Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,558
dawa nikuzungumza na mwenzio kwa lugha yenu ya kimapenzi atakuelewa tu vinginevyo nikusbiria dodo chini ya mbuyu
Siyo hivyo wakati wote. mhhh, nilikumiss sana.ha haaa, umenichekesha sana hapa rafiki....... hivi ndo mnavyotufikiria tunataka muwe? kweli?
Habari zenu za week end MMU??
Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
Nakumbuka mwalimu wangu alituambia ndoa ni the only CERTIFICATE in life you will get without any examination nor test mitihani yake utaipata ukiwa ndani yake...you choose him for the good and for the better,for the bad and the worse if its the worst part of it then try to remember the old days and the best times yu had together.Dont let those negativities ruin yur life try to be patient and pray then things will workout well..kama ulimchagua mwenywe bila ya kulazimishwa there is something in him that can make you happy then use that to forget hayo maumivu ila if you chose him for material possessions na sasa umezizoea au sura yake sasa wamuona wa kawaida itakua ngumu..unless vumilia na nikuombee upite katika wakati huu mgumu but dont cheat!!!baki kuwa a faithful wife maybe God will answer your prayers as fast as he can
To be a good wife is never easy Mkunde Original, even if you have a near-perfect husband. To be a good wife, you have to be able to communicate effectively, to keep your romance alive, to care about your family and to be your husband's best friend while maintaining your own identity. Try this way of life to retreat from going down. Try to mix up with good friends as well to relieve the boredom of constantly staying at home.
dawa nikuzungumza na mwenzio kwa lugha yenu ya kimapenzi atakuelewa tu vinginevyo nikusbiria dodo chini ya mbuyu
namna hii bado mnanishauri harusi?
nilimaanisha huwezi kusubiria mafanikio/muafaka bila ya kuutengeneza mwenye mazungumzo ni silaha nzuri sana katika kuweka mapenzi yenu alive, since mwenzio anaweza akajihisi yupo sahihi so try to tell him what you like from him and what you dont and tell him about his changes as well as ukubali kuambiwa mapungufu yako kutoka kwake at the end of day mtajikuta mnarudia enzi zenu mkiinjoi kwa raha zenu naomba niwasilishedodo chini ya mbuyu...................??? sijakuelewa atii
nilimaanisha huwezi kusubiria mafanikio/muafaka bila ya kuutengeneza mwenye mazungumzo ni silaha nzuri sana katika kuweka mapenzi yenu alive, since mwenzio anaweza akajihisi yupo sahihi so try to tell him what you like from him and what you dont and tell him about his changes as well as ukubali kuambiwa mapungufu yako kutoka kwake at the end of day mtajikuta mnarudia enzi zenu mkiinjoi kwa raha zenu naomba niwasilishe
\wewe uko bored tu
find a hobby.....
watu wengi wanakuwa so bored after ndoa
You are welcome, but also remember, when loneliness strikes, try to do activities you enjoy most, for example reading romance novels, listening to music, taking long walks in nature, etc, rather than waiting and expecting your husband to ease your loneliness. Share your experiences with your husband as a way to connect with him on a positive level.Thanks for nice wedding tip this has changed my thinking from being disappointed to happiest married woman, be blessed brother.
You are welcome, but also remember, when loneliness strikes, try to do activities you enjoy most, for example reading romance novels, listening to music, taking long walks in nature, etc, rather than waiting and expecting your husband to ease your loneliness. Share your experiences with your husband as a way to connect with him on a positive level.
Na wanaume wanataka mwanke awe sex toy huh? U flip a button, shagshagshag and switch off? Lucky for us we aint humans
Ni km kungojea meli airpotdodo chini ya mbuyu...................??? sijakuelewa atii
nipo mbona!Siyo hivyo wakati wote. mhhh, nilikumiss sana.
\
Napenda majibu yako the Boss!!
Short but the message is delivered!!!!!!