Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,987
- 142,362
Haya andika apa detailsπMnitumie mgao wa keki π
Dela gawizaπ Mi mdigo kwa mzee na msukuma kwa mama
Afadhali mdigo mwenzangu umekuja unitetee kutoka kwa kina Joanah π
Kama kawa braza wa KigamboniBrother mambo vipi upo gudi?
Kheri ya mwaka mpya brotherKama kawa braza wa Kigamboni
Naona manyumbu leo yamemsimamisha asenyo, Selikavu hongera π
Nafsi inaniymtuma niseme ila akili inapinga. Huna baya familiya.
Familiya heri ya mwaka mpya!
Hebuuu niache bro π€£Kheri ya mwaka mpya brother
Unatumia bia gani nikuagizie hapaπHebuuu niache bro π€£
Unatumia bia gani nikuagizie hapaπ
πππ Poa poa brother wasalimie sana hapo mtaani kwenuUkisikia mtu anasema nakunywa bia usimuamini bro
Situmii hizo vitu
Abee nimekuja
Ni kweli wewe ni mtulivu ,sijakutaja bahati mbaya tuAbee nimekuja
Mimi mtulivu sana kwakweli nimejipakulia minyama π
Shukrani sanaNi kweli wewe ni mtulivu ,sijakutaja bahati mbaya tu
Location si ile ile mkuu π₯min -me , MENEMENE TEKERI NA PERESI , Monetary doctor , Harmful , Castle_Lite
Kuna offer ya pombe kwenu kakaa
Najua wiki ijayo utabadilisha acha nilitunze hili faili ππ Mi mdigo kwa mzee na msukuma kwa mama