Why are you still Single?

Why are you still Single?

Wanawake wengi sasa ni vicheche na wanapenda sana kuchezewa hovyo kama mbuzi ndo mana wanaume tunaogopa kuingia kwenye ndoa

Wachezeaji sio vicheche pia mkuu, au wana jina lao....Kama hamna vicheche wakiume vicheche wa kike hawatakuwapo.
 
Wanawake wengi sasa ni vicheche na wanapenda sana kuchezewa hovyo kama mbuzi ndo mana wanaume tunaogopa kuingia kwenye ndoa

wewe tuheshimiane!! kwani hakuna wanaume vicheche? kama una bahati mbaya ya kukutana na vicheche pole ila wapo waliotulia, na walioingia kwenye ndoa wameoa vicheche?
 
Life is very fair my friend but people can change the status of life.

Tamatheo
Life is people,People is life,Life is Love,People are not fair,So Love is not fair
I have experience on that my friend
 
Last edited by a moderator:
Tamatheo
Life is people,People is life,Life is Love,People are not fair,So Love is not fair
I have experience on that my friend

Believe me life is very fair. But the way we run it, change its formality. Maisha hayaendi kama hujayawekea reli.
 
So many people are single now days. Some say that they are single because they are either heart broken or cannot find a suitable husband or wife. Now back to you single ladies and gentlemen. Why are you still single??

Why do you want to know?

Wengine tuna masharti.
 
因为我还没有找到一个好漂亮的梅努!
 
So many people are single now days. Some say that they are single because they are either heart broken or cannot find a suitable husband or wife. Now back to you single ladies and gentlemen. Why are you still single??

Sijampata mwenye vigezo, wengi wao ni waongo na ma-opportunist, Siku nikimpata wa ukweli natangaza ndoa
 
Matokeo ya tafiti mbalimbali

Ndugu yangu mpendwa hakuna utafiti wa mapenzi unaoapply katika maisha ya mapenzi. Kila mtu na mtuwe wanaanza maisha yao tofauti na ya mwingine yeyote aliyepo au aliyepita hapa duniani. Tambua mahusiano uliyo nayo ni tofauti na mengine yeyote. Ndio maana hupaswi kueleza matatizo yz mahusiano ila unapaswa kuomba ushauri tena kwa watu waliopitia hayo maisha.
 
Hakuna kitu kisicho na tafiti na data hizi ni nazo hata ukitaka ntakupatia njoo hapa ustawi
 
True love does not exist!
'
Sos: lara 1
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom