Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #41
ha haaa, hata wewe rafiki?@FP... Please Call Me...! Nina Hasira ya kufa mtu tangia jana...!
it means you are trustworthy and good enough kutoa meaningful advice. be glad watu wakiwa wanaku-appreciate kiasi hiko. reputation kama hizo ni ngumu kujenga na ku-maintain. 🙂Ni kweli Kongosho....
sometimes huwa nashangaa watu wanaoniambia vitu vyao wala sipo close nao kihivyo....
yaani utakuta ni rafiki wa rafiki yangu, au rafiki wa ndugu, najishangaa tu, mbona hakumwambia fulani anakuja kuniambia mimi?
Noted!it means you are trustworthy and good enough kutoa meaningful advice. be glad watu wakiwa wanaku-appreciate kiasi hiko. reputation kama hizo ni ngumu kujenga na ku-maintain. 🙂
Ni kweli Kongosho....
sometimes huwa nashangaa watu wanaoniambia vitu vyao wala sipo close nao kihivyo....
yaani utakuta ni rafiki wa rafiki yangu, au rafiki wa ndugu, najishangaa tu, mbona hakumwambia fulani anakuja kuniambia mimi?
Amina...Unakitu special ambacho Mungu amekupa, you need to seat down and think about it, and use in a full.
Heri wapatanishi, kwa kuwa wataitwa wana wa Mungu.
King'asti utanipunguzia hasira au utaziongeza mbona machale....ile supu ya mbuzi umenirusha eeh?:disapointed:
dear send me your number maana na mimi sometimes nina hasira mbaya
Next time nikionewa nikupigie unisaidie kuona things positively 🙂
ha haaa, I willdear send me your number maana na mimi sometimes nina hasira mbaya
Next time nikionewa nikupigie unisaidie kuona things positively 🙂
Ni kweli kabisa King'asti, nina rafiki wa hivyo pia..... juzi ananiambia hataki ushauri wa ku-cool down, nikamwambia you have called the wrong person then...... kwa bahati mbaya hana mwingine wa ku-share naye hicho kitu.... patamu hapo.
ingawa wakati mwingine inatokea unapokea simu za watu ambao hata hampo close kivile..... utasikia "nimepata namba yako kwa J"
ha haaa, kwenye ndoa ndo huwa siweki utani kabisaaaaaaaaaaaaaaa, afadhali sehemu nyingine naweza tania mtu.....Ni sifa njema kuwa mpatanishi, on a serious note. Kuna siku milikuwa na shosti mmoja akapigowa simu. Majibu aliyokuwa anatoa nilijua huyu sio kabisaa. Yaani alishauri kuachana na huyo mume completely useless, na kumkumbushia weaknesses zake zoote. Yaani nahisi bi shosti alikata simu hasira zimekuwa maradufu. Baada ya muda nikakumbuka nikamuuliza bi shosti anaendeleaje? Akanijibu hajawasiliana na mimi. Nadhani alishapatana na mumewe huko.
Ni mizuri miguu yao wanaopatanisha kwa kweli.
ha haaa, babu, ndo hicho alicholalamika......
alihitaji kupandishwa hasira kidogo, bahati mbaya ali-call wrong number, lol!
sasa mimi na kumpandisha mtu hasira wapi na wapi?
nakubali hilo kosa babu....Ndiyo maana nasema umemwangusha mwenzio...alitaka akishaongea na wewe ama akakung'ute mtu au ajitie kitanzi halafu wewe ukammwagia maji ya baridi (-20 degree C)...lol!!
Hukutena haki kabisa..
Babu DC!!
ha haaaa, huko watanitimua......