Why did i get married??

Why did i get married??

Sticky to the very beginning of your relations, karibu kufikiri why did you marry him, if you got this reasons, you can start form there.
Don't leave kwa sababu maji yamegusa pua, there always be a solution, and you both can solve it. Shirikishaneni on every aspect of your love life.
 
Habari zenu za week end MMU??

Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
Maisha ya ndoa yapo so complicated..Mapenzi yanachuja kwa jinsi muda unavyokwenda na ni wajibu wa wanandoa kurudisha yale mashamsham na kukumbushia yale mahabati ya enzi na enzi..Kama unategemea someone to come and save you that aint gonna happen...Na kama umeshajaribu hayo na yameshindikana na unaona utakuwa mtu mwenye furaha zaidi ukiondoka then DONT STAY IN A MISERABLE MARRIAGE,YOU LIVE ONCE MY DEAR,SO CHERISH EVERY SINGLE MOMENT OF YOUR LIFE!Kumbuka wewe ndio uliye kwenye hio ndoa na unajua unachokipitia mimi nakushauri tu kutokana na ulivyojieleza,na nilishasoma uzi zako nyingine kuhusiana na suala hili hili...
 
pole sana mshirikishe Mungu hitaji lako......kama wewe ni mkatoliki katafute kitabu cha MT. RITA WA KASHIA kuna novena kule binafsi inanisaidia sana ukiweza kusali na kufunga kwa imani...hiyo novena unasali siku 12....siku 9 za kuomba na siku 3 za shukurani.....
 
Ameandika kituambacho hata yeyehakielewi!! inaonyesha ni jinsi gani umechanganyikiwa
 
Habari zenu za week end MMU??

Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
ndoa ina vipindi tofauti....muombe Mungu akurahisishie magumu yote ambayo unayapitia katika kipindi hiki......
 
Khaaaa!
Kweli binadamu haturidhiki!!!
Mi nilijua ndoa yako inamatatizo!!
Je wale wenye ndoa zenye mizengwe WASEMEJE?
Mshukuru Mungu wako basiiii!
....
Mwenyewe umesema ukiachia hapo kinaweza kisieleweke!
Ushauri wangu zingatia maneno haya: 'ALIWAZALO MJINGA ........'

Habari zenu za week end MMU??

Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
 
Ushauri wa wengi humu naona u akupeleka kwenye kutafuta kiini cha wewe kuwa bored na ndoa yako
Hebu tafuta sehem muende na mpendwa wako nje ya nyumbani sehem tulivu na ambayo mnaweza kukaa na kuongea na kukumbushia mengi mliyopita
Uko bored na inaelekea ndoa yako hamuongei wala kubadilishana mawazo na mume wako
 
Nakumbuka kwenye hiyo movie ya why did i get married,Janet jackson alimshauri mwenzake aliekuwa kwenye matatizo ya ndoa.'chukua kalamu na karatasi then orodhesha mazuri yote mmeo aliyokufanyia then orodhesha mabaya yote mmeo aliyokufanyia'. Definately ull find mazuri yapo mengi kuliko mabaya.Love is a choice my dear.feelings smtims comes and go.
 
Duuuuh pole, mazungumzo ni kitu muhimu na penzi litazaliwa upya, muweke tofauti zenu pembeni.
Umeolewa coz ni moral na mlipendana by the tym.

Asante nitajaribu mazungumzo kwa mara nyingine tena, maana mara nyingi za nyuma mazungumzo yaliishia kwenye ugomvi hata kushindwa kufikia muafaka. I wish hayo mapenz yaendelee kama si kurudi tena kama wakati ule tunaoana maana now ni tabu tupu.
 
Haya ndio mambo ambayo yananifanya nifikirie sana swala la kuoa when time comes. Look at this scenario, has ur husband done anything to upset u? No. Then what's your motive? Do you recall 'till death do us apart'? Kaa na mumeo mjadili kama marafiki na muweke wazi jinsi unavyojisikia now. Trust me, you never know you had something untill yo lose it. Kuna watu wmekaa antencyo wanasubiri umbwele wakamate koloni. Beware...!!!
 
wewe uko bored tu
find a hobby.....

watu wengi wanakuwa so bored after ndoa

Thanks for ur words, am worried na hiyo hobby ntakayoianzisha haitaleta madhara zaidi badala ya kurejesha ahueni kwa ndoa?
Natamani nikuulize kwa nini watu wengi wanakuwa bored baada ya ndoa ila ntakuwa nakuonea maana kiukweli hapa nilipo niko bored mnoo kuliko maelezo.
 
Inaelekea uliolewa kwasababu ya kitu flan na hicho kitu hakipo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Si kweli maana hata mie nilijiuliza hilo swali ila nimekagua from that time kama kuna kitu nilitarget kwake hakuna I had true love for himna nilimwambia since then sasa naona naugua sana while I had true love why dont he do the same? Au niliforce ndoa?.......!!! may be wacha nikague hili...........
 
Thanks for ur words, am worried na hiyo hobby ntakayoianzisha haitaleta madhara zaidi badala ya kurejesha ahueni kwa ndoa?
Natamani nikuulize kwa nini watu wengi wanakuwa bored baada ya ndoa ila ntakuwa nakuonea maana kiukweli hapa nilipo niko bored mnoo kuliko maelezo.

Binadamu wote ndo tulivyo
ukinunua gari ,siku za mwanzo utaliosha kutwa
na kuhakikisha liko vizuri
ukishalizoea tu,utaliacha na vumbi na hata kuli park CCM siku zingine
wakati mwanzo ulikuwa na wasiwasi ukizubaa litaibiwa..

ukijenga nyumba the same,utafagia kutwa na kupanda na kumwagilia maua
ukishaizoea tu...inakuboa kiaina si ajabu ukatamani nyumba ingine,gari ingine na kadhalika..

ukipata kazi mpya,unavaa vizuri na kuwahi officin mapemaa...ukishazoea tu..
unatamani kazi ingine,unaboreka hadi baasi...

we all want what we don't have....its a human nature
tulivyo navyo tunavi take for granted...
 
Tatizo haswa nini... mlevi halali ndani au

mambo madogo madogo yasiyo na kichwa wala miguu ndo yamenichosha hata nakosa guts za kuvumilia zaidi, waweza uliza swali in a faith way likageuzwa kuwa ugomvi na utajuta kuuliza ni mambo kama hayo.
 
exactly aliolewa sababu ya kitu ambacho now anakiona cha kawaida
keshakizoea sasa empty feelings zinamrudia...

U and data seem to be right by 99% sas kama nilioshaingia in that way nifanyaje?? Is there a way to solve it? au ndo hobby will make it? Nikiziangalia hobby zangu nachoka kabisa labda miunde mpya............!!!
 
Last edited by a moderator:
U and data seem to be right by 99% sas kama nilioshaingia in that way nifanyaje?? Is there a way to solve it? au ndo hobby will make it? Nikiziangalia hobby zangu nachoka kabisa labda miunde mpya............!!!

Hobbby zako ni zipi hizo?

by nature binadadamu tuna grow kila siku
sasa kwenye mahusiano mnapaswa m grow together ..
na sio ku grow apart....

hilo ndo tatizo lako...
find a way muweze ku grow together....
sababu process ya ku grow kwa binadaamu ni ya lazima
mkiendelea ku grow apart ,mtaachana tu mwishowe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom