Why did I get Married?

Why did I get Married?

MJ1 mwanzo sikuwa kabisa na ndoto za kuolewa maana nilikuwa kila nikiangalia marafiki walio kwenye ndoa asiliamia 80 walionizunguka walikuwa kama kosovo na chenchinia ukiingia kazini migogoro ya ndoa ukienda makanisani migogoro ya ndoa ...
kumbi za starehe ndo usisime wanatoka wamshikana mikoni kumbe moyoni hakuna mapenzi mwenzio kama lipo limepangwa lipo tu ...
akatokea jamaa alinichanganya kwanza upendo wa dhati sifa nilizokuwa nataka mwenzi wangu awe nazo alikuwa nazo hata kama si kwa 100% miaka ikaenda mala ikarudi nikapata ka ujauzito ambako kaliniongezea mapenzi tele kwa baba yake na kujikuta nasema yes mbele ya mashahidi

kumbe nilitest tundi before marriage


FL hii story yako mbona iko incomplete...endelea...halafu baada ya ndoa ikawaje?
 
MJ1, umeleta mada nzuri sana jamvini. Kama ulivyosema, zaidi ya upendo sababu zipo nyingi. Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoamini mapenzi au upendo ni 'deliberate' na sio 'accidental'.

Umri: Katika maisha yangu nilijiwekea target ya kuwa nimeoa nitakapofikisha miaka 28 (I somehow missed the target by 1 year!). Hivyo umri kwangu ilikuwa ni kigezo muhimu tu. Pia nilikuwa nataka kuoa mwanamke ambaye nitamzidi umri wa miaka si chini ya mitatu.

Elimu:Nilikuwa nataka mwanamke ambaye ana shahada ya kwanza.

Dini: Kingine, nilitaka mwanamke ambaye atakuwa dini mmoja na mimi (mimi ni mkristo, hivyo nilitaka mwanamke mkristo).

Tabia: Napenda mwanamke anayejiamini, mchapa kazi, msafi na ambaye yupo reasonably natural.

Umbo/sura: Nilikuwa nataka mwanamke mzuri wa wastani (sio ambaye akienda sokoni roho inanitoka!). Pia, sivutiwi na wanawake wenye maumbo makubwa, hivyo nilikuwa nataka mwanamke mwenye umbo la wastani.

So nilipokuwa na miaka 25, i was actively looking for lady mwenye vigezo hivyo hapo juu that I can confidently call her my wife. Kwa bahati nilimpata anayekidhi na nikaamua kuoa (when I was 29).
 
This is very interesting thread........na kila mtu kweli ana sababu kwa nini alioa/aliolewa.

We're going to get married at the end of this year..........because we love each other.
 
Mkuu umeiweka vizuri, mimi sikuwa na criteria ya dini (sikupanga wakati wa kuoa wala umri wa mamsapu to be), dini haikuwa priority kwani nimeishi na wazazi wa dini tofauti, sura au mvuto mie ni mgonjwa wa nywele, kijungu cha haja na uzuri wa wastani... nahati nzuri nilioa katika early 30s...

this is good one

I hope MwanajamiiOne kesho will come na mada ya why people break-up?
 
Fikiria - huko na mtu kwenye uhusiano kwa miaka kadhaa. Yaani mko muda mrefu mpaka pengine flames za ule moto wa lavudavi zimepungua mno (kama sio kuzimika kabisa). Kilichobaki ni business as usual...dia this dia that!

Punde si punde, wakati mnaendesha kwenye hiyo barabara ya uhusiano, mnafikia kwenye "T-section". Kwa sababu ni T-section, hamuezi kuendelea mbele (kuendelea ku-drag bf 'n gf stuff). Ni lazima mkate kushoto au kulia. Kuchoto - kila mtu anachukua zake. Kulia mnabeba uhusiano wenu kwenye ngazi ya pili (ndoa).

Lakini, kutokana na miunganiko (ties) mingi mlioyatengeneza katika safari yenu hiyo ndefu,inakuwa ni vigumu sana kukata kushoto. Hasara ni kubwa mno. In fact, ni rahisi kukata kulia....(halafu ku-cross vidole ili mkutane na T-section nyingine huko mbele ili mkate kushoto)... kuliko kukata kushoto.

Hivi ndivyo ndoa nyingi za siku hizi zinavyojengwa. Mkatae au mkubali, lakini huu ndio ukweli wa mambo haya
 
FL hii story yako mbona iko incomplete...endelea...halafu baada ya ndoa ikawaje?

hahahah shishi mbona wewe unachimba chimba jamani hii imekamilika kabisaaaaaaaaaa kama kuna swali binafsi nitwangie kule PM
 
This is very interesting thread........na kila mtu kweli ana sababu kwa nini alioa/aliolewa.

We're going to get married at the end of this year..........because we love each other.

madame usininyime kadi coz nataka niwe mmoja wa mashaidi wa tukio hili
 
Mh kibweka so wewe ilikuwa ni kwa ajili ya access tu ok. kilichokuchanganya juu ya hilo ni ujuzi wake au ile kuwa karibu tu ilitosha?

Kaujuzi muhimu ndo maana unakachagua kenye kaujuzi kanakuwa karibu!
 
This is very interesting thread........na kila mtu kweli ana sababu kwa nini alioa/aliolewa.

We're going to get married at the end of this year..........because we love each other.

Unapenda kale kadudu kake na yeye anapenda kadudu kako! Kasipokuwepo kamojawapo hamtakaa muoane
 
Huoni kwamba ulimpata baada tu ya kuwa ametoswa na huyo jamaa? Unadhani alikuwa na upendo wakweli na wewe, na kama ndivyo, kwanini akupende baada ya kukosa option?

-Huoni kwamba PIA ulimwoa kama hisani ya yeye kukutafutia kazi?

By the way we differ so much in the reason which got us into marrying the people we live with, SO MTU USIJISKIE OFFENDED for any reason whatsoever!


1.PJ kila kitu huwa na mwanzo...kwa MTM this is "how it all started"..na binafsi nimeipenda maana kuna element ya kumthamini mtu na utu wake zaidi ya kitu.

2.Hakuna hard and fast rule on how people should meet their future wives /husbands.
Kuna visa vya kufurahisha sana jinsi watu wanavyokutana na nitakupa mifano:
a. Kuna manesi wengi huishia kuolewa na wagonjwa wao kutokana na namna walivyoonyesha huruma wakati wakiuguza.

b. Kuna wanaume huishia kuoa wasaidizi wao - iwe nyumbani au maofisini au sehemu za biashara

c. Kuna watu huishia kuoa watu waliowaokoa katika shida
Mradi kuna ka element fulani kakumgusa mtu moyo wake.

3.Binafsi nadhani ndoa zinapendeza kama watu wanakutana katika situation za kuonyeshana utu kuliko situations ambapo mtu anafuata kitu au analazimika kuingia ndoani kwa vile kawekwa kwenye kona.
 
This is very interesting thread........na kila mtu kweli ana sababu kwa nini alioa/aliolewa.

We're going to get married at the end of this year..........because we love each other.

I hope tutaalikwa tushuhudie tukio muhimu la ndugu yetu Pretty.
 
nakuja peke yangu kwani kila sehemu mpaka tuandame hahaha wewe binamu utakuwa na my wife hakuna shida hapo

Dini yangu inaruhusu nyumba ndogo (Sore another off topic- ya mwisho hii) Turudi kwenye mada sasa. Inamaana kama mme wako asingekugawia kale kamimba, kuna uwezekano mpaka leo ungekuwa single?
 
I hope tutaalikwa tushuhudie tukio muhimu la ndugu yetu Pretty.

Na wewe binamu rudi kwenye mada. Haya Jibu HILI: Je kama yule best friend wako aliyeamua kuuvunja ubesti frendi mpaka kuamua kuwa hubby wako angekuwa na kabamia, leo hii ungeendelea kuwa bestifrendi wake ilhali labda ungekuwa umeolewa na njemba nyingine? I mean, can you have a best friend of other sex while you are married? Na mume wako akamjua?
 
Na wewe binamu rudi kwenye mada. Haya Jibu HILI: Je kama yule best friend wako aliyeamua kuuvunja ubesti frendi mpaka kuamua kuwa hubby wako angekuwa na kabamia, leo hii ungeendelea kuwa bestifrendi wake ilhali labda ungekuwa umeolewa na njemba nyingine? I mean, can you have a best friend of other sex while you are married? Na mume wako akamjua?
Offtopic mpwa, anzisha thread ya hili na mimi nitajibu tuhuma zote.
 
Back
Top Bottom