Why are you single?

thus why= that is why
 
Yalinikuta yakunikuta mkuu..
Nna majuto na athari za kudumu ...
Hayanihitaji.....siyataki.
 
Pole mkuu....
Hakuna azma ya kukutesa hapo hayo ni maamuzi na naamini yalichangiwa na vitu vingi. Huna haja ya kutubu maana huna kosa ......
Hii hali ukiikubali ujue tayari umeshatafuta tatizo jengine....nakwambia hivi kwa vile yameshanikuta....
Ikatae hali hiyo...jichanganye na watu na epuka sana kukaa peke yako...sijui jinsia yako ila jaribu kutia mkono kizani kuna siku utapata samaki au mkate sio tu uhofie kukamata nyoka au kushika jiwe !
Jiamini!
 
Asante mkuu,najitahidi kujichanganya japo bado kuna mida najikuta najitenga,unajua sikutegemea km kuna siku ntaishi nnavyoishi maana ninapenda sana mahusiano na familia,
Najikaza na nnaendelea,mm ni mwanaume,japo kuwa nimebeba majukumu ya kulea wanangu nnaoishi nao km baba km mama maana sina namna, lkn ushauri wako umenitia nguvu mkuu
Barikiwa sana,
 
because I am ndo double?
 
Asante mkuu kwa kupokea ushauri lkn naomba ujitahidi tena for the sake of your children's future pia....usiangalie kwako tu...side affect zipo tena ni tatizo endelevu...Mungu na akukidhie haja zako mkuu.... ila usihuzunike sn ni mapito tu hayo !
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…