Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
- Thread starter
- #41
Aisee pole. Kama naimagine unachopitia. Hebu kwa imani yako mshirikishe Mungu; atakusaidia ku revive the reasons u married ur husband. Pole sana. Na mmekaa miaka mingapi? Mna watoto? Unafanya kazi? Ana kudharau? Anakutesa? Unampenda? Hajakuacha sababu anakuhitaji; wewe je unamhitaji? nna maswali mia kidogo but mshirikishe Mungu kabla ya yote.
The truth shall set u free.
Asante, najitahidi kusali mara kwa mara kwa kweli na sijachoka bado, tuna less than 5 yrs, yeah mtoto mmoja, wote tunafanya kazi, sometimes huwa ananidharau live hanitesi ila huwa nakereka. Nampenda ila kero zinazidi kupunguza upendo kila leo, sasa kama ananihitaji kwa nini anakuwa insecure na kunikera with no reason? Yes as nimezaa nae namhitaji kwenye malezi ya mtoto. Thanks for caring.