Why did I get Married?

Why did I get Married?

Hujaoa hujakamilika. Mbali na hayo maraha yote ya kitandani, uelewano, kuwa na mtu wa kushea mazuri na mabaya, na on top kujenga family yaani watoto.
Kayanda umenena vema haswaaa mtu wa kushare naye mazuri na mabaya.
 
hahahaha binamu umenichekesha kumbe ulikuwa huna tu jinsi lakini ingekuwa amri ungeendelea kuwa bachela mzoefu

Kama si hayo niliyoyataja. Ningeishi single to the rest of my life.
 
Ulinikatadha nisiongee mambo ya ndani!.Leo nataka kujifunza mchumba,si unajua ndoa yetu inakaribia? au hutaki nijue ukweli wa ndoa? unaogopa kibuti?

ZD we umekubali kuwa kakibanda weweeeee!!! endeleeni mi nasoma posts tu!!!
 
MJ1 mwanzo sikuwa kabisa na ndoto za kuolewa maana nilikuwa kila nikiangalia marafiki walio kwenye ndoa asiliamia 80 walionizunguka walikuwa kama kosovo na chenchinia ukiingia kazini migogoro ya ndoa ukienda makanisani migogoro ya ndoa ...
kumbi za starehe ndo usisime wanatoka wamshikana mikoni kumbe moyoni hakuna mapenzi mwenzio kama lipo limepangwa lipo tu ...
akatokea jamaa alinichanganya kwanza upendo wa dhati sifa nilizokuwa nataka mwenzi wangu awe nazo alikuwa nazo hata kama si kwa 100% miaka ikaenda mala ikarudi nikapata ka ujauzito ambako kaliniongezea mapenzi tele kwa baba yake na kujikuta nasema yes mbele ya mashahidi

kumbe nilitest tundi before marriage

Ai wewe! kumbe ulitest eeh, lakini muhimu bwana kutest unaweza kukuta kibamia ndoa ikwa ndoano.
 
Kayanda umenena vema haswaaa mtu wa kushare naye mazuri na mabaya.
Nadhani hii haitoshi,kwa sababu pale uchumbani kila mtu anashare mabaya na mazuri,ngoma mkishaanza maisha ya ndoa.kama hiki ni kipimo kwa nini mkiingia kwenye ndoa hamuendelei kushare mabaya na mazuri?
 
MJ1 mwanzo sikuwa kabisa na ndoto za kuolewa maana nilikuwa kila nikiangalia marafiki walio kwenye ndoa asiliamia 80 walionizunguka walikuwa kama kosovo na chenchinia ukiingia kazini migogoro ya ndoa ukienda makanisani migogoro ya ndoa ...
kumbi za starehe ndo usisime wanatoka wamshikana mikoni kumbe moyoni hakuna mapenzi mwenzio kama lipo limepangwa lipo tu ...
akatokea jamaa alinichanganya kwanza upendo wa dhati sifa nilizokuwa nataka mwenzi wangu awe nazo alikuwa nazo hata kama si kwa 100% miaka ikaenda mala ikarudi nikapata ka ujauzito ambako kaliniongezea mapenzi tele kwa baba yake na kujikuta nasema yes mbele ya mashahidi

kumbe nilitest tundi before marriage
kusema kweli kwa wakati huu hii red ndo inachangia sana!! maana ankumbuka chuo asilimia kubwa walioana kwa sababu ya hiyo nyekundu hapo!
 
Nadhani hii haitoshi,kwa sababu pale uchumbani kila mtu anashare mabaya na mazuri,ngoma mkishaanza maisha ya ndoa.kama hiki ni kipimo kwa nini mkiingia kwenye ndoa hamuendelei kushare mabaya na mazuri?

Darling nadhani hiki ni kimoja wapo tu kati ya hayo mengi ambayo wengi wetu hufail kuyazingatia!!
 
ZD we umekubali kuwa kakibanda weweeeee!!! endeleeni mi nasoma posts tu!!!

Watu fitna utawajua tu ZD wangu. Hahaha! LOL mtoto hapitiwi huyu. Ngoja nimwambie nguli.
 
Nadhani hii haitoshi,kwa sababu pale uchumbani kila mtu anashare mabaya na mazuri,ngoma mkishaanza maisha ya ndoa.kama hiki ni kipimo kwa nini mkiingia kwenye ndoa hamuendelei kushare mabaya na mazuri?

they say every things bcums monotonous...u become bored unaona mwenzio ndo nuksi....heheee samahani dont sulubisha me !!!
 
Xpini atanisaidia kujibu hili!!
usimuogope Xpin,Hata hivo mie ni mcha Mungu.Mie nataka kujua tu kwa nini umri ukufanye ukimbilie ndoa.Nishasikia kuwa mwanaume hata akifika miaka 40 hajaoa hana shida,ila tatizo mwanamke.akifika 30 hakieleweki ataweza kuolewa na yeyote yule ataejitokeza mradi apate ndoa.Unaelimisha wengi usiogope.
 
Watu fitna utawajua tu ZD wangu. Hahaha! LOL mtoto hapitiwi huyu. Ngoja nimwambie nguli.

umwambie nini!!! kama kawaida nakaba mpaka penalty, that is me Iribini haaaaa
 
Mimi kilichonipelekea kufanya maamuzi haya mazito ni kuwa mr alikuwa mtu wangu wa karibu sana, he was my best friend way before we fell into love game. when we were friends He was always there for me, and i was there for him, we shared a lot of fun and secrets, he was my main advisor in every aspect (if u n wora i mean), i was his closest person, and we eventually discover there is no way we can stay apart in this life, and so , well we decided to say i do!
 
Back
Top Bottom