Why did I get Married?

See the colored part, that is very important in life, if there is a chance be a friend to person you want and i mean friends so that you get to know his/her high and low side in really sense. from there when you choose to say i do, you know what you are getting yourself into.

CArmel,

Ni kweli kabisa... lakini hiyo in faida kuliko hasara!!! ukingalia hata kwenye ile movie kuna jamaa mkewe anamgundua akianza tu uongo!!! kwahiyo hata kama nina "vidili" vyangu inabidi niwe very smart au kuacha kabisa... lakini this goes both ways, its easy kujua kama ananiingiza mjini au la!!
 
Where dou get such kind of stuff men!
Nambieni ili kama ni zile za kuangalia kwenye tv nitemane nayo!
MJ1, hope yuo will help me here!

PJ kwani huko nyumbani hawauzi muviz jamani??? sio yale ma-soap ya kwenye tv...
 
MWanajamii one!!

so we ended up being friends and she had a boyfriend and i had my girlfried, later in 2001 she became very close to me and some interest ikaanza kuwa wazi kwani i had to call her nikiwa na ishu ya yeye pia. alikua mji mwingine.

later wakatosana na very funny jamaa left the country na mie huku mambo yangu yakawa yanazidi ku-lean kwa huyu mamaa.

baada ya muda tukawa mji mmoja na ni yeye lisaidia mimi kupata kazi then everything ikawa ni just a click and change channel. we were friends and we are still friends.
Huoni kwamba ulimpata baada tu ya kuwa ametoswa na huyo jamaa? Unadhani alikuwa na upendo wakweli na wewe, na kama ndivyo, kwanini akupende baada ya kukosa option?

-Huoni kwamba PIA ulimwoa kama hisani ya yeye kukutafutia kazi?

By the way we differ so much in the reason which got us into marrying the people we live with, SO MTU USIJISKIE OFFENDED for any reason whatsoever!

Huoni kwamba ulimpata baada tu ya kuwa ametoswa na huyo jamaa? Unadhani alikuwa na upendo wakweli na wewe, na kama ndivyo, kwanini akupende baada ya kukosa option?
Hili ni kweli kabisa kwani jamaa angeamua kubeba basi ningeendelea na maisha mengine bila huyu kova wangu!! Always we utilise available resources and not something we cant have

-Huoni kwamba PIA ulimwoa kama hisani ya yeye kukutafutia kazi?
Hii haikuwa sababu kwani we continued to be friends for three years without marrying each other, na wala hapakuwa hata na mimba ya kusingizia etc.

i saw the opportunity and i conquered it!! and no regrets

By the way we differ so much in the reason which got us into marrying the people we live with, SO MTU USIJISKIE OFFENDED for any reason whatsoever!

Wala usitie shaka its only through forums kama hizi ndio tunaweza kusaidia wadogo zetu wa-make right choices!!

Just one thing you have to take from me, kama mwanamke anakubali kuolewa na wewe kwasababu ulimsaidia ujue kwamba wewe ni mlinzi bora, the same kwa wanaume... lazima uoe mtu mwenye manufaa kwako na kwa familia yako/yenu

Mimi nilikuwa poacher, nina imani labda wengi tu tulipoach

TUNAOA KU-FULLFIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES NA SIKU ZOTE USIOE JUST FOR THE SAKE
 
Hey wenye jamvi, natumaini wote mu wazima!

Je unakumbuka ni sababu zipi zilikufanya uoane na mwenzi wako?

Ninaomba tujadili hili sababu kuu zilizokufanya uoane na mwenzi wako. Lengo la hii thread ni kutaka kujua zaidi juu ya sababu zile za ziada (wengi tumekuwa tukisimplify kwa sababu ya love peke yake) But ninaamini yapo mengi ambayo pengine yatasaidia hata wale ambao hawajaoa/olewa so that not to be blinded by love like it happed to some of us.

Kusema ukweli mimi nilikuwa deceived kwa yale malavidavi nlokuwa nalambishwa kiasi kwamba nilisahau kuangalia other aspects ambazo well zimenicost leo hii.

Please
_ Unadhani ni nini kilikufanya uoane na mwenzio/uamue kumuoa/ukubali kuolewa na mwenzi uliye naye?
_ Je unafikiri sababu hiyo iliyopelekea wewe kumuoa/olewa naye bado ipo hata baada ya maisha ya ndoa?
may be tungeanza na swali.......!
WHY LOVE?

WHY DO I LOVE MY WIFE?
..........maanake out of love unaweza bahatika kufikiria ndoa!..........
 
Hili ni kweli kabisa kwani jamaa angeamua kubeba basi ningeendelea na maisha mengine bila huyu kova wangu!! Always we utilise available resources and not something we cant have

Hii haikuwa sababu kwani we continued to be friends for three years without marrying each other, na wala hapakuwa hata na mimba ya kusingizia etc.

i saw the opportunity and i conquered it!! and no regrets

Wala usitie shaka its only through forums kama hizi ndio tunaweza kusaidia wadogo zetu wa-make right choices!!

Just one thing you have to take from me, kama mwanamke anakubali kuolewa na wewe kwasababu ulimsaidia ujue kwamba wewe ni mlinzi bora, the same kwa wanaume... lazima uoe mtu mwenye manufaa kwako na kwa familia yako/yenu

Mimi nilikuwa poacher, nina imani labda wengi tu tulipoach

TUNAOA KU-FULLFIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES NA SIKU ZOTE USIOE JUST FOR THE SAKE

very clever man!!! kama ni b'ness man u r saksesful....kama ni kizuri kwa nini usikipoarch
 
may be tungeanza na swali.......!
WHY LOVE?

WHY DO I LOVE MY WIFE?
..........maanake out of love unaweza bahatika kufikiria ndoa!..........

Sasa. ili inoge , ilete kama thread Mkuu!
Maana hapo napo kuna visa vingi sana vya kishenzi tumeviona!

There are a million reasons why one will love a wife!
 
very clever man!!! kama ni b'ness man u r saksesful....kama ni kizuri kwa nini usikipoarch

Thanks Bht, ila ukumbuke kwamba humo kwenye hiyo party kuna yafuatayo
mikasi ya kwenda mbele:D
surprises mara chaaaache sana:confused:
kawivu ka kufa mtu:p
Mipango ya pamoja
vibifu vidogovidogo ambavyo humalizwa na mikasi baada ya pombe kali!!:(:D
 
hahaaaa sasa hapa MTM umenogesha zaidi
 
Personnally,I DON'T KNO WHY I LOVE MY WIFE!na kwakweli sijui ni kwanini I AM GETTING MARRIED CHURCH SO SOON!...............

anaeweza kujua ni kwanin anapenda naomba anipe exiperience
 
Nimeupenda sana huu mjadala. Its more than a lesson. Good evening everybody here
 
Personnally,I DON'T KNO WHY I LOVE MY WIFE!na kwakweli sijui ni kwanini I AM GETTING MARRIED CHURCH SO SOON!...............
SOMETIMES IN FEBRUARY!

certainly 13th-feb-2010

Mpwa hii ni kuonyesha msisitizo
Karibu Chako ni Chako niko na wapwa na mabinamu wa hapa
 
karibu utupe maexpiriensi hapo....gudeve Sipo
Sina hata experience ya kutosha bht, kidogo niliyo nayo tutashare wakati wa get together yetu. Hope you will be there bila kukosa?
 
SOMETIMES IN FEBRUARY!

certainly 13th-feb-2010

Mpwa hii ni kuonyesha msisitizo
Karibu Chako ni Chako niko na wapwa na mabinamu wa hapa
HA HA HA ha ah!
hapo chako kuna kuku-choma nzuri sana!...........niaje mazee?
 
HA HA HA ha ah!
hapo chako kuna kuku-choma nzuri sana!...........niaje mazee?
Ndio naisubiria hiyo nyama hapa kwa hamu sana
Halafu raha nyingine zilizoko hapa inabidi nikuPM. Nisije kushikiwa kidedea na wenye mada "Why did i get Married?" Halafu Fidel80 yuko wapi leo? Au kajisahahu kwa Eliza toka jana? Sorry
 
Back
Top Bottom