Why did Pres Obama bow to King Abdullah?

What translation do you need? Be more specific pls, for there is a lot of different posts from different ppl.

jmushi1,

jamaa hapandishi kiswahili na kuna wakati mijadala inampita.
Kwa hivyo naomba mpe ufafanuzi zaidi kwa kimombo anapouliza swali.

Shukran.
 
You are right, hebu cheki hata Arizona State University, ASU walivyokuwa na racial minded views, wanasema hawampatii Obama honorary degree kwa kuwa hajafanya kitu chochote kile, wakati huko nyuma kuna watu wamepewa bila ku-accomplish anything recognised. Huu ni u-KKK minded wa hawa jamaa Ila this time jamaa kawashinda kila angle ana perform tu.

Kwi kwi kwi... Hiyo hapo juu imeniacha hoi. BHO anahold degree za kuzifanyia kazi from Columbia University na Harvard University(It cant get better than that!)... Now comes a lowly "Arizona State" inamtishia na "Honorary" degree,...Dreamers wana kazi sana. Labda angekuwa Lyatonga Mrema ndio wangemnyima raha kwa kukosa hiyo degree yao.

It will be a looong 8yrs for BHO haters, coz the man is here to stay.
 
jmushi1,

jamaa hapandishi kiswahili na kuna wakati mijadala inampita.
Kwa hivyo naomba mpe ufafanuzi zaidi kwa kimombo anapouliza swali.

Ngoja kwanza, ngoja kwanza, Mkuu Ab Tichaz.

Huyu bwana, sijui bibi, haishi kutukana rangi yetu wote kijumla jumla hapa kila siku, saa na sekunde, leo mnatuambia tumfafanulie lugha yetu? Kwa vile anaandika Kiingereza koko hiki chetu cha Mtakuja Primary School? Kwa nini yeye ndio asijifunze Kiswahili? Maana kakuta watu wanajadili Kiswahili. Au kwa nini asiwe mstaarab wa kuomba aandikiwe Kiingereza? Anaamrisha kwa dharau kwamba ajibiwe Kiingereza kwa vile anajua akisema hivyo tu, watu watatetemeka kuonekana hawajui Kiingereza.

Jana kasema America haiwezi kumeza wahamiaji kutoka kwenye jamii za dunia ya tatu. Akimaanisha tatizo lake sio uhamiaji kujaza nchi, bali sisi wa dunia ya tatu kujaza nchi. Maneno ya ki Ku Klux Klan, ametukana kila mhamiaji wa humu jamvini. Leo mnatuambia tufanyeje, tumtasirie? Mnasema nini?

Na nyinyi kina Mushi ndio mnampa kibichwa huyu THE UONGO huyu, mnahangaika kumdhihirishia kwamba na nyinyi mnajua Kiingereza. Mnahangaika kweli kweli. Huyu Mtanzania koko house nigga huyu anatukana wahamiaji wa dunia ya tatu ambae haishi kushinda kwenye tovuti ya watu wa dunia ya tatu anawaambia hajui Kiswahili? Hajui kiswahili mbona anatia shukrani kwenye matundiko ya Kiswahili?

Tumtasifirie Kiswahili? Kaburu? Forget that. Eff that. Nani amewafundisha kuchukia rangi yenu na utu wenu na lugha yenu? Kiasi kwamba hamtaki hata kuikaribia na kukaribiana?

Mkamtafsifirie hivi, muelewesheni haya: Kamkalakinde midende vavagila....
 
Last edited:
jmushi1,

jamaa hapandishi kiswahili na kuna wakati mijadala inampita.
Kwa hivyo naomba mpe ufafanuzi zaidi kwa kimombo anapouliza swali.

Shukran.

Mkuu sitaki na siwezi kubishana na wewe kwasababu una "Panga"
Hata hivyo kwa kumbukumbu zangu "Finyu" Huyu bwana anajua BOTH English and Swahili...Rejea posting yangu # 39 nilipomweleza hilo. Pia hapa chini nime copy and paste posting yangu aliyoijibu ikionyesha wazi kuwa yuko familiar na kiswahili...Na pia kwasababu mmeshafuta threads nyingi sana..Huyu ndugu tulikuwa naye mwaka jana hapa kwenye mjadala mkali wa Zimbabwe na ule wa "The New scramble for Africa"

The Truth
user_offline.gif

The Truth is not politically correct
JF Senior Expert Member
Join Date: Sun Oct 2007
Posts: 523
Thanks: 21
Thanked 61 Times in 50 Posts
Rep Power: 23
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 50,473

icon1.gif
Re: Why did Pres Obama bow to King Abdullah?

Quote:

Ili uchumi uweze kutengemaa tena,ni lazima kuwa na some sort of spending in creating jobs na ku boost consumer spending,mabepari wameufikisha uchumi hapa ulipo,hawataki kuwa accountable kwasababu walikuwa untouchables,yani wao wanataka kundelea kupasua kwa level ile ile waliyokuwa nayo wakati wanaudidimiza uchumi,pia kwa unnecessary spending nk,malipo ya ma CEO nia ya kutisha na haijalishi kama kuna faida ama la,bonuses zao ziko guarantee...Sasa kwasababu serikali ndio pekee yenye kuweza kulishughulikia tatizo hilo ndio kusema usoshalisti? Yani wewe ulitaka kusiwe na uwajibikaji?

Back kwenye pointi ya spending,sasa stimulus ni nini? Utaustimulate vipi uchumi bila kuspend? Kwa taarifa yako there was no way out other than spending,uchaguzi wa namna ya kuspend umetofautiana lakini cha msingi ni kuupiga jeki uchumi...Sasa kama emphasisi zimebase kwenye ku urescue uchumi na spending ni lazima ili ku stimulate economy,wewe ulitaka afanye nini? Middle class ambao ni asilimia 90 ya wamarekani wamepewa punguzo la kodi kwa misingi hiyo hiyo....Na pia si aliwauliza Republican waje na alternative wakabaki kusuasua? Kina Jindal na Palin nao si wamgeuza mawazo na sasa wameiandikia serikali kuwa wawe considered kwenye stimulus,sasa what kind of politics is that?

Where is B. Hussein getting the money to spend and to "stimulate" the economy? How long do you think China will continue to buy US treasury bills i.e. lending money to the United States? How much money can B. Hussein print without causing hyperinflation and making the US dollar worthless? You grow economy by innovation and being productive. If spending worked then Zimbabwe would not be in such a mess economically today as over 54% of their GDP is government spending. What B. Hussein is doing in terms of government spending has never worked before so I am not sure why you believe it will work this time. All he is doing is leaving a $10 trillion debt on the country.
 
Ahsanteni kwa postngs zenu. Ni punde tu nilikuwa namuangalia MUUNGWANA akisalimiana na Mfalme Abdulla na nafikiri kangamuwa kwani hakubow kama Obama lakini kapata mabusu mawili ya Mfalme.
Kwa kweli Muungwana amepata heshima kubwa kulingana na Marais wengine wa nchi masikini hasa kutoka Africa. Ni ziara iliyopewa coverage kubwa kulingana na tabia za Wasaudi.
 
The latest blunder by B. Hussein, he is photographed shaking hands with a fellow socialist Hugo Chavez. What would Americans who are already uneasy about B. Hussein feel about his latest blunder?

capt.photo_1240008982147-1-0.jpg
ra3730657972.jpg
 
Chavez reached out to Obama and said he wants to be friends,he also handed him a book,enting wrong wit dat?
 
Hili ndilo tatizo la kuwa na watu wenye uelewa finyu kama wa post hii. Politics ni tofauti na ubinadamu, mimi leo hii nikikutana na wewe "Ukweli" siwezi kukataa kukusalimia eti kwa kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi au sikubaliani na fikra zako. Sasa wewe ulitakaje Obama amkimbie Chavez ili mseme anamuogopa. That's nonsense and ludicrous, hasa kuwa na mawazo ya kimasikini kama haya "kuwa hatuelewani kifikra basi ni maadui", hizi sera zimepitwa na wakati na mtasema sana maana ninyi mmeamua kuwa "Nay" sayers kwa chochote.

Hakuna ubaya hata chembe kwa watu kusalimiana kwa kupeana mikono, ni jambo la kawaida na halina nafasi katika sera za marekani kuelekea Venezuela au venezuela kuelekea marekani, ACHA HIZO WEWE "Ukweli", hakuna blunder hapo unayeonekana umefanya blunder ni wewe mwenye mawazo ya kale.
 
Chavez reached out to Obama and said he wants to be friends,he also handed him a book,enting wrong wit dat?

So if Hendrik Frensch Verwoerd or P.W. Botha or Hitler reached out and said they wanted to be friends, B. Hussein would have reciprocated? That is a hypothetical scenario but it illustrates the point. A leader is supposed to exercise good judgement and draw the line somewhere. Many people believe B. Hussein is a socialist and are uneasy about him. This picture of him cozying up to the most infamous socialist in the world right now does not help his case.
 
I will NEVER compare the likes of Hitler,Botha et al to Mr Chavez,never,you must be confused. The US-Venezuela bikering hasn't reach to that level of animosity you're trying to suggest or protray. Ni vitu viwili tofauti...Tafuta mfano mwingine,huo haufai.
 
You are missing the point here. The point is not about comparing or draw moral equivalence between aforementioned personalities and Chavez. The point is the leader is supposed to draw a line. For many Americans, B. Hussein should have drawn that line with Hugo Chavez just like you or someone else would have expected him to draw the line with Hitler,Botha or Verwoerd. Try to keep up please.
 
Back
Top Bottom