kibananhukhu
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 366
- 165
Hata Yuda alipomsaliti YESU WATU HAWAKUAMINI KAMA WEWE NA YESU ALIKUFA.
kwa nini unatukana na mapovu yanakutoka. Tupe vielelezo vya watu unaowatuhumu badala ya kutoka mapovu. nilikuwa pera leo habari ni kwamba kumbe buluda muhuwa ndiye alikuwa proculator na buluda fides muligo akamfanyia kitu mbaya kwa kumwondoa na akakalia kiti yeye, upande wa mgodi akashika pia, wote waliohoji akahamisha, na ili kufuta nyayo akaanza kuwashugulikia akiua prof na buluda muhuwa akamfunga kwa kuhonga fedha mil 30. anna tofauti gani na yuda aliyemsaliti asiye na hatia? tutajua mengi safari hii, uchamungu wenu, na umafia wenu pia kwa upande mwengine. walio wacha Mungu watajulikana, na wasio watajulikana kwa matendo yao, na siyo kwa maneno yao kuwa mengi.

binafsi sina shida na abate lambert wala na watawa waadilifu, isipokuwa kuna wahuni kiongozi wao buluda fidelis mligo. leo nimepita hadi hospitali alimladi kuzungukia maeneo, nikarudi abasia kunusa upepo, mmhh 'umafia wa fidelis' ndiyo gumzo. amekosa utulivu anafokeana bila sababu ya msingi, kitu kilichofanya watu waulizane nini kimempata, na baba mmoja akawafungulia kipande cha gazeti la wk jana. wakafunguka mwaaa. ni kama hadithi. kesho tunapata magazeti ya leo huku songea, wa mjini hamjaweka humu jameni na sisi wa mbali tukasoma mapema. huku bado ni kijijini ingawa mjini.ABATE LAMBERT ANAWEZA KUENDESHA SHIRIKA LAKE KWA KUFUGA TU. HAWA JAMAA HAWAHITAJI HAYO MAMBO MNAYOWASINGIZIA, WAPO HUKO KWA ZAIDI YA MIAKA 100 KAMA SHIRIKA. LUKARASI NI KAMGODI TU, MIGODI KAMILI YA DHAHABU ILICHIMBWA NA WAJERUMANI WALIOJENGA RELI.
Walichimba dhahabu na waliamini wameimaliza na watu wa kanda ya ziwa ni mashahidi hususani watu wa Nyarugusu, Mgusu na Rwamgasa, kuna mashim mengi ya zege na mitambo chakavu huko. Inasadikika kuwa vita vyote vya mjerumani viligharamiwa na dhahabu kutoka Tanzania.
Hawa jamaa hawahitaji udhalimu ili kuishi, wanaweza ishi kwa kushona suti tu. Ni wajasiriamali kweli kweli siyo mafisadi. Wana wafadhili pia wa kutosha na viapo vyao ni UTII, USEJA NA UMASIKINI. Msimkufuru Mungu jamani. Kuna wezekana pia kuandika hivyo kwa nia ya kuficha ukweli wa mauaji. Kwanza, si kawaida Gazeti kuandika habari kama hiyo. Mbona huo ungelikuwa ni ushahidi tosha. Kwa nini polisi haichukui hatua? Kuandika taarifa kama hiyo na serikali kutochukua hatua inaadhiria nini???
Mmhh danganya toto,hawawezi kwenda maana niliyoyasikia leo, watagalagazwa, ikiwezekana naombea wapeleke mapema tujue ilipo haki ya kweli naamini mengi zaidi tutakuja kuyajua.Mliotuhumu kwamba wanahusika na mauaji ndio mnaotakiwa kutoa vielelezo, mambo yanawageukia, ngojeni mwanasheria wao alipeleke gazeti mahakamani kama alivyosema kisha tuone mnavyohangaika kutafuta mlango wa kutokea.
Nakubaliana na wewe. huyu atakuwa ni yeye vinginevyo anawaandikia maana hata hao wa najira kumbe aliwaandikia na kuwaamuru waende wakaandike. walipomhoji akaanza kulopoka maneno yasiyofaa, yasiyo na mpangilio. yeye anajivunia pesa za wafadhili wadhungu wazee wanaojitolea ili kanisa lisitawi yeye anafanya mambo ya Yuda, tena afadhali na yuda alilenga kupata fedha kuliko yeye anayetapanya ili kujitengenezea himaya ya kimafia, sifa na chuki. Nchembe wanadanganyana naye ili kuwatesa waadilifu. wana pera tunasikitika kwa kuwa kalichafua kanisa, kwenye msafala wa mamba na k...e wamo.
binafsi sina shida na abate lambert wala na watawa waadilifu, isipokuwa kuna wahuni kiongozi wao buluda fidelis mligo. leo nimepita hadi hospitali alimladi kuzungukia maeneo, nikarudi abasia kunusa upepo, mmhh 'umafia wa fidelis' ndiyo gumzo. amekosa utulivu anafokeana bila sababu ya msingi, kitu kilichofanya watu waulizane nini kimempata, na baba mmoja akawafungulia kipande cha gazeti la wk jana. wakafunguka mwaaa. ni kama hadithi. kesho tunapata magazeti ya leo huku songea, wa mjini hamjaweka humu jameni na sisi wa mbali tukasoma mapema. huku bado ni kijijini ingawa mjini.
kamajuzi,
ile gazeti ya Majira huyu mafya Fr Fidelis alisema eti shirika lilikuwa na hisa tangu 1990. Mwongo saanaaa. unajua nini, mwaka 1990 ukanda wa kusini ilikuwa marufuku kuchimba madini. Kule Lukarasi kulikuwa pori tu, tena nimechunguza kwa kina: alikuwepo mzee mmoja ambaye ndiye aliyekuwa akichimba kokoto huko porini na kuzitwanga pamoja na mtoto wake mdogo wa kiume. Huyu mzee ndiye aliyegundua uwepo wa dhahabu. Alishafariki lakini mtoto bado songea mjini. Uwongo wapili ni huu kuwa Fr. Fidelis alijiunga na utawa mwaka 1993 na Aidan 1994, sasa hapo iweje Aidan aweshikilie hisa za shirika kabla ya kuwa mtawa? Au je Watawa wa abasia watakuwaje na hisa katika kampuni ambaya haikuwa imezaliwa?
Inafahamika kuwa prof Mwaikusa aliuwawa na serikali ya kagame nd hili linahusishwa sana na yeye kujiingiza na siasa za mauaji ya kimbarik nchini Rwanda...Raia mwema chini ya uenyekiti wa Jeneral Ulimwengu wana interest na ukaribu na rwanda na hapa wanajaribu kupotosha
binafsi sina shida na abate lambert wala na watawa waadilifu, isipokuwa kuna wahuni kiongozi wao buluda fidelis mligo. leo nimepita hadi hospitali alimladi kuzungukia maeneo, nikarudi abasia kunusa upepo, mmhh 'umafia wa fidelis' ndiyo gumzo. amekosa utulivu anafokeana bila sababu ya msingi, kitu kilichofanya watu waulizane nini kimempata, na baba mmoja akawafungulia kipande cha gazeti la wk jana. wakafunguka mwaaa. ni kama hadithi. kesho tunapata magazeti ya leo huku songea, wa mjini hamjaweka humu jameni na sisi wa mbali tukasoma mapema. huku bado ni kijijini ingawa mjini.
Mmhh danganya toto,hawawezi kwenda maana niliyoyasikia leo, watagalagazwa, ikiwezekana naombea wapeleke mapema tujue ilipo haki ya kweli naamini mengi zaidi tutakuja kuyajua.
Ukitaka ukweli tafuta aliyetungua ndege ya maraisi wa Rwanda na Burundi kabla ya mauaji ya kimbali halafu utajua kama kuna kudanganya katika kila kitu tunachoambiwa na magazeti. Ulimboka na Hemedi kisha mkenya, Balali na matibabu Marekani, rudi nyuma zaidi uulizie kifo cha Kibona (waziri wa fedha wakati wa Mwinyi, kisha njoo katika EPA na DOWANS aka RICHMOND kupata jibu ni lazima ufungue wanaopotosha mioyo yao na hawa mara nyingi wanajificha katika mgongo wetu WANAHABARI!
naona sasa tupo sambamba, maana ni wewe ndiye uling'ang'ania kuw abate lambet hawezikuhusika, mabandiko yako mwenyewe unayasahau ulichoandika na kisha unajichanganya. kabla ulikazia kuwa lambet wala yule wa st otilieni hawezi kutenda hivi, nasema kuwa hela aliyokulipa buluda fidelis mmhh. ukweli utajulikana tu. hakuna marefu yasiyo na mwisho wake. ninavyojua mahakamani hawaendi na wakienda wataaibika. ni bora waende tufaidi ukweli.Jaribu kusoma mabandiko yangu, Abate Lambert dorr OSB ni mstaafu muda mrefu kabla ya kifo cha Mwaikusa. Abate mpya kama nilivyoonyesha jana ndiye mkuu wa shirika na ndiye mwenye dhamana na cho chote kinacotokea. Unavyoonekana hujajua hata hierarikia yao ilivyo kaa.
Mambo yanayotokea kipindi cha Kikwete mauaji kama ya Mwangosi wewe unakazania Benjamini Mkapa ambaye alishastaafu, wapi na wapi jamani?
kamajuzi,
ile gazeti ya Majira huyu mafya Fr Fidelis alisema eti shirika lilikuwa na hisa tangu 1990. Mwongo saanaaa. unajua nini, mwaka 1990 ukanda wa kusini ilikuwa marufuku kuchimba madini. Kule Lukarasi kulikuwa pori tu, tena nimechunguza kwa kina: alikuwepo mzee mmoja ambaye ndiye aliyekuwa akichimba kokoto huko porini na kuzitwanga pamoja na mtoto wake mdogo wa kiume. Huyu mzee ndiye aliyegundua uwepo wa dhahabu. Alishafariki lakini mtoto bado songea mjini. Uwongo wapili ni huu kuwa Fr. Fidelis alijiunga na utawa mwaka 1993 na Aidan 1994, sasa hapo iweje Aidan aweshikilie hisa za shirika kabla ya kuwa mtawa? Au je Watawa wa abasia watakuwaje na hisa katika kampuni ambaya haikuwa imezaliwa?
naona sasa tupo sambamba, maana ni wewe ndiye uling'ang'ania kuw abate lambet hawezikuhusika, mabandiko yako mwenyewe unayasahau ulichoandika na kisha unajichanganya. kabla ulikazia kuwa lambet wala yule wa st otilieni hawezi kutenda hivi, nasema kuwa hela aliyokulipa buluda fidelis mmhh. ukweli utajulikana tu. hakuna marefu yasiyo na mwisho wake. ninavyojua mahakamani hawaendi na wakienda wataaibika. ni bora waende tufaidi ukweli.
Raia Mwema aliandika: "Kwa mujibu wa taarifa hizo, Profesa Mwaikusa naye alikuwa ameteuliwa kuwa mmoja wa wawakilishi wa shirika hilo kwenye mgodi huo wa dhahabu, kwa barua ya Agosti 12, 2003 iliyowekwa sahihi na Buruda Aidan na Buruda Edmund wote wakionyeshwa kuwa na hisa 2000."
Hii inaashiria kuwa kifo cha Prof Mwaikusa inatokana na kuteuliwa kwake kuingia katika bodi ya wakurugenzi. Je, kumbukumbu za fikra zinasema nini wakati kifo kilitokea?
Kifo hicho kilitokea ndani ya matukio kama vile harakati za uongozi mpya kubadilisha wanahisa waliokuwepo na kuweka wapya, kumshtaki aliyekuwa mwenyekiti wa bodi ya UMICO yaani Aidan Mhuwa, kumfukuza mwekezaji aliyekuwa amewekwa kihalali na bodi iliyokuwepo ya UMICO ambapo Mwaikusa alikuwa mwanasheria wake bila kufuata taratibu, mwekezaji kufaili madai ya 3.7 bilion mahakamani n.k. Je katika mazingira hayo bodi ya UMICO isigemtegemea sana Mwaikusa kuyatatua? Je, bodi mpya UMICO ingefurahia kuendelea uwepo wa Mwaikusa ktk bodi iliyoshambatishwa na akina Fr. Fidelis na wenzake?
Umeambiwa waliofanya hivyo ni wahuni sio watawa "wa kweli"Kama waliofanya hivyo ni watawa basi sio watawa wa "kweli" hivyo ni wahuni hata kama ni watawa kwa mwonekano wa nje!Nadhani umemwelewa Candid!Alikuambia nani hadithi hiyo? kama hujui mambo kaa kimya ndugu yangu