lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
Wewe yaani mtoto wa mjini hujui hiyo kitu,, hebu google haraka sana,, kumbe ndo maana hutoki haraka,, uchakavu ni 20 tu, lakini ni bonge ya proffessional network,,,, mtafute Smile akupe maelezo vizuri maana yeye ni member mzuri wa hiyo kitu...
Hii kitu maarufu sana mjini as friends on friday get exposed,, inaunganisha proffessional network,, ukija mara 2 tu huku unamuacha mchaga wako maana huchelewi kukutana na levo za kina twissa ukabadili mawazo
Siji bana! Nitaboreka nishaona! Watu tuna mishahara ya laki moja, unakutana na watu whining they are under paid kwa kulipwa 10m/month!!!!! I usually feel like vomiting.
Mi nilijua ya ki JF!
Hayo nakuachieni nyie Professionals, wengine tushakuwa wasaka pesa, ethics 0, professionalism F!
Wish u all the fun!