Pundit,
Unabore na mambo yako ya suti. Mnafuatilia hata mambo yasiyo ya maana halafu mnataka tusiwe na mafisadi?
Kama unataka bingwa wa kuvaa si tunaye rais? Unataka kila mtu ashinde kwenye shopping Harrods?
Huyu jamaa inaelekea ni muaminifu au sio mpenda sana utajiri. Hii ni sifa ndogo, kubwa lazima awe creative na kuja na ideas mpya. Hatutaki akina KAWAWA wengine ambao hawaharibu kitu lakini pia hawafanyi lolote la maana.
Binafsi afadhali kuwa na mtu anayekuja na mawazo mapya na yakafeli kuliko mtu aliyekaa kama kisiki bila crfeativity.
Kwenye dunia ya globalization what matters is about ideas, new ways of thinking and creativity.
So longer hatembei uchi mimi sina matatizo kabisa na anavaa nini.
Kwangu mimi kumu appoint mtu wa usalama wa Taifa wakati huu ambao BOT imegubikwa na scandals za usalama wa taifa inaniletea picha ya cover up to.
Mmeanza wana JF,hata hamtoi nafasi ya kuangalia kinachoendelea,saa nyingine ni sisi wenyewe wabongo ndio tunasababisha viongozi wetu wawe wezi. Kulikoni alivyovaa pinda? ni watu wangapi baba zao hapa wanaenda kwenye mikutano ya hadhara walivyovaa utacheka? mbona condoleeza Rice alivyovaa ule mkoti mrefu jana huko afghanstan hamjasema chochote? Kwa maana nyingine kuhoji sana juu ya watu walivyovaa,nyumba wanazoishi n.k ni kuwatuma waanze kuiba maofisini. Ndio tatizo letu bongo,mtu akiwa kwenye ofisi nyeti akatoka na utajiri wa kawaida tu au akawa na maisha ya mtanzania wa kawaida tunamwona fala,eti alizubaa wakati akiingia ofisini ana gari moja akatoka ana mashamba ekari 50,gari 6,nyumba 4 safi,suti kila kukicha na kitambi tunasema fisadi. Hebu tuchunge kauli zetu sometimes. Halafu ukichunguza sana utakuta sisi Afrika ndio huwa tunacomplicate sana mavazi kuliko hata viongozi wa mataifa makubwa duniani,ambao sometimes hata wanatokeza na tshirt in public.
Huyu jamaa inaelekea ni muaminifu au sio mpenda sana utajiri. Hii ni sifa ndogo, kubwa lazima awe creative na kuja na ideas mpya. Hatutaki akina KAWAWA wengine ambao hawaharibu kitu lakini pia hawafanyi lolote la maana.
Binafsi afadhali kuwa na mtu anayekuja na mawazo mapya na yakafeli kuliko mtu aliyekaa kama kisiki bila crfeativity.
Mtanzania,
Si nia yangu kukuvunja moyo. Lakini nimepata nyeti kuwa huyu jamaa ni very close kwa Mkapa. Hata kwenye spichi yake kalitaja hilo. Sasa suali linakuja hizi skendo za BOT, Kawira, etc zitakapozuka atakuwa na msimamo gani? Huo ndio mtihani mkubwa

....kumbuka kuwa mzee JKN alijuwa anajua kuwa Mkapa ni mlafi lakini bado ali lobby kwa nguvu Mkapa apewe u rais......na hii kitu cha kubebana ni weakness kubwa kwetu wabongo
upande wa personal life,jamaa ni mtu wa watoto kama mimi..alishawahi kumtaka demu wa rafiki yangu wakati tuko dom,ila tulimzima.ila tusimlaumu sana kwa hili coz anafuata sera ya 'wakubwa' katika kusaka watoto,another thng jamaa ni nyoka wa muda mrefu..ndio maana alipendekezwa mapema,ni mtendaji na si mtu wa blaah blah,ila natoa ombi apunguze vidosho kwa sasa..namu6ba pia atuambie KAMA KWELI RIDWANI aliamua kuuza hisa zake ktk RDC..NI HAYO TU
Kumbe ni swahiba wake Mkapa?
Mkuu, CV yake inaonyesha amefanya kazi Ikulu toka zama za JKN, AHM, na BWM kama Private Sec. Kama ni ukaribu na Mkapa ni kwa kikazi, na si kama inavyotafsiriwa. Jamaa hana time na mambo makubwa, ni mtu wa low profile na maisha ya kawaida sana. Kwa hiyo kama ukaribu na BWM basi yu karibu pia na JKN aliyemtoa Sheria na kupeleka Ikulu, ila tu yeye ni marehemu.
Mwanatanu,'
JKN hakujua ufisadi wa Mkapa until it was too late. Mwaka 1995 Mkapa alikuwa na Mercedes Benz moja tu (used) aliyonunua ubalozi wa Ujerumani na pick up ya dola elfu tano.
Alikuwa na nyumba moja tu. Kwa kulinganisha na akina Lowassa, Kikwete, he was cleaner.
Lakini JKN hakujua dhamira na tamaa ya Che Nkapa na ndio maana alisafiri taifa zima akisema Mkapa ni msafi. Mkapa akaja kumwuuza katika suala la NBC. Hapo ndipo JKN alipokata tamaa kabisa.