bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,880
bht, ZD, PJ mada inasemaje tena?
why did 'you' get married! sre we went off topic kidogo!!! unavoidable thou
bht, ZD, PJ mada inasemaje tena?
Yeah sometimes mwanzisha thread anatakiwa awe mkali kama ivi la sivyo mada inapotea kabsaa!!bht, ZD, PJ mada inasemaje tena?
Sore MJ1 tulikuwa ofutopiki kidogo,si unajua Steringi uliondoka? teh teh!bht, ZD, PJ mada inasemaje tena?
Yeah sometimes mwanzisha thread anatakiwa awe mkali kama ivi la sivyo mada inapotea kabsaa!!
Sore MJ1 tulikuwa ofutopiki kidogo,si unajua Steringi uliondoka? teh teh!
Hebu PJ atuelezee eksipiriensi yake sijaiona hapa.
Yeah nakubaliana na wewe kua off topic kukwepeka si rahisi ila zisizidi sana!!ndo maana mkutano huwa na m/kiti kimey kurudisha watu kwenye mstari lakini off topic hazikwepeki zinafanya msiboeke ila zisizidi
Nishaiweka xperience yangu tayari tangu mwanzoni kule, na kwahakika mimi ni mtaalamu wa Taasisi hii Kongwe duniani!!
Of course baadhi ya sababu nilizompendea wakati huo, kwasasa hazi'hold tena, si unajua so many things have happened!
E.g, kama ni watoto keshanizalia, kama ni naniliu, nina uhakika wa 100% daily, kama ni kufua hiyo iko permenently kwake!
So mtu usipokuwa na msimamo ni rahisi sana kumletea vurugu kwasasa, maana huoni jipya toka kwake!
Hapa pananitisha na natamani nikuulize swali lakini kigugumizi.Lakini ngoja,E.g, kama ni watoto keshanizalia, kama ni naniliu, nina uhakika wa 100% daily, kama ni kufua hiyo iko permenently kwake!
So mtu usipokuwa na msimamo ni rahisi sana kumletea vurugu kwasasa, maana huoni jipya toka kwake!
You said it well!Jipya lipo hata appreciation kwa hayo yote aliyo/anayoyafanya inabidi ikufanye umuone wa pekee kila siku.
Nawashauri wote muangalie hii muvi inaitwa WHY DID I GET MARRIED?
Nishaiweka xperience yangu tayari tangu mwanzoni kule, na kwahakika mimi ni mtaalamu wa Taasisi hii Kongwe duniani!!
Of course baadhi ya sababu nilizompendea wakati huo, kwasasa hazi'hold tena, si unajua so many things have happened!
E.g, kama ni watoto keshanizalia, kama ni naniliu, nina uhakika wa 100% daily, kama ni kufua hiyo iko permenently kwake!
So mtu usipokuwa na msimamo ni rahisi sana kumletea vurugu kwasasa, maana huoni jipya toka kwake!
Thanks Mkuu, i have referred this movie more than three times humu jamvini!! Ina shule halisi tena hasa kwa wale walio bado na nafasi ya kuchagua wake/waume
Hapa pananitisha na natamani nikuulize swali lakini kigugumizi.Lakini ngoja,
Huoni jipya? why? Si unatakiwa uyaumbe mapya wewe?
i think i will have to watch it! thanksThanks Mkuu, i have referred this movie more than three times humu jamvini!! Ina shule halisi tena hasa kwa wale walio bado na nafasi ya kuchagua wake/waume
i think i will have to watch it! thanks
i think i will have to watch it! thanks
See the colored part, that is very important in life, if there is a chance be a friend to person you want and i mean friends so that you get to know his/her high and low side in really sense. from there when you choose to say i do, you know what you are getting yourself into.MWanajamii one!!
i married a girl that i knew when i was in standard three
she was standard one, she was a good company since i knew her
but i felt that she was coming from a higher class
when we were in secondary school we continued to be in touch but i felt that i wasnt her class
so we ended up being friends and she had a boyfriend and i had my girlfried, later in 2001 she became very close to me and some interest ikaanza kuwa wazi kwani i had to call her nikiwa na ishu ya yeye pia. alikua mji mwingine.
later wakatosana na very funny jamaa left the country na mie huku mambo yangu yakawa yanazidi ku-lean kwa huyu mamaa.
baada ya muda tukawa mji mmoja na ni yeye lisaidia mimi kupata kazi then everything ikawa ni just a click and change channel. we were friends and we are still friends.
sasa changamoto ni moja tu! ananijua hata kabla sijawa her confidant kwa hiyo ni rahisi sana kunigundua kama nshaanza upuzi so sometimes inakuwa tough and tight screw
tulikuwa dini tofauti lakini its all sorted
lakini pamoja ya yote hawa the biggest reason sis kuoana nadhani ni pale her parent walipoonyesha kudharau familia yetu and she stood up very tough on that na hata wakawa na bifu!!! that was the last nail in the coffin, she fought for me and i had to be with that mama
amenipigania mno aisee, ingawa pia ana kauonoko i think that is why i got married
Good evening people.Am out.