Why are you single?

Siupendi u single, lakini sina namna yakufanya , japo naendelea kupambana tu ipo siku malaika ataniona alafu nimviahe shela
 
Siupendi u single, lakini sina namna yakufanya , japo naendelea kupambana tu ipo siku malaika ataniona alafu nimviahe shela
 
mmh pole mwaya
 
Aisee pole sana mkuu pambana
 
Nipo singo sababu mwanamke niliyempenda amenisaliti na nmeshindwa kupenda tena

Mda unazidi kwenda na natamani kuwa na mwenzi wangu wadogo zangu wote wameoa lakini naishia kuwagonga tu na kuenjoy sex kama Christian grey
Kumbe fursa unayo acha kuchezea watoto wa watu
 
Siupendi u single, lakini sina namna yakufanya , japo naendelea kupambana tu ipo siku malaika ataniona alafu nimviahe shela
Nadhan huka yako kubwa ni kumvisha shela pambana mkuu
 
Wngne ni lifelong bachelors.mfano mzuri ni James Mattis.he only lives for his job... mi naamini hisia za kimapenzi ni 'nguvu' kama nguvu nyingine- unaweza ukai-focus elsewhere na ukaishi bila matatizo..of course kuna watu hasa hasa wanaume tunasemaga bila 'kunanihii' hujakamalika.its all a bunch of BS....wakina Nikola Tesla,Sir isaac newton waliishi vzuri tu.labda kina alan turing ndo walituangusha...
 
Binafsi nadhani niliumbwa kuwa single,maana nikijilinganisha na wenzangu aisee Nina nidhamu sana na kujali sana ninaokuwa nao ktk mahusiano lkn huishia kunitenda,wakati mijitu yenye tabia hovyo kabisa inaheshimiwa na kusikilizwa na wake zao,why me,nimeamua kukubali mm ni mwanaume niliyeumbwa kuwa single,labda sababu nilikuwa awali na ndoto za kuwa mtawa wa kiume,labda ile azma ndo inanitesa
 
Pole itabidi ukatubu Kanisani.
 
B'COZ WATOTO WAZURI WOTE NAISHIA KUWAITA SHEMEJI.......
 
Kumbe fursa unayo acha kuchezea watoto wa watu
Hapana siwachezei bali nawaambiaga ukweli na wao wanakuwa tayari ingawa kwa kutegemea labda nitabadilika

Sidhani kama tuaongelea fursa hapa maana fursa zipo nyingi sana ni suala la kuamua tu

Kutokana na umri naomba sana nipate busara za kuamua kuoa ndani ya miaka hii miwili (2018 na 2019)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…