Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

halafu watu wanamuulizia bakhresa tu

umewahi jiuliza mafuta ya kula nani tanzania na afrika mashariki
ndie biashara yake?
mnamjua zakaria???????

probably yeye ni wa pili kwa utajiri bongo....

halafu kuna wale wahindi wa shellys pharmaceutical
nao wapo mpaka drc na kenya
mkiuugua hamjui dawa zinatoka wapi

nahisi wako no 5 hivi baada ya dewji na manji kwa utajiri bongo
 
Hawa jamaa walinisaidia sana wakati wako na maji yao ya Uhai ya kwenye mifuko ya plastik, shilingi hamsini tu kiu hakuna tena.
<br />
<br />
MIE NDO USISEME ILA TYPHOD ILINIKAMUA! ALL IN ALL ANASAIDIA WENGI MNAOTAKA PICHA! ITAWASAIDIA NINI? HUYU CHENGE NA UREMBO WAKE KILA SIKU MWAMUO NA MAGAZETINI NA MAPESA YENYU KAYAKUMBATIA ANAWASIDIA NINI?! PICHA HAPA IS NOT AN ISSUE ISHU NI KWA KIWANGO GANI ANASAIDIA SASA HAKUNA MARTUNDA YANAYOOZA HOVYO MASOKONI,msimsakame!!!!!!!!!!!
 
Bakhresa anatumia majini kwenye biashara zake

acha wivu wa kike wewe

unaweza lidhibitisha hilo, sasa hivi naona imekuwa tabia mtu akijitahidi na Mungu akimbariki watu mnaishia oh majini, free masson , pesa za waganga.
huyu mzee hajaanza biashara leo,na watu mnashindwa kuelewa mabank na financial institutions zikiona unabiashara inayolipa wanakuombea uchuku mkopo na washauri wa bure kabisa unapewa

mgejua huyu mzee alipata tenda ya WFP ya kusambaza chakula congo,na baada ya hapo ndio kapanua mabiashara yake
 
Nimeshangaa sana kusikia container za Azam zaidi ya 50 zinapigwa mnada bandarini sababu ya kushindwa kulipa kodi!
Ina maana siku zote huwa anatumia ujanja kuzipitisha ila sasa kastukiwa! Inatia shaka.
Lkn kiukweli bidhaa zake ni mkombozi kwa mwananchi, huo ndo ukweli
 
Sifa kubwa ya Bakhresa hana mkopo katika benki zetu za tanzania!!dini haimruhusu kula riba!!baada ya TBL,TCC,Coca Cola,yeye ndiye anufuata kwa kulipa kodi TRA!!ana viwanda Msumbiji,Malawi na mashamba ya ngano,Rwanda,Uganda.Kenya watu wabaya sana hawataki bidhaa za tanzania ziuzwe kwao wanataka tuwape mali ghafi tuu!!wao watuuzie finished items!!!Ndiye mwenye kiwanja cha mpira cha kisasa Chamanzi Mbagala!!yani ile Nyerere road(Pugu road) plots karibu zote ni zake na Manji.juzi juzi kazindua Azam cola,jamaa wa Coca cola wakalalamika maana bei yake ilikua chinish 500 kuliko coca cola,wiki hii imebidi bei ipande kufikia sh 600.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom