The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,666
Watu wanamtaja Kennedy
Kennedy labda useme most 'handsome'
alitawala miaka miatu tu
why useme the best?
hasira zake almost alete nuclear war na russia...
aliingia madarakani akiwa supported na mafia kwa kumsaidia kuiba kura
italian mafia ambao baba yake alikuwa na link nao
akataka vamia Cuba.akataka vunja CIA
mwisho akapigwa risasi
na ilipelekea hadi mdogo wake nae azuiwe kabla hajakuwa Rais...
Halafu alikuwa mpenda sex kuliko Clinton..
ikulu wadada walipishana tu...kama strip club....
uje useme best president?