Mh! unavyompigania shem mpaka mimwenyewe nimeogopa umetishier
But mbona mwenyewe hasemi
yaani unishtue nijihimu...walau hata nikupungie mkono...
hahah...baadaye nitakucheck usijali
Shem mambo niaje lakini...
Mkuu Jamaa_Mbishi Mimi si mwana CCM wala Chadema wala CUF wala chama chochote kile hapo Tanzania mimi ni MziziMkavu Hauchimbwi Dawa Mimi ni Muislam sipo kundi lolote lile hapo nyumbnai Tanzania.MziziMkavu, kwa elimu anayotupa japo ni mwana CCM ila anastahili kuwa rais wetu pia.
Mkuu Jamaa_Mbishi Mimi si mwana CCM wala Chadema wala CUF wala chama chochote kile hapo Tanzania mimi ni MziziMkavu Hauchimbwi Dawa Mimi ni Muislam sipo kundi lolote lile hapo nyumbnai Tanzania.
Mkuu Jamaa_Mbishi Ukinichaguwa kuwa Rais wenu wa JF nitakubali kwa mikono miwili asante.Kama ni hivyo basi ninakuchagua tena kuwa raisi wetu wa JF na celebrity wa mwaka kwa mchango wako. Jamani tumpigie makofi MziziMkavu :clap2:
Ofwaaaaaaaa.......tukubhuka twesa,ulinasyo indalama mu pocketiiii?????teh teh nduko
Shem mambo shwari sasa hiviThanks...halafu shem hujanipa mrejesho wa ile ishu yako...hali imekuwa njema au bado kuna shida?
Mambo poa Shem wangu.
Nakumiss sana.
Wana TA wenzio twakupa U-celebrity shem.
hahaha! Na mlivo mabingwa wa kuagaaaaa!! Usisahau na jogoo la kulia huo mpunga bathi
Hivi huyu ndugu kashatoka kifungoni maana niliona kama kapewa Ban tena...
Hahahah mkuu shukrani sana...ila binafsi sidhani kama nastahili tuzo hiyo uliyonitunuku...
Mimi si mchangiaji sana wa majukwaa mengi hapa ndani zaidi nipo sana hapa JF Social Lounge...
Nadhani tuzo kama hiyo yamstahiki mtu mwenye kuwepo karibu majukwaa yote kwa kiasi fulani...
Once again, thanks buddy!!!
Indalama angubhahombela une.. Umwe mwiseghe itolo..