Why are you still Single?

Why are you still Single?

If you real experience love problems,tears,heart attacks,loss of freedom and deginity THEN nothing good like being single. Am single and najivunia.
 
The reason is........to me why keeping a cow if you can get free milk???
 
Kila mtu ana sababu zake na niamini hutapata majibu ya kweli kupitia thread hii.
Fungua nyingine utakuta 'nateseka..', 'kaniacha kwenye mataa', n.k hizo ndo sababu za wengi kuwa single. Hakuna anayependa, hata vicheche na vichecheo watajiridhisha kwa sababu nyingine tu.
 
Wabongo wengi wanafikiri Single = bachelor/ bachelorette (mtu ambaye hajaoa/kuolewa).

Single is not a marital status. If you are not married and have a boyfriend/ girlfriend you are not single.
 
Na ndio maana watu hawakomi.Wanaumizana na wanarudia tena kwenye mapenzi.Asikuambie mtu bana upweke ni mbaya,hawa wote wanajidai single humu wanadanganya.no one wants to remain single they r still searching....

Ni kweli kabisa.. Maisha ya upweke yanatesa saana..!
 
So many people are single now days. Some say that they are single because they are either heart broken or cannot find a suitable husband or wife.

Now back to you single ladies and gentlemen. Why are you still single??

But I say to the unmarried and to widows that it is good for them if they remain even as I. But if they do not have self-control, let them marry; for it is better to marry than to burn with passion.

1 Corinthians 7:8-9

Why did you get married (If you are married)?
 
Na ndio maana watu hawakomi.Wanaumizana na wanarudia tena kwenye mapenzi.Asikuambie mtu bana upweke ni mbaya,hawa wote wanajidai single humu wanadanganya.no one wants to remain single they r still :-X.searching...NAUNGA MKONO HII HOJA KUA SINGLE KUNAUMA JAMAN
 
Nimesoma comments zote,
nami nitarudi kutoa za kwangu.
 
Wabongo wengi wanafikiri Single = bachelor/ bachelorette (mtu ambaye hajaoa/kuolewa).

Single is not a marital status. If you are not married and have a boyfriend/ girlfriend you are not single.

bora umefafanua.
 
I feel good
i knew that i would now
so good ,so good i am single

i feel nice like sugar and spice
so nice, so nice i am single.
 
mapenzi mabaya sana..mama yangu aliniambia, akasema full moon kuwa makini kijana wangu nikapuuzia..nikazama nilivyokuwa high school mzima mzima kwa mtoto mmoja mkali kuliko wote jina lake salma..nilidhani nipo heaven, nikawa hata siwezi kaa siku moja bila kumuona..then she came and cheated on me, fcuking cheated on me! I was so fcuking faithful, I trusted her, gave her everything..all i wanted was to be loved and she so deceptively said she would love me forever..I was young, my first love..she dumped me like no other, she dumped on the fcuking phone, she couldnt even face me, she had the guilt because i was so fcuking innocent and it was a shock which nearly led me to my early grave.

Sasa two years later, bado na recover and im still single..kila siku nafikiria how and why she ever did that to me, what on earth did i do to deserve that!? she has apologized..i replied i have forgiven her but we are done..May be siku Mwenyezi Mungu atanipa na mimi wangu wa maisha lakini one thing is for certain: Mimi na mdemu wa kibongo hapana tena. I am done with them.

Salma made me single, salma made me hate relationships, salma made me not to love, i love my mum mostly, no one else. Salma found me innocent, now she turned me into some kind of emotionless player, because whenever i tell any lady i love her..I lie. Deep down i know its not right, but my brains come first and it protects my heart..my lies are the shield.

Will I ever open my heart again- probably not.
 
Who can survive better in single status.. men or women?

Wanaume wengi hapa wanasema wako single ili waweze kugegeda wanawake wa aina nyingi (kirahisi). Je, wanawake nao wako single ili waweze kugegeda wanaume wengi kirahisi?
 
Ngoja nami nitie Neno hapa.

To me, single is unquestionable status like being a child. lts a transition moments we pass. The only distinct is that,it rise -fall.
 
maishani mwangu sijampata mkali...... mkali.....yoyoyo nakupenda sana japo nikubali........
 
Najipenda mwenyewe, najipa mapenzi mwenyewe, sitaki kumilikiwa wala kuchanganywa akili , kila kitu kinaenda vizuri sana ninapojishauri mwenyewe:becky::becky::becky::becky:
 
Hamna ata aliye single lol.. Uongo tu.. Chezeya ma utamu wewe!

Wako na part time papuchi n dushelele, n wengine hawataki commitment as wanajua wako addicted na migegedo lol.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom