ndio kama miezi mi 3 nimetoka kutendwa na lile lijamaa ambalo tulipanga mengi tu ya future nikaja kutana na mr, ckuwa namwanmini mana kwa kichwa tayari nilijiwekea wanaume wote ni wale wale tu...tukawa wapenzi lakini kwangu mie milikuwa nampenda ile ki uoga uoga nikiogopa kutendwa, bfrnd alitumia jitihada nyingi kunionyesha kwamba yeye ni wa ofauti na huko nilipotokea coz nilimweleza kila kitu....aliniingia kwenye ulimwengu mwingine wa mapenzi nikajiona nipo dunia nyingine, cku ya cku akaniambia tuka check afya, tukakuta tupo poa na ndio mambo ya kulazimishana jpili hii lazima twende church wote ndio akanifanyia surprise ya engagement....niliingia kwenye ndoa kwa raha zote mpaka nilipokuja kuona ups & downs za ndoa na kupambana nazo....kilichonifanya niingie kwenye ndoa ni mapenzi/mapendo/huruma na kujali kwake........
Dada ungeniona nilivyokuwa naisubiria hii toka jana ungenionea huruma. Aksante your story is touchy. Yes umesema vema more than love: hapa huruma, kujali so siku ukiona huna love tena kwake unakumbukia tu huruma na kujali kwake then the love might be renewed.
Jamani mi nimeoa Tanga and that says it all.....
Jamani mi nimeoa Tanga and that says it all.....
mj1 nilishaku pm cku moja kuhusu ishu fulani, sasa pale nicngeweza kusema bado kulikuwa na love, pale ilikuwa ni kuijali familia/huruma yake ikamfanya aone hatendi haki na mambo kama hayo, na ndio nilikuwa nayakumbuka yote hayo nikaona nikifanya aclotegemea nitammaliza kimawazo kabisa baba watoto, so nilikuwepo kwa ajili ya kujali/huruma na mapendo yake.
kunakuwa na uzi mwingine ambao si love unaishikilia ndoa yenu mfano labda ana roho nzuri, anajali familia yake, is a reliable person ambaye unawezamkimbilia unapokuwa na shida.
So when love is no longer an issue (kwa maana kuwa wale butterflies tumboni huwasikii tena ukimwona) si umeshamzoea you have some other reason to smile to him/her. Sijui lakini ni mawazo yangu tu!
MJ1 nilishaku pm cku moja kuhusu ishu fulani, sasa pale nicngeweza kusema bado kulikuwa na love, pale ilikuwa ni kuijali familia/huruma yake ikamfanya aone hatendi haki na mambo kama hayo, na ndio nilikuwa nayakumbuka yote hayo nikaona nikifanya aclotegemea nitammaliza kimawazo kabisa baba watoto, so nilikuwepo kwa ajili ya kujali/huruma na mapendo yake.
_ Unadhani ni nini kilikufanya uoane na mwenzio/uamue kumuoa/ukubali kuolewa na mwenzi uliye naye?
_ Je unafikiri sababu hiyo iliyopelekea wewe kumuoa/olewa naye bado ipo hata baada ya maisha ya ndoa?
Hujakosea kabisa MJ1.
Unaweza kuona watu wana ups and downs zao lakini bado wameng'ang'aniana kama luba - kuna hiki kitu extra ambacho u cannot trade for anything in this world no matter what.This applies to both men and women.
Jamani mi nimeoa Tanga and that says it all.....
du haya mambo ya love /relatioship magumua eeh
He! Sikujua! Pole mpwa.
hahaha kumbe wewe ni mambo yaleeeeeeeeeee ya Tanga yalikuchanganya haya wee
Mpwa pole ya nini tena apo...
samahani mami naomba kuuliza kama huto mind, una muda gani kwenye ndoa?...nahic kama bado hujapitia kurupushani kabisa au kwako mami baraka zinatembelea?...mie nilipata purukushani ujauzito ulipofikisha 5months, nimekomalia huko hakuna wa kunieleza ishu kwasasa, na najihc nimepita mapito haswa na najipumzikia/ku relax tu kwasasa.....