Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana

hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...

Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......

Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo

mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........

Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....

But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu
Na pia zina udini kivile, ,ishahara kiduchu
 
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,

but i am curious to know who is s.s.bakhresa.

Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa

lakini hajawahi kuonekana hata sehemu moja kwenye shughuli za kijamii.

Sijawahi kumsikia akizungumza mahali, wala kuonekana picha yake mahali popote zaidi ya passport yake kwenye website yake na

picha moja kwenye mazishi ya mwanae Khalid.

Tofauti na ilivyo kwa wafanyabiashara wengine hata wale wa asili yake kama akina dewji, rostam, manji etc.

Na pia sifurahishwi na huyu jamaa kuwa producer wa kila kitu hapa tanzania, yaani mpaka chapati na nyanya,

je mamlaka zinazohusika hazina uwezo wa kuainisha hili??

Leo hii akitawala soko la chapati, nyanya, na mpaka nazi zote yeye, je hi sio hatari kwa kina mama wauza chapati?

Na wale wenye magenge ya nyanya na nazi si watafunga magenge yao??

Ni mtazamo tu wana j.f, kama una la kuongeza weka hadharani isije kuwa ni gaidi kama Osama bin Laden.
Na mjukuu wake

2889749_IMG_20210820_193052.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom