Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,508
Fursa haina limitation kwenye mambo ya halaliSijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,
but i am curious to know who is s.s.bakhresa.
Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa
lakini hajawahi kuonekana hata sehemu moja kwenye shughuli za kijamii.
Sijawahi kumsikia akizungumza mahali, wala kuonekana picha yake mahali popote zaidi ya passport yake kwenye website yake na
picha moja kwenye mazishi ya mwanae Khalid.
Tofauti na ilivyo kwa wafanyabiashara wengine hata wale wa asili yake kama akina dewji, rostam, manji etc.
Na pia sifurahishwi na huyu jamaa kuwa producer wa kila kitu hapa tanzania, yaani mpaka chapati na nyanya,
je mamlaka zinazohusika hazina uwezo wa kuainisha hili??
Leo hii akitawala soko la chapati, nyanya, na mpaka nazi zote yeye, je hi sio hatari kwa kina mama wauza chapati?
Na wale wenye magenge ya nyanya na nazi si watafunga magenge yao??
Ni mtazamo tu wana j.f, kama una la kuongeza weka hadharani isije kuwa ni gaidi kama Osama bin Laden.