Why are you still Single?

Why are you still Single?

Labda tungejiuliza swali la msingi "usingle ni nini?" maaana inaonekana kutokuoa au kuolewa ndo usingle lakini je, ni kweli? kwani kuwa single au married kuna raha au tabu gani? je, ni kweli walio na ndoa wana furaha kuliko masingle? tatizo pia ni kwamba masingle wengi wanadhani hawana raha wala hawatakamilika hadi wawe married lakini wakishakuwa married wanajikuta ile furaha waliofikiria haipo! la muhimu ni kufikiria zaidi maana kuoa na kuolewa ni mazoea zaidi tangu enzi na enzi kwa upande huo ndio uhalisia wake lakini jambo lenyewe haliko kama lilivozoeleka. lina nyuso nyingi na maswali mengi.
 
mapenzi mabaya sana..mama
yangu aliniambia, akasema full moon kuwa makini kijana wangu
nikapuuzia..nikazama nilivyokuwa high school mzima mzima kwa mtoto mmoja
mkali kuliko wote jina lake salma..nilidhani nipo heaven, nikawa hata
siwezi kaa siku moja bila kumuona..then she came and cheated on me,
fcuking cheated on me! I was so fcuking faithful, I trusted her, gave
her everything..all i wanted was to be loved and she so deceptively said
she would love me forever..I was young, my first love..she dumped me
like no other, she dumped on the fcuking phone, she couldnt even face
me, she had the guilt because i was so fcuking innocent and it was a
shock which nearly led me to my early grave.

Sasa two years later, bado na recover and im still single..kila siku
nafikiria how and why she ever did that to me, what on earth did i do to
deserve that!? she has apologized..i replied i have forgiven her but we
are done..May be siku Mwenyezi Mungu atanipa na mimi wangu wa maisha
lakini one thing is for certain: Mimi na mdemu wa kibongo hapana tena. I
am done with them.

Salma made me single, salma made me hate relationships, salma made me
not to love, i love my mum mostly, no one else. Salma found me innocent,
now she turned me into some kind of emotionless player, because
whenever i tell any lady i love her..I lie. Deep down i know its not
right, but my brains come first and it protects my heart..my lies are
the shield.

Will I ever open my heart again- probably not.

be badass utaenjoy sana
 
So many people are single now days. Some say that they are single because they are either heart broken or cannot find a suitable husband or wife.

Now back to you single ladies and gentlemen. Why are you still single??

Without us the word single is dead.
 
Niko single kwa sababu nina watoto 6(kila mtoto na mamake) sasa kila nikipata mwanamke anakataa kwamba hataki kuwa housegirl ndo hivyo bandugu.
 
Im single...bcoz im single n happy this way...aww sitaishi hivi milele but im single bcoz i feel safe ,secured n direct connected to God.
Im single becoz i was emotionally&pyschologically broken into pieces in the past.

Im single bcoz im living around with 'single crews..n sugu bachelors in town🙂

im single bcoz i was brought up to be independent..(that affected me in two ways..)

im single bcoz my mami is single..
:x
 
Labda tungejiuliza swali la msingi "usingle ni nini?" maaana inaonekana kutokuoa au kuolewa ndo usingle lakini je, ni kweli? kwani kuwa single au married kuna raha au tabu gani? je, ni kweli walio na ndoa wana furaha kuliko masingle? tatizo pia ni kwamba masingle wengi wanadhani hawana raha wala hawatakamilika hadi wawe married lakini wakishakuwa married wanajikuta ile furaha waliofikiria haipo! la muhimu ni kufikiria zaidi maana kuoa na kuolewa ni mazoea zaidi tangu enzi na enzi kwa upande huo ndio uhalisia wake lakini jambo lenyewe haliko kama lilivozoeleka. lina nyuso nyingi na maswali mengi.
point ya msingi ni hii if ua not happy with yourself then never will u be wit sam 1 else..
 
ilikuwa first love hiyo..nilikuwa mjinga na macho yalifumba saahivi wala..nipo kamili.
ndugu tofauti ni hii ukimpenda msichana nae akakukubalia inakua kama uko heaven on earth i feel u brother..i also love my mum endlessly more than ever bt never will i trust a woman other than her..
 
Siji bana! Nitaboreka nishaona! Watu tuna mishahara ya laki moja, unakutana na watu whining they are under paid kwa kulipwa 10m/month!!!!! I usually feel like vomiting.

Mi nilijua ya ki JF!

Hayo nakuachieni nyie Professionals, wengine tushakuwa wasaka pesa, ethics 0, professionalism F!

Wish u all the fun!

Hahahahahaahahaaaa! Lara umenifurahisha sana, maana hata mm nilikuwa nataka kuuliza, je ambao si proffesional ,na tuna mishahara midogo tutaweza? Loh maisha ni kama vidole vya mikono tumeofautiana sana.
 
So many people are single now days. Some say that they are single because they are either heart broken or cannot find a suitable husband or wife.

Now back to you single ladies and gentlemen. Why are you still single??

It's bacause they are single, otherwise they would have no longer been termed as "singles". Kuna mwalimu mmoja wa somo la siasa la enzi hizo alikuwa anapenda kutamka haya maneno AFRICANS ARE POOR BECAUSE WE ARE POOR!
 
coz wanawake wa leo wengi wapo afta something!!!!!!!!!!!!!!!! and us men 2nawaxomea raman 2!:rockon:
 
bora umefafanua.
Sasa hapo amefafanuwa nini!?

Wabongo wengi wanafikiri Single = bachelor/ bachelorette (mtu ambaye hajaoa/kuolewa).

Single is not a marital status. If you are not married and have a boyfriend/ girlfriend you are not single.
If is not a single, you mean is a widow? if you fill some form in that status were you will tick you're status, Marriage? Single? separate? Widow? or complicated?
 
Back
Top Bottom