Obama: Gaddafi death is warning to iron-fist rulers

Mti Mtu

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,509
2,000
OBAMMA ALIKUWA NA SAY KUBWA SANA KUHUSU BARA LA AFRIKA NA MATOKEO YAKE ALILIANGAMIZA SANA BARA LA AFTIKA

Obama: Gaddafi death is warning to iron-fist rulers
Matt Spetalnick and Laura MacInnis

WASHINGTON (Reuters) - President Barack Obama hailed Muammar Gaddafi's death on Thursday as a warning to authoritarian leaders across the Middle East that iron-fisted rule "inevitably comes to an end," and as vindication for his cautious strategy toward Libya.
Obama joined U.S. politicians and ordinary Americans in welcoming the demise of Gaddafi, who was for decades regarded as a nemesis of American presidents, and also claimed some of the credit for the Libyan strongman's downfall.
But he also appeared to distance Washington from deeper entanglement in the North African oil-producing nation at a time of economic woes at home, placing responsibility for Libya's future squarely on the shoulders of the fractious interim leadership in Tripoli.
This marks the end of a long and painful chapter for the people of Libya who now have the opportunity to determine their own destiny in a new and democratic Libya," Obama said in the White House Rose Garden.

Obama made clear he considered Gaddafi's death a validation of his "leading from behind" strategy that had drawn criticism at home for casting the United States in a support role in the NATO air assault in Libya. Some of his Republican foes see it as an "Obama doctrine" that abdicates U.S. global leadership.

He also issued a veiled warning to Syrian President Bashar al-Assad and other long-entrenched Middle Eastern leaders resisting home-grown democracy movements to take heed of Gaddafi's fate.

"Our leadership at NATO has helped guide our coalition. Without putting a single U.S. service member on the ground, we achieved our objectives, and our NATO mission will soon come to an end," Obama said in a televised statement to a U.S. public already weary of long wars in Iraq and Afghanistan.

A NATO official said an unmanned U.S. aircraft took part in strikes on Thursday in Libya, but it was unclear whether U.S. or French airpower struck Gaddafi's convoy believed to have been carrying him near his hometown of Sirte.

The United States had led the initial air strikes on Gaddafi's forces but quickly handed the lead over to NATO, while taking a back seat to Britain and France.

Gaddafi's death is unlikely to give Obama any lasting help in a 2012 presidential election expected to be decided by the state of the stumbling economy and stagnant job market. The raid he ordered in May that killed al Qaeda leader Osama bin Laden gave him only a short-lived boost in the polls.

The U.S. reaction to Gaddafi's death reflected a tortured history with an Arab leader long viewed by Americans as a villain for his government's links to the 1988 bombing of a Pan Am flight over Lockerbie, Scotland, and a 1986 disco bombing in Berlin that targeted U.S. servicemen.

STARK WARNING

Obama also touted Gaddafi's death as a stark message to other authoritarian rulers in the Middle East where revolts upended longtime leaders in Egypt and Tunisia this year.

Washington has demanded that Assad halt his crackdown on democracy protests in Syria and step down, and is pressing Yemen's longtime president, Ali Abdullah Saleh, to leave office in the face of political upheaval.

Obama has also condemned Iran's human rights record and is seeking further sanctions against Tehran over an alleged foiled plot to assassinate the Saudi ambassador in Washington.

HIVI KUNA MUAFRIKA YEYOTE ALIYEFURAHIA MAUAJI YA MUAMMAR GADDAFF?? OBAMMA ALISHINDWA HATA KUSEMA YA WAAFRIKA TUWAACHIE WAAFRIKA KWELI? LIBYA KIPINDI CHA GADDAFF WALIISHI MAISHA MAZURI SANA LAKINI LEO LIBYA WANATESEKA SANA, OBAMMA NITAMCHUKIA MILELE NA MILELE, ALISHINDWA KABISA KUONA KWAMBA KUIVAMIA LIBYA NI KOSA LA JINAI, HALAFU KUNA WATU WANAMSIMFIA SANA OBAMA KWA LIPI? ALISHINDWA KUZUIA UBAGUZI WA RANGI ALIPOKUWA RAISI NA WAAFRIKA AMA WAMAREKANI WEUSI WENGI WALIUAWA ALIPOKUWA RAIS ETI LEO HII SIYO RAIS TENA ANAJIFANYA KUPINGA UBAGUZI WA RANGI, SI UPUUZI HUU!! UKINIAMBIA NI MCHAGUE NANI KATI YA OBAMA NA TRUMP, KWA MIMI TRUMP NI BORA SANA KULIKO OBAMA
 
mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,996
2,000
Sasa mtu kafanya kosa moja ..katenda mazuri mengi ...unataka tumuhukumu kwa kosa moja halafu kwa mazuri tumuache. ?.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,877
2,000
Ukishakuwa mshirika wa mabeberu au ukiishi miongoni mwao unakuwa kama wao au mnyama na katili zaidi kama wao sababu unatafuta kukubaliwa kwenye jamii yao, unataka nawe uonekane hauna mapungufu, wewe ni mmoja wao katika yale wanayojinasibu kuwa wao ni bora.
 
Diego Maradona

Senior Member
Jun 20, 2020
143
250
Hata mimi nitamchagua trump japo nae kidogo ana mapungufu yake.

Ni upumbavu mwafrika kumuuwa mwafrika mwenzie tena kwenye bara lake.
 
Zeus1

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
4,488
2,000
If English is a problem to you ,it is better for you to use your mother tongue.

Obama he killed ,Obama killed.
All African dictator,All African dictators.
NB.don't use a noun together with a pronoun in a single sentence.

Chadema mnakwama wali?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wanakwama wali na maharage??
 
mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,513
2,000
Obama ,kamtoa Gafafi mtu aliyepoteza watu wengi kwa kuwaua ,eti mtu unakuwa Rais miaka 40!!
Ndugu acha kabisa kuhusu Libya, obama mwenyewe alishakili kuwa yalikuwa ni makosa makubwa sana kumtoa canal Gaddaf.

Mpaka sasa watu zaidi ya laki 1 washakufa na bado vita inaendelea.biashara ya utumwa tulikuwa tunasimuliwa na babu zetu, sasa ivi ipo Libya.Demokrasia imeifanya libya kuwa sehemu hatari zaidi duniani.

Benghazi watu wanauza maduka huku AK-47 ipo mkononi kwa sababu ya ofu ya usalama.Sasa ivi kuna serikali mbili ndani ya Nchi 1.
 
Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
686
1,000

Gadafi ndo akusoma nyakati huwezi kuwa Rais miaka 40/ hata km umefanya mazuri unapashwa kujishtukia.
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
38,799
2,000
Gadafi ndo akusoma nyakati huwezi kuwa Rais miaka 40/ hata km umefanya mazuri unapashwa kujishtukia.
Kama katiba ya nchi yake ina mruhusu Naa wananchi wapo tayari kumuacha aendelee kutawala ..shida ilikuwa iko wapi...

Sasa kipi kilikuwa bora kumuacha gadafi aendelee kutawala ili wana nchi wa libya waendelee kuishi kwa amani ..au kumuua gadafi kisa tu ametawala miaka 40 then hatimae Libya imevurugika na kuwa ardhi ya umwagaji damu
 
Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
686
1,000
Kama katiba ya nchi yake ina mruhusu Naa wananchi wapo tayari kumuacha aendelee kutawala ..shida ilikuwa iko wapi...

Sasa kipi kilikuwa bora kumuacha gadafi aendelee kutawala ili wana nchi wa libya waendelee kuishi kwa amani ..au kumuua gadafi kisa tu ametawala miaka 40 then hatimae Libya imevurugika na kuwa ardhi ya umwagaji damu

Uroho tu ndo umeleta machafuko
 
Ambition plus

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
2,903
2,000
Kama katiba ya nchi yake ina mruhusu Naa wananchi wapo tayari kumuacha aendelee kutawala ..shida ilikuwa iko wapi...

Sasa kipi kilikuwa bora kumuacha gadafi aendelee kutawala ili wana nchi wa libya waendelee kuishi kwa amani ..au kumuua gadafi kisa tu ametawala miaka 40 then hatimae Libya imevurugika na kuwa ardhi ya umwagaji damu
Wanajuta saizi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom