

- Can we succeed in rooting out corruption in the public square without impacting the level of foreign aid to our country?

- Should we fight corruption without fighting foreign aid for the fear of "turning away donors" and being accused of not caring for the people because if the foreign aid were to be suspended or cut off it is the "poor who will suffer most"?

- Should we continue to fight corruption without looking at how foreign aid is fueling that corruption?
 
Ndio maana kuongezeka kwa misaada kwa nchi kama yetu imepelekea hata dillusion ya akili zetu na maarifa yetu na pia hata wataalamu wetu wanabattle kwa ajili ya kuandika proposal za kuombea pesa hata na hiki ndio kimekuwa kitu kibaya sana katika Taifa la Tanzania, Mengi yametokea toka masuala ya EPA na madudu mengine lakini kuna ulaji chini kwa chini na ndani kwa ndani katika wizara zetu nyingi. Kuna kipindi hata serikali za Nchi kama Norway wanatoa pesa kwa ajili yao na kufanya pesa hizo zirudi kwao kwa kufanya biashara za misitu na mali nyingine, Mtafute Askofu Mokiwa, Serikali ya Taifa la Sweden linafadhili miradi ambayo imetoa pesa kwenye mabenki makubwa huko na kuwekeza katika migodo hapa na tena tazama rushwa katika migodi na mikataba ya aibu kwa Taifa.
Kuna haja ya misaada. Kuna uhusiano wa moja kwa moja katika hili mzee wangu.
 
33nw2v6.jpg
 
Back
Top Bottom