Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

Huku ikifahamika wazi kiwanda cha Azam Cola ni cha mheshimiwa mkuu aliyepita kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka mpaka uzinduzi alienda mwenyewe.

Habari mpya ni kwamba utajiri wa bwana Bakhressa ni wa mh Salim Ahmeid Salim yasemekana wakati jamaa yupo au alipiga pesa mingi sana kuhofia kuonekana fisadi akamkabidhi bakhressa aendeshe kwa makubaliano maalumu

Waduvi wanadai bakhressa anamiliki Ice Cream Azam Tv vingne,yeye ni mshika pembe
 
Huku ikifahamika wazi kiwanda cha azam cola ni cha mheshimiwa mkuu aliyepita kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka mpaka uzinduzi alienda mwenyewe.

Habari mpya ni kwamba utajiri wa bwana bakhressa ni wa mh salim ahmeid salim yasemekana wakati jamaa yupo au alipiga pesa mingi sana kuhofia kuonekana fisadi akamkabidhi bakhressa aendeshe kwa makubaliano maalumu

Waduvi wanadai bakhressa anamiliki ice cream azam tv vingne,yeye ni mshika pembe
Uhaba wa sukari unasababisha watu mchanganyikiwe!!
 
Miaka ya nyuma walisema magari ya mwanamboka ni ya salim. Sasa mmehamia kwa bakhresa. Kwa nini hatutaki kuamini kuwa mtu kanyanyuka kwa juhudi zake?
 
Ujinga mtupu, mwingine nishawahi kumsikia akisema utajiri wa bakhresa ni wa Mwinyi. Kwani hao viongozi hawawezi kuwa na biashara zenye majina yao mpaka watafute watu wengine? Wao hawajui kuwa duniani hakuna siri?
 
Huku ikifahamika wazi kiwanda cha azam cola ni cha mheshimiwa mkuu aliyepita kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka mpaka uzinduzi alienda mwenyewe.

Habari mpya ni kwamba utajiri wa bwana bakhressa ni wa mh salim ahmeid salim yasemekana wakati jamaa yupo au alipiga pesa mingi sana kuhofia kuonekana fisadi akamkabidhi bakhressa aendeshe kwa makubaliano maalumu

Waduvi wanadai bakhressa anamiliki ice cream azam tv vingne,yeye ni mshika pembe

Kuna ukweli fulani kwa asilimia 78.5%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom