The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Kazi ipo kwa kweli kiufupi ni watu wawili tuliokulia mazingira mawili tofauti emagine kila nikipata likizo anataka niende kwao ili nikupende anhisi napachukia coz ni kijijini wakati mie was ready for that na nilienda kabla hata sijaolewa na nilikubali ila i need some of my leave niwe out of his home village anaona namdharau sasa hapo ndo nahisi uvumilivu unaisha.
Ofcourse nishaangalia nae sana mpira na pale samaki samaki ya mlimani city tushakaa sana hadi nikajihisi sasa mie nakuwa mama au mschana, mziki sio sana anenda once in a while anapenda kwenda kutembea kwa ndugu zake na kuongea while me sometimes I get bored kwenda kwa watu..........
Nyumbani kwenu mnaishi na nani?
ndugu wengi?
sometimes nyumba ikiwa na watu wengi nayo ni kisababishi
cha watu kushindwa ku enjoy pamoja...
Ulimtoa wapi? mbona kama yeye wa Nyerere na wewe wa Kikwete?