Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Sijampata mwenye vigezo, wengi wao ni waongo na ma-opportunist, Siku nikimpata wa ukweli natangaza ndoa
Vigezo kwani unahitaji mfanyakazi?
Sijampata mwenye vigezo, wengi wao ni waongo na ma-opportunist, Siku nikimpata wa ukweli natangaza ndoa
Sitaki SHARO kama wewe.....swaga zangu sio za kisharo ni za kishamba shamba teh teh, mambo ya ooohh mamaaa, umebug meeeen nani anayataka
Hakuna kitu kisicho na tafiti na data hizi ni nazo hata ukitaka ntakupatia njoo hapa ustawi
Mbona nipo hapa, si umwage vigezo tu nijipime..
Mr blue ft walter nipende nilivyo - YouTubeYameshakuwa hayo? Au nikuitie Buji Buji... Hapa hakuna usharo baro ni Michakato kwenda mbele.. We mwaga vigezo watu waanze mashambulizi he he he
Vigezo kwani unahitaji mfanyakazi?
Alafu wewe unaonekana mgomvi mgomvi, mkorofiii......haya weee
Wanawake wengi sasa ni vicheche na wanapenda sana kuchezewa hovyo kama mbuzi ndo mana wanaume tunaogopa kuingia kwenye ndoa
ACHA MAMBO ZAKO KABISAAA! Nilishashona nguo hapa tayari kwa harusi! Bado nakufatilia kwa ukaribu sana! Japo white hukutokea
becoz i hate women as life partners but napenda kuwatumia kwa kuwagegeda
Niko Single kwasababu IM TOO PRECIOUS TO BELONG TO ONE MAN ONLY! ITS JUST NOT FAIR TO THE REST!
I only belong to 1 man at a time but not for Eternity! Im always keeping my options open and my stakes high!
Ha ha ha mbona unarusha ndege wangu,,, white nilikuwa shamba mbaya si unajua kazi zetu hazitabiriki,,, ila now nipo town kama vipi jioni tusomane kwenye Friends on Friday pande za princess hall,, nitakuwa pande hizo leo nakula lecture la maisha
Hupendi familia weye, vitoto viwe vinakuita ita baba, baba.
Hahahaaaaaaa! Event nani wameandaa? Inahusu nini? Mbona ya kiuchoyo uchoyo? Uchakavu bei gani?
So many people are single now days. Some say that they are single because they are either heart broken or cannot find a suitable husband or wife. Now back to you single ladies and gentlemen. Why are you still single??