Why did Pres Obama bow to King Abdullah? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why did Pres Obama bow to King Abdullah?

Discussion in 'International Forum' started by jmushi1, Apr 12, 2009.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hakuna ubishi hapo.....alifanya hicho anachotuhumiwa kufanya. Is it a big deal to me? Hell no....
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  Ng'waminyani,wanamshikia bango,umeshasikia kuhusu tea bag parties? Shughuli ipo,ngoja nikalete more info kuhusu hizo tea bag parties za Republican,ni kama new era ya KKK, si unajua NRA ndio mbadala wa KKK? Kazi ipo na yetu macho kwani dhambi ya ubaguzi tulidhani labda ingepungua baada ya Obama kupata urais, lakini ni kinyume na labda chuki inaweza kuzidi...Nilisema huko nyuma kwamba chuki za ubaguzi zitazidi kwani good perfomance kutoka kwa Obama zinaweza zisifurahiwe kutokana na kwamba yeye si mzungu.
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  Right-wing ‘tea party’ protest in Orlando features signs calling for the impeachment of President Obama.

  By Lee Fang on Mar 23rd, 2009 at 11:55 am
  Right-wing ‘tea party’ protest in Orlando features signs calling for the impeachment of President Obama.

  After accepting illegal and unethical behavior for years from President Bush, the right wing has finally come around to advocating for the impeachment of a President. On Sat. March 21, more than 4,000 people gathered in Orlando for a “tea party” protest to denounce what they called “wasteful Washington spending.” The Orlando Sentinel quoted one attendee saying, “They need to shove that bum out,” referring to Obama. The signs that were distributed said “Obama Bin Lyin’ IMPEACH NOW”:

  [​IMG]
  The “tea party” protests nationwide are being coordinated by the conservative public relations firm Freedom Works, which is run by former Majority Leader Dick Armey (R-TX). The tea parties are also being supported by Newt Gingrich, through his organization American Solutions For Winning the Future. Members of Congress, such as Rep. Jean Schmidt (R-OH), have appeared at previous rallies. In addition, Fox News’ Glenn Beck promotes the protests, and has launched a website
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 6. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  I see it as an African (traditional) simple gesture of respect, himself being African
   
 7. T

  The Truth JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2009
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tea parties are a good exercise of democracy and a genuine grassroot movement. I don't have a problem with them. I am planning on attending one myself. The country can't afford the amount of debt B. Hussein is accumulating. We are heading down the wrong path so it is important to voice opposition.
   
 8. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  Have you seen the protester's messages and they have been sayin? Sasa kusema Obama ni Mkenya na si mmarekani inawasaidia nini zaidi ya ubaguzi tu? Halafu awe impeached kwa lipi? Madai kwamba analeta usoshalisti marekani ni mazito...La kushangaza ni kwamba watu hao hao ambao kodi zao zimepunguzwa ndio hao hao wanaompondea Obama,kodi zimepandishwa kwa matajiri kwa level ile ile aliyoipandisha Clinton....Lakini middle class hao waliopunguziwa kodi ndio wanapiga kelele na kuongea maneno ya kibaguzi dhidi ya Mh Rais,hiyo wewe unaona ni sawa?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Apr 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe nawe bana...yaani uko kama Susuviri...kila kitu ubaguzi..ubaguzi...ubaguzi....unajua if you are looking for ubaguzi in everything you'll find it even where it doesn't exist!!
   
 10. T

  The Truth JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2009
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If B. Hussein governed like a real American president he wouldn't have made so many people angry. It's his fault some protesters are vitriolic. People don't want America to become a third world country which is where B. Hussein's massive spending will take the country. Perhaps if people in Tanzania were just as angry the country wouldn't be in such a mess...
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  huyu nae.....
   
 12. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  Ng'waminyani,ni ujumbe wanaobeba na siyo kuwa mimi naona visivyoonekana,fuatilia hizo protests utaona wanachosema,sasa wanaposema Obama ni Mkenya na si mmarekani na ndio maana hana mapenzi ya kweli kwa marekani huo si ubaguzi? Kwani hawa wamarekani na wao si walihamia tu na kuwapora wahindi wekundu ardhi yao? Sasa unaposema i am looking for ubaguzi on everything una maana gani? Kama ku bow kwa monarchy ya malikia wa Uingereza ni sawa,je ni vigezo gani vinavyotumika kudharau Monarchy ya watu ambao wanawasaidia kwa mafuta? Ama kwasababu ni waarabu?
  Wamarekani washaambiwa kabisa,coming 2040 kama sikosei,minorities watakuwa majority,kwa maana kwamba si lazima kila maamuzi yote yaridhiwe na wazungu,wakiambiwa hivyo wanazidisha chuki,sasa ubaguzi usioonekana hapa ni upi? Na kwa taarifa yako maandamano haya ni makubwa sana sema tu media inaya ignore.
   
 13. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Yo Yo huyu mtu ni wakumpuuza tu kumuingage anapata credits, ni kumuacha na fikra zake za kibaguzi ambazo kwa sasa hazina nafasi, BHO is the most powerful man now whatever they can say or think 2012 is very far to start the spin now
   
 14. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  You are right, hebu cheki hata Arizona State University, ASU walivyokuwa na racial minded views, wanasema hawampatii Obama honorary degree kwa kuwa hajafanya kitu chochote kile, wakati huko nyuma kuna watu wamepewa bila ku-accomplish anything recognised. Huu ni u-KKK minded wa hawa jamaa Ila this time jamaa kawashinda kila angle ana perform tu.
   
 15. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Hivi siku 100 za kwanza ofisini zinafika lini? By the way didn't he bow wakati amekwenda kuonana na Queen Elizabeth II na mumewe?
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  Halafu wanadai kuwa awe impeached...Sasa utakuwa vipi impeached kama hujafanya lolote? Si unaona double standards hapo,kwamba hawawezi kumpa honorary degree kwasababu hajafanya kitu halafu wanataka kum impeach as if amefanya kitu.
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwanini wewe usipuuzwe? Kubaliana kutokubaliana kwa hoja!


   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  Ili uchumi uweze kutengemaa tena,ni lazima kuwa na some sort of spending in creating jobs na ku boost consumer spending,mabepari wameufikisha uchumi hapa ulipo,hawataki kuwa accountable kwasababu walikuwa untouchables,yani wao wanataka kundelea kupasua kwa level ile ile waliyokuwa nayo wakati wanaudidimiza uchumi,pia kwa unnecessary spending nk,malipo ya ma CEO nia ya kutisha na haijalishi kama kuna faida ama la,bonuses zao ziko guarantee...Sasa kwasababu serikali ndio pekee yenye kuweza kulishughulikia tatizo hilo ndio kusema usoshalisti? Yani wewe ulitaka kusiwe na uwajibikaji?

  Back kwenye pointi ya spending,sasa stimulus ni nini? Utaustimulate vipi uchumi bila kuspend? Kwa taarifa yako there was no way out other than spending,uchaguzi wa namna ya kuspend umetofautiana lakini cha msingi ni kuupiga jeki uchumi...Sasa kama emphasisi zimebase kwenye ku urescue uchumi na spending ni lazima ili ku stimulate economy,wewe ulitaka afanye nini? Middle class ambao ni asilimia 90 ya wamarekani wamepewa punguzo la kodi kwa misingi hiyo hiyo....Na pia si aliwauliza Republican waje na alternative wakabaki kusuasua? Kina Jindal na Palin nao si wamgeuza mawazo na sasa wameiandikia serikali kuwa wawe considered kwenye stimulus,sasa what kind of politics is that?
   
  Last edited: Apr 13, 2009
 19. T

  The Truth JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2009
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Where is B. Hussein getting the money to spend and to "stimulate" the economy? How long do you think China will continue to buy US treasury bills i.e. lending money to the United States? How much money can B. Hussein print without causing hyperinflation and making the US dollar worthless? You grow economy by innovation and being productive. If spending worked then Zimbabwe would not be in such a mess economically today as over 54% of their GDP is government spending. What B. Hussein is doing in terms of government spending has never worked before so I am not sure why you believe it will work this time. All he is doing is leaving a $10 trillion debt on the country.
   
 20. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  That's common to african women not men.
   
Loading...